Nahitaji Muziki kwa laki nne

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,651
Niaje Wakuu Baada ya kufanikiwa Kununua laptop kuna kachenji kamebaki.. kama 400K hivi.

Si Mnajua Geto la Mwanaume halijakamilika Bila laptop na mziki fulani wa kiaina.

Kwa wataalamu wa masuala ya mziki na gharama zake je naweza pata mziki gani unaoridhisha kwa hio pesa? Iwe Woofer au HT.

Asanteni!

Cc: Extrovert kcamp Chief-Mkwawa funzadume Behaviourist troublemaker na wengine wengine wengi ambao sijawataja.
 
Ukitaka kamziki usibabai na ukubwa tafuta kitu chochote cha Sony au LG ambacho ni Hi-Fi sound hapo uta enjoy mkuu
Kwanz google hiyo Hi-Fi sound maana yake ni nini then tafuta hiyo chomba kwa wale wanaaoagiza kitu ya mtumba. New huwezi patA OG kwa bongo. Sijui
 
IMG_2184.jpg

Chukua hii kitu mkuu hakika hutojutia. Uzuri wa hii kitu subwoofer yake ni wireless unaweza ukahamisha kona yeyote unayotaka.
 
Ukitaka kamziki usibabai na ukubwa tafuta kitu chochote cha Sony au LG ambacho ni Hi-Fi sound hapo uta enjoy mkuu
Kwanz google hiyo Hi-Fi sound maana yake ni nini then tafuta hiyo chomba kwa wale wanaaoagiza kitu ya mtumba. New huwezi patA OG kwa bongo. Sijui
Unaweza niwekea Samples kadhaa hapa mkuu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom