pesa

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nilichokiona kwenye kikao cha ukoo/familia, bila pesa huthaminiwi

    Kwanza kabisa watu wanaweza kudhan hii ni comedy ila ni ukweli mtupu. Wiki kadhaa zilizopita kulikuwa na kikao cha ukoo kuhusu jambo flani hivi nyeti, kikao kilitubidi twende kijijini kwetu. Tulifika vizuri tu na kusalimiana ila sasa kikao kilipotaka kuanza, kuna ndugu yetu flani...
  2. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mazishi ya Hayati Magufuli tuambiwe ni kiasi gani cha pesa kilichotumika kwenye shughuli nzima

    Kwa jinsi hii shughuli ya msiba inavyoendeshwa inaonyesha wazi kuna mabilioni ya fedha yanapotea kwa kutumia mgongo wa kumzika kiheshima Rais Magufuli. Kuna wengine bila shaka wanatumia fursa hii kupiga pesa, pesa ambazo kwa namna moja au nyingine zingesaidia mambo mengi mno MF madawa...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uungwana: BAVICHA yatoa Shukrani kwa wote waliochangia pesa za kulipa faini ya Yericko Nyerere Mahakama ya Kisutu

  4. wazanaki

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kutupa historia ya pesa?

    Wakuu leo nina swali Swali: nani anaweza kutupa historia ya pesa?
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Naogopa kumpa mtu hii pesa

    Hii hela nimepewa bila kujua upande wa pili nini kimeandikwa., badae natoa pesa kwenye wallet naona hayo maandishi, Naona aibu mimi
  6. Chato tena

    JamiiForums Tanzania Muda wa kutengeneza pesa huu

    Habari wana jamvi ni muda wa kufanya kazi ili kujipatia kipato halali na maisha yaweze kundelea. Watanzania tuache longolongo na maneno mingi ili kukuza uchumi wetu. Pia tunafanya dua kwa wagonjwa wote waliopo katika mahosipital, majumbani Mungu awape tahafifu ili waweze kupona magonjwa yao...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Napenda kuvilalamikia vyombo vya habari hasa redio na TV. Asilimia kubwa ya vipindi havizingatii kipi kinafaa kwenye jamii

    Habari wanna jukwaa. Kuna kitu naomba nikizungumzie, inawezekana kilishaandikwa humu. Napenda kuvilalamikia Sana vyombo vya habari hasa redio na TV, sio zote. Asilimia kubwa ya vipindi ni promotion ya michezo na umbea, yaani vipindi havizingatii muda wa kazi Wala kipi kinafaa kwenye jamii na...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenye mantiki na staha: Dreamliner iuzwe, pesa itakayopatikana itumike kujenga shule na madarasa yanayohitajika

    Nchi yetu ina upungufu mkubwa sana wa vyumba vya madarasa na shule. Maana wanafunzi wengi huwa wanakosa masomo sababu ya kukosa madarasa ya kusomea au shule kuwa mbali na maeneo wanayoishi. Kuliko serikali kukopa pesa World Bank na kuzitumia kujenga madarasa na shule. Bora Dreamliner...
  9. kidadari

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viwanja Dodoma imebuma Serikali yawasaka walionunua walipe pesa

    Baada ya kutangazwa kwa jiji la Dodoma serekali iliandaa mpango wa kupima maelfu ya viwanja na kuviuza kwa mkopo. Wengi walivipapatikia wakijua watauza kwa faida baadae. Wengi walionunua sio wakaazi wala hawana mpango wa kujenga na kuishi Dodoma bali walinunua kibiashara. Kumbuka viwanja vingi...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa CHADEMA wamesusia ruzuku, hizo pesa zielekezwe kwenye elimu

    Wadau wa JF na Wazalendo, Hivi karibuni zimeibuka habari zinazochanganya sana. Maana gazeti la mwananchi lilichapisha habari likionyesha kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata ruzuku mil 104 hii ni sababu wana wabunge 20 bungeni. Mara ghafla tukapata taarifa kuwa hawapokei ruzuku na wala hawana mpango...
  11. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi kila mwezi tulipe pesa wapewe waalimu wasiokuwa na ajira ni sahihi?

    Wakuu Nina wadogo zangu watatu,nimejikaza niishi nao na niwasomeshe kwa kila hali ingawa sina kitu.lakini shule ya msingi waliyopo wazazi tuliambiwa waalimu ni wachache(sikuwepo kikaoni) Hivyo ikapangwa kila mwezi,kila mzazi alipie Tsh 1000 wameletwa waalimu ambao tuliambiwa hawajaajiriwa wawe...
  12. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Usimchaji mtu pesa ndefu, kuwa mwaminifu hautalala njaa

    Nimekuwa nashangaa baadhi ya tabia za wafanya biashara akiona mtu amepigilia mavazi safi acha yale ya kupauka Pauka ya karume au lango lango basi anamchaji pesa ndefu ili amhudumie. Watu wengine huwa hawapendi/hawajui kugalaliza akisha sikia bei ni kubwa huondoka na wewe mfanya bizinesi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuwadai Halotel fidia kwa usumbufu walionipatia

    Wakuu kwema? Nina shida hapa imenitokea, mnamo tarehe 23 nilituma pesa kama Tshs 500k kwenda namba ya voda tokea halotel, ila nikajagundua nimekosea namba, Nikawapigia halopesa, wakaniambia nisubiri masaa 72 pesa itarudi, Nikawa mpole nikasubiri, masaa yamefika 100,pesa haijarudi...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ile dhana potofu kuwa ufisadi ni maendeleo sasa haipo. Kila pesa ya serikali inafanya kazi inavyostahili

    Kuna kipindi Watanzania walijenga kasumba mbaya sana. Kwamba kila mradi wa serikali ukifanyika lazima watu wapige dili na kisha wao kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari. Awamu hii mambo yamebadilika maana pesa ya serikali inatolewa macho na mtu huwezi kuidokoa hovyo hovyo. Leo hii...
  15. roselina john

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, mimi napenda pesa sana

    Napenda sana pesa sina haja ya kuficha, Mwanaume akinipenda ajipange Silali njaa. Sipandi daladala Ni Uber au bajaji Maharage nakula mara tatu tu kwa week Natumia iPhone tu kuanzia 8+ Vocha naunga mwezi kifurushi Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket Ndo maana najitahidi...
  16. Digital base

    JamiiForums Tanzania Connection kati ya walio na Mtaji wa Pesa na walio na Mawazo Mazuri ya Biashara

    Habari ya leo wakuu, Vijana tunapitia changamoto sana katika kupata support ya kiuchumi hasa tukiwa na wazo la kuanza biashara naamini mtaji wa kwanza ni wazo la biashara then pesa ina fuata baada ya hilo wazo. Changamoto unaweza kuwa na wazo zuri lenye faida na uka jaribu kuanza lakini Kuna...
  17. Jzachwa

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kuhesabia pesa inauzwa

    ◉ Mashine hii inahesabu pesa zote za noti iwe fedha ya kigeni mfano:- dollar , euro, kwacha, Tshs n.k. ◉ Unaweza kuitumia ofisini kwako, dukani kwako katika matumizi mbalimbali ya kuhesabia pesa kwa uharaka zaidi na kwa uhakika zaidi. ◉ Tunakupatia Warranty ya miaka 2. Karibuni sana ◉ Bei...
  18. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asiye na pesa hupendwa na mama yake tu

    Salam,wanaume tujitahidi kusaka Euro kwa kila hali.Hakuna mwanamke anayependa shida.Tuache usharobaro wa kuchagua kazi,Kama huna hela hata za kumpa mahitaji madogo mpenzi wako unamuweka mazingira magumu ya vishawishi.Die trying to get money
  19. R

    JamiiForums Tanzania Marekani: Benki zaanza kukataa pesa za wateja wao

    Baadhi ya benki za Marekani ambazo hazitaki tena wateja kuweka akiba Benki zaomba wateja wake kuweka akiba zao kwingineko. Baadhi ya benki tayari zimeanza kukataza wateja wake kuweka pesa zao benki. Wateja wa moja ya benki ya kubwa Marekani ya JPMorgan ndio wa hivi karibuni kukumbana na tukio...
  20. Superfly

    JamiiForums Tanzania Je, Unaiamini mitandao ya SIMU au taasisi za kutunza pesa kama vile BANK kwa usalama wa pesa zako?

    Nilikuwa nafanya muamala hapa kwa njia ya M-PESA lakini naambiwa "Huduma hii haipatikani kwa sasa" na nipo kwenye situation ambayo bila huu muamala mambo yanakwama. Na hii si mara ya kwanza hali kama hii kutokea. Ikabidi ni-pause kidogo kufikiria plan B nifanyaje, sasa wazo likanijia, "Hivi...
Back
Top Bottom