nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mwanaume kulala nyumbani kwa mwanamke?

    Habari JF? Poleni na misiba inayoliandama Taifa letu pendwa la Tanzania. Nipo safarini mkoa flani, na huo mkoa kuna binti flani alikuwa mpenzi wangu some years ago. Tumerejesha mawasiliano hivi karibuni, after kumuambia nipo kwenye mkoa husika, ameniomba nisiingie cost bure, badala yake...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Dunia inakwenda kwa kasi sana, unaweza kusaga mahindi nyumbani bila kwenda mashine

    Wale wanaowekeza kwenye mashine za kusaga nafaka. Matumizi yatakua ni kusaga unga mwingi labda kwaajili ya taasisi au mikusanyiko ya watu. Kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani unaweza kusaga unga wako nyumbani.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa Wachina nyumbani na nje. Ni alama muhimu ya kujumuika kwa familia

    Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa wachina nyumbani na nje ya nchi. Ni alama muhimu kabisa ya kujumuika kwa familia na marafiki. Tamasha hili huleta kumbukumbu nyingi kwa wachina wote, nyumbani na nje ya nchi. Likiwa na maonyesho kama ngonjera, mchoro mfupi...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwenye soka kutumia nguvu nyingi bila akili ni sawa na bure , Cameroon wanadhalilishwa nyumbani kwao

    Mpaka muda huu wamekwisha tandikwa magoli 4 kwa nunge nyumbani kwao , Magoli yanaweza kuongezeka hadi kuvunja rekodi ya Southampton . Aibu kubwa sana !
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

    Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu. Kazi ipo mwaka huu.
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

    Waziri wa Afya Dk Gwajima azindua dawa ya Asili ya Corona waweza itengeneza mwenyewe nyumbani MCHANGANIKO WA DAWA LISHE NA MITI DAWA KWA AJILI YA TIBA YA KORONA Namna ya kuandaa DAWA LISHE Mahitaji: 1 Tangawizi ya urefu wa kidolegumba chako vipande 5 2 Kitunguu swaumu punje 10 3 Pilipili...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mnaosoma degree, kama pesa ipo nyumbani na mwaka wa pili GPA haisomi, hama chuo uanze upya

    Nina ndugu yangu alikuwa IFM, cheti kilikuwa na makarai mengi kwasababu yeye chuoni alikuwa mzee wa bata sana, Baada ya kuona ana GPA ya 3.1 hakufurahi kwasababu kazi ya ndoto yake ilikuwa kuwa lecturer, alienda kusoma degree ya pili Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA). Alikaza sana aliacha michezo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Amekuta Uchawi wa Kiarabu Nyumbani Kwake

    Wakuu; Jumapii ya leo imenoga Niko na rafiki yangu hapa tuko na karatasi imeandikwa Jina lake mara nyingi sana pamoja na maneno ya kiarabu halafu ikachomwa sindano.Ilikuwa imehifadhiwa ndani ya nyumba yake.Kwenye nyumba yake wanaishi watu wawili tu.Mama yake na Mke wake pamoja na watoto...
  9. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba materials ya kujifunza electric domestic wiring/ wiring ya umeme wa nyumbani

    Habari wanajamvi, nimetokea kuwa na interest na maswala ya umeme hasa huu wa nyumbani, natamani nijue jinsi unavyofanya kazi na jinsi navyoweza kuunga nyaya(kufanya wiring) kuanzia jinsi umeme unavyoingia kwenye mita na unavyoendelea mbele. Nataka niwe expert ili nami nianze kufanya wiring...
  10. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira,). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii? Mimi siwezi kujisifia kwamba nilikuwa na wazazi makini sana katika suala la malezi kwa maana wakati nipo mdogo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

    JKT YASITISHA MAFUNZO DODOMA: JANUARI 19, 2021 JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kusitisha kwa muda mafunzo ya jeshi hilo ya kujitolea kwa mwaka 2020/2021 mpaka hapo itakapotangaza tena. Kutokana na kusitishwa kwa Mafunzo hayo JKT imewataka vijana walioripoti makambini kurejea...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Muuguzi wa Zahanati na Mlinzi mbaroni kwa kuiba Dawa na kuziuza nyumbani huku zingine zikiwa zime-expire

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshilikilia sungusungu wa kijiji cha Nyamalogo Fedson Matekele na William Desdez (27) muuguzi wa zahanati ya Nyamalogo kwa kosa la wizi wa dawa za binadamu katika zahanati hiyo iliyopo katika kata ya Nyamalogo wilaya ya Shinyanga na kuziuza nyumbani. Kwa...
  13. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao, nini maana yake?

    Naomba kuuliza, Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini? 1) Uzalendo 2) Ubinafsi 3) Matumizi mabaya ya Madaraka 4) Ushamba 5) Katiba mbovu 6) Kukosa uadilifu Naomba jibu wakuu! NB: Sijataja jina la mtu
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimeacha na ninakwepa sana kwenda nyumbani kwa Mjomba wangu kuepusha Matatizo ya Kifamilia

    Uncle alifanikiwa kuoa mke mzuri akamzalia kitoto kizuri cha kike miaka ya nyuma kilikuwa kidogo tu nimekizidi miaka 20 imagine chenyewe ndio kinazaliwa. Leo hii kimefikisha miaka 22 kimeiva, hips zimechomoka, shavu dodo, kiuno nyigu Ngozi kama imepigwa msasa laini. Yaani ni hatari nimejikuta...
  15. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nasikia watu wa Mtwara mwanamke anaweza kumfukuza mwanaume nyumbani

    Bibi yangu alisomaga huko masasi miaka hiyo. Sasa alinisimulia kuwa wakiwa vijijini siku moja wakakuta mdingi amebeba vitu kama anahama. Walipomuuliza akawajibu kuwa mama yenu kanifukuza. Ni kweli hizi ishu zipo? Maana najua kuna ishu za matrinia na patrinia lakini nilikuwa naona kama hadithi tu.
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu rudi nyumbani, Rais Magufuli yupo tayari kutimiza ahadi yake

    TUNDU LISU RUDI NYUMBANI, RAIS MAGUFULI ATIMIZE AHADI YAKE. Na, Robert Heriel Sisi wote ni wanadamu, kila mmoja anamapungufu yake ambayo anahangaika kuyaweka sawa ili tuwe wakamilifu. Hatuwezi kuwa na tabia zile zile mbaya zinazowaumiza wengine, ni lazima tuziondoe ili kulifanya taifa hili...
  17. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Kufa au kupona- Kutoroka kwa Rahaf al-Qanun

    Tibilisi, Georgia Wafa mwenye umri wa miaka 25, na dada yake Maha mwenye umri wa miaka 28, waliwalaghai wanafamilia ya kwamba wanasafiri kwenda mji wa Ranyah, huko Saudi Arabia kumtembelea kaka yao. Wakiwa katika mji mkuu wa Saudia, Riyadh, mabinti hawa walifanikiwa kupata passport na tiketi...
  18. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi za nyumbani

    Habari zenu wanajukwaa . Direct kwenye maada bila kuwachosha. Ni nahitaji Mdada Wa kazi za ndani. Nyumba haina mototo mdogo. Yaani mdogo kabisa yuko fomu kwani. Kazi ni za kawaida za nyumbani. Ina baba, mama, watoto wapo watatu, mkubwa yupo chuo, anayemfuata yupo kidato cha tano. Nahitaji...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuchoma mchomo nyumbani kula na familia, wageni na marafiki

    Mbuzi ni mnyama anaeliwa na madhehebu ya dini nyingi, ni rahisi kununua mbuzi wa kula na familia kuliko ng’ombe, kwanza gharama pili mnaweza kula na kumaliza. Andaa samaki kidogo kwa wasio kula nyama. Andaa bakuli la kachum Acha moto ukolee wote kabla ya kuweka nyama jikoni. Nyama ya mbuzi...
  20. True_garden_designers

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya garden nzuri nyumbani na maofisini

    Tutafute TRUE GARDEN DESIGNERS kwa namba hizi hapa..0687239674 na 0717580898 tunapatikana masaa 24.
Back
Top Bottom