Je, wewe unaweza kufanya chochote kwa ajili ya Pesa (Can you do anything for money?)

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,620
34,053
Kiukweli binafsi ni mtu mgumu sana kwenye kufanya mambo ambayo kwa kawaida naweza kuyaona kama yanapingana na malezi yangu au yanahitaji ukengeufu fulani wa vitu ambavyo sijawahi kuona viko sawa.

Jamii yetu iko tofauti sana, kuna watu as long as una pesa au madaraka basi zinahalisha jambo lolote utakalofanya hata kama jambo hilo akilifanya mtu mwingine asiye na lolote itaonekana ni dhambi kubwa.

Mara nyingi nakuwa kwenye dilemma za namna hii.

Je, wewe ni nini mtazamo wako.

Ni nini mipaka yako.

Je, unaweza kufanya chochote ilimradi utapata pesa?
 
Swali haliwezi kujibika kikamilifu. Siri ya moyo wa mwanadamu na namna atakavyotenda kwenye mazingira fulani, hata mtu husika hajui; God knows it. Be on the side of God, na wala hutawaza kwamba utafanyaje wakati gani.

People can promise one thing, ila kama wako mbali na Mola, they will always do the complete opposite and starkly disappoint you.
 
Mvuta bangi mmoja alisikika akisema

b324554bbf77c6189702fb0214a031b8.jpg
 
With the right amount of fee, I can even take a contract to kill a president! KIla kitu kina price bwana, just wave the right amount mbele ya mtu.
Don't say that bro....
ukisema hivyo hata a.nus yako unaweza iweka sokoni kwa ajili ya fedha.....
swali la mleta mada lipo very technical....
mm nina maintain kuna vitu vina mipaka
 
Don't say that bro....
ukisema hivyo hata a.nus yako unaweza iweka sokoni kwa ajili ya fedha.....
swali la mleta mada lipo very technical....
mm nina maintain kuna vitu vina mipaka
Ukisema hivyo inamaana una akili ndogo sana ya kufikiri. Labda ungeweza ku-pendekeza pia naweza kukubali kiwango kikubwa cha fedha ili nijirushe kutoka summit ya Mkapa House bila kuwa na chochote cha kunifanya nitue chini salama.

Ila akini the right amount of money kuhakikisha na kumuahidi anaenilipa nitaipata ya kwako come rain or sunshine, hata ikibidi kuku-drug, ili apate picha za kuku-blackmail.
 
Katika hii dunia siatweza kufanya vitu vitatu tu katika kutafta pesa!kutoa kafara ya mtu au watu,kuuwa na kusodomaiziwaaa......ilaaa kivingineee hata kushika mtutu,kutapeli,kukata mtu sikio,kufukua kaburini....kukukata pua au mkono nafanyaaa deal yoyotee nafanyaa
 
Ukisema hivyo inamaana una akili ndogo sana ya kufikiri. Labda ungeweza ku-pendekeza pia naweza kukubali kiwango kikubwa cha fedha ili nijirushe kutoka summit ya Mkapa House bila kuwa na chochote cha kunifanya nitue chini salama.

Ila akini the right amount of money kuhakikisha na kumuahidi anaenilipa nitaipata ya kwako come rain or sunshine, hata ikibidi kuku-drug, ili apate picha za kuku-blackmail.
You hv already set your standard bro....
for you everything is for sale but for the right price.Thats it.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom