Remotasks
I love being online na hilo limenifanya niwe natafuta njia kadhaa za kumake money while I am online, na leo ninawaletea hii tovuti Remotasks.
Hii tovuti inahusika na mambo ya kusoma na kuenhance data ili kufanya AI bora Zaidi. Mfano machine za kusoma receipt, menu, magari...
Mwanamke anaweza kukupenda kwa PESA zako na akakupenda kweli kweli hili linawezekana.
Sio dhambi, sio vibaya, sio jinai na hili linawezekana kwa asilimia miamoja 100%
Kwanini?
😁😁😁
Kwa sababu ukiona unapendwa au mwanamke akikupenda lazima kuna kitu kakupendea tu sio bure kwamba akupende bila...
Wakuu habari ni ivi niliagiza mzigo kutoka Ali Express ilikua tarehe 15 ya mwez wa 5 mwaka huu. Sasa ki kawaida mizigo ya standard shipping inakaa mwezi mmoja kisha una upokea posta ya mkoa wako.
Kutokana na ishu ya corona mizigo hua inachelewa mno mpaka sometimes unaisi ushapotea niliagiza...
Mwalimu wa Shule ya Msingi Chalantai wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Tabita Mwanyanje (29), anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na maeneo mengine ya mwili na mumewe Frank Galimoshi (30) kwa wivu wa mapenzi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Programu (Malware) ambazo zinawasajili watumiaji bila ruhusa yao zimepatikana kwenye maelfu ya simu zinazouzwa Afrika. Simu 53,000 za Tecno zenye virusi zimeuzwa Ethiopia, Cameroon, Misri, Ghana na South Afrika.
Transsion ambae ni mzalishaji wa simu aina ya Tecno inayoongoza kwa mauzo barani...
Hii kitu sijai-notice Mara moja ,nime-notice mara nyingi sana, utakuta unapiga story na baba mkubwa, anakwambia yule mke wa mdogo wangu anachosubiria ni pensheni tu ya mdogo wangu wa kiume.
Au mkaka in his early 30's akioa, utaskia mama MTU mzima akisema, huyo mdada ameolewa kwasababu anataka...
Kufanya uchaguzi kwa pesa ya ndani, kujenga flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu unaofanywa na awamu ya 5 ni matokeo ya kubadili matumizi pesa/kipato tu sio kukua kwa uchumi. Mfano, pesa zilizokuwa zinatumika kulipa mishahara kwa watumishi wa umma. Sasa wanastaafu, wengine wanakufa hakuna...
Inasikitisha sana katika kipindi hiki kigumu cha uchumi duniani kila mmoja amepanga kumminya mwenzake bila uhakika wala faida ya kinachofanyika.
Mwanzoni niliona tangazo la wizara ya afya lililohimiza wasafiri kuhakikisha kuwa wanapata cheti cha usafi wa corona kabla kuondoka nchini na...
Sudan Kusini imeishiwa na akiba ya fedha za kigeni na haiwezi tena kumaliza kushuka kwa thamani ya Pauni ya Sudan Kusini, afisa mkuu wa benki kuu alisema Jumatano.
Daniel Kech Pouch, gavana wa pili wa benki hiyo, aliambia mkutano wa habari kwamba mapato ya mafuta ya nchi yamepungua, ikigonga...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347
Source East africa radio
My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote.
Maendeleo hayana vyama!
======
Daftari la wapiga...
STATIONERY YA NDANI YA GHETO/HOSTEL
Nguvu ya hii biashara
1.tationery nyingi hufugwa mida ya saa moja jioni hivyo hakunaga mbadala, nguvu yako hapa ni kwamba wewe muda wowote ambao upo chumbani kuna huduma. hata usiku.
2. Stationery zinaweza kuwa mbali na sehemu ambayo unaishi na wanafunzi...
Lekaga gete, nahene milimo.
Mlimpola bhagosha bhane!
Shalom!
Mpaka sasa hakuna anaeweza kuthibitisha kuwa MO amesha weka ile bilioni 20 kwenye account ya simba au Ile ya kampuni,sidhani hata BMT sidhani wamewahi kuthibitisha. Mzee Rage hapa karibuni amesisikika akiomba BMT audition ya kifedha...
Watani zetu Hawa wamepata 223 Billion Ksh. Toka taasisi za kimataifa eg, IMF, EU n.k kupambana na COVID19 ndo maana kutwa kutoa data za kubumba. Sasa pesa wanafyonza wachache huku wanyonge wakiendelea na changamoto pendwa.
*Washaanza kukamatana uchawi huko
======
Push for State to explain...
Nipo apa kuwatoa ujinga nyinyi wanaume mnaojifanya mna pesa yaan unakuta dume zima linajua na mwanamje first day denu anaanza njaa mara nina birthday.kuna mchango wa harusi .nimekopa nadaiwa nina shida ya sh fulani na mwanaume na akili timamu unatuma unajua anajuchukuliaje
JIBU : ANAKUONA BOYA...
Huyu mdada nilikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nikatambulishwa kuwa alikuwa ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu. Alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena siku ingine anaanza yeye kunitext ...
Nilileta huu uzi wiki jana kuhusu kazi tulokuwa nimedhamiria kuifanya ya kukusanya maoni ya wakazi wa Kigamboni abayo imekamilika leo.
Uzi wenyewe ni huu:
Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni
Baada ya kufanya stadi yangu kwa siku tatu tangu jumapili ya tarehe 9 August mpaka...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums,
Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.