pesa

  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

    Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi. Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash...
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mtu binafsi anaweza kumiliki soko?

    Kwa jina la jamhuri, Wakuu hivi kama nina kiwanja naona kimekaa sehemu nzuri naweza kukifanya kiwe soko? Yaani hapo kati nijenge au niwape watu wajenge meza za kuweka mambo ya mbogamboga, nafaka na vyakula vingine halafu pembeni nijenge furemu kuzunguka. Kama tu yalivyo masoko mengi. Hapo...
  3. Mzanzibari Huru

    JamiiForums Tanzania CAG isiwe na kazi ya kutuletea taarifa ya majizi na pesa waloziiba serikalini ni bora watafute mbinu ya kuzuia wizi, hili pendekezo

    Ndugu wana jamii Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji. Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kati ya mahakama na benki ni ipi ina wajibu wa kumkabidhi msimamizi wa mirathi pesa za marehemu alizoacha benki au SimuPesa?

    Ikiwa marehemu kaacha pesa kwenye Akaunti ya bank au simu! Je, ni wapi ambapo msimamizi wa mirathi atatakiwa kwenda kuchukua hizo pesa za marehemu? Ni Benki au ni mahakamani? Je, usahihi wa taarifa ukoje?
  5. I

    JamiiForums Tanzania CAG Atilia Shaka Malipo ya Sh Mil 830.7 Clouds & TBC

    Ripoti ya CAG imeonesha kuwa Clouds FM na TBC walilipwa shillingi za Kitanzania zaidi ya Milioni 800 kwa ajili ya kutangaza tamasha la Urithi, lakini malipo hayo hayana ushahidi wowote as hawakuonesha risiti ya kielektroniki (source: CAG report, 08 Apr 2021). Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa...
  6. sammosses

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya kukopesha pesa kwa riba yamerudi rasmi

    Uchumi wa nchi umekuwa Sana na kufikia uchumi wa kati kabla ya muda ulio kusudiwa, maanake tume break event.lakini Maisha ya Watanzania hayahakisi uhalisia wa mabadiliko hayo ya uchumi. Makamu wa rais amesema kuwa Hali ya umaskini kwa Watanzania ni mbaya Sana,wananchi zaidi ya milioni 14...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Tigo pesa imerudisha menu tu mazinguzi bado pale pale

    Tigo pesa wamerudisha menu ingalao unaziona lakini ukifuata maelekezo hadi kwenye kutumia pesa inazingua eti uulize huduma kwa wateja. Tigo pesa ilivyonifanya vibaya sina hamu
  8. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wakipokea pesa aina ya dollar lazima wainuse?

    Habari wadau..! Nimefanya utafiti nimegundua watu wengi wakikamata kitita cha dollar lazima wakinuse kwanza kuna siri gani katika hili?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tigo pesa kulikoni?

    Jana nilifanya muamala kwa shida. Leo tangu asubuhi najaribu lakini huduma haipatikani. Kila nikijaribu naambiwa system maintenance 🤔
  10. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Hakuna huduma ya TigoPesa siku ya pili sasa

    Toka jana huduma ya Tigo pesa haipatikani, nimeongea na huduma kwa kwa wateja wanasema ni kweli huduma hiyo haipataikani ila mafundi wanapambana kushughulikia tatizo. Kilicho nikwaza ni kukaa kimya kwa siku zote bila kutoa taarifa, leo nilitakiwa kufanya malipo ya watoto shule nataka kutoa...
  11. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Ndani ya siku 18 za Mama Samia, Taifa limejawa na FURAHA ingawa hajagawa pesa barabarani wala kuongeza mshahara ila maneno tu ya faraja!

    Ndani ya siku 18 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara HAPANA, siyo kwamba ameajiri HAPANA, siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani HAPANA bali ni MATAMSHI yake tu kama Kiongozi Mkuu wa nchi yanaendelea kuliponya taifa bila sindano wala vidonge...
  12. Scolari

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupokea pesa kwa njia ya simu kutoka nje ya nchi

    Je naweza pokea muamala(Pesa) toka nje ya nchi kama Ubelgiji au Uholanzi kwa Airtelmoney money? Kwa anaefahamu anisaidie please.
  13. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Serikali irejeshe kwanza pesa ilizowapora wafanyabiashara....

    Serikali ya awamu ya sita chini ya mama Samia Suluhu imeanza kazi kwa kutoa wito kwa wafanyabiashara wote hapa Tanzania na nje ya Tanzania kurudi na kuendelea na biashara hapa nchini baada ya baadhi yao kufilisika, kususa, kukimbia au kupunguza mitaji tangu utawala wa Magufuli aingie madarakani...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Wafanyabiashara msiogope kuweka fedha benki hazitachukuliwa

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba akiongoza kikao kazi cha kuchakata maagizo ya Rais Samia kwa Wizara hiyo. Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na Watanzania kwa ujumla wasiogope kuweka fedha zao Benki kwani zitakuwa salama na hazitachukuliwa...
  15. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Vodacom wanaingilia mpesa ya mteja na kutoa pesa zote kulipia nipige tafu bila hiari ya mtu

    Voda wanaingilia mpesa ya mteja na kutoa pesa zote kulipia nipige tafu bila hiari ya mtu Niwape indhari kuna mtindo voda wamekuja nao, kama unadaiwa nipige tafu mfano 500 ukitaka kununua kifurushi kupitia mpesa mfano kifurushi cha 5000 wanachokifanya ukilipia kwa mpesa wanachukua elfu 5...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya kuzuia kumsherekea Mwokozi wa Ulimwengu

    HAKUNA SABABU INAYOZUIA WATU WASIMSHEREKEE MWOKOZI WAO Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Imani zipo tofauti, kila mtu anaamini katika kila anachoona ni sahihi. Linapokuja suala la dini serikali lazima iwe makini hasa, sio serikali, mtu yeyote yule awe makini sana. Mimi ni Msabato kwa asili...
  17. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Billnass: Hata Uwe na Pesa Kumzidi Bill Gates Bado hutaweza kuibeba maiti yako wala kujizika mwenyewe, heshimu watu

    #TATIZO Kwenye Maisha hakuna Kumaliza ama kuyaweza mpaka siku unazikwa chini, Jiulize ni watu wa ngapi umewahi kuwajua walikuwa Maaarufu mpaka ukadhania wamemaliza lakini leo huyakumbuki majina yao kwa ukubwa huo?? Je ni wangapi walikuwa na Biashara zilizoshamiri na leo wamefilisika?? Wangapi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

    Kwa kweli mafisi hayalali, Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na...
  19. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Niwahakikishie kwenye hili la makusanyo na matumizi ya pesa za Serikali nitasimama imara

    Musa aligawa maji bahari ya Shamu taifa la Mungu likavuka. Ila Joshua yeye alikausha kabisa maji ya mto Jordan taifa la Mungu likavuka. Joshua 3: 7. "Bwana akamwambia Yoshua, Hivi leo nitaanza kukutukuza mbele ya Israeli wote, wapate kujua ya kuwa mimi nitakuwa pamoja na wewe, kama nilivyokuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Liswemwalo lipo: Je, ni kweli kuna uchotwaji wa kutisha wa pesa na madini huko BoT?

    Wakuu habari zenu, R.I.P jemedali na mbabe wa vita JPM. Kumekuwa na habari zikizunguka mtandaoni siku nyingi kabla hata ya Rais kutangazwa kifo, kwamba huko benki Kuu yetu ya Taifa kuna watu wamekwapua pesa na madini. Hiki kilikuwa kipindi ambacho tetesi zimezagaa kwamba Rais anaumwa na...
Back
Top Bottom