nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Baba amuua binti yake kutokana na kuchelewa kurudi nyumbani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Baba mmoja anayefahamika kwa jina la Anthony Maningu, Mkazi wa Kayenze wilayani Ilemela mkoani Mwanza kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga na kitu kizito kichwani mwanaye aitwae Veronica Anthony, kwa madai ya kuchelewa kurudi nyumbani. Akizungumza hii...
  2. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Sherehe za ubatizo, ndoa, kifo, mahari,hitma nk sasa kutozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako

    Sherehe za ubatizo, Ndoa, kifo, mahari,hitma nk Sasa zinatozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako. Hii ni aibu Kubwa kwa Serikali hii. https://t.co/pDXnXxa4zD
  3. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania MAKALA: Malezi ~ Shule ya kwanza ya mtoto ni nyumbani

    Utakubaliana nasi kuwa shule ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani – wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa familia husika. Kupitia mzazi/mlezi mtoto anapata nyenzo zitakazoongoza maisha yake yote – heshima, utii, unyenyekevu na kadhalika. Yaani wema au ubaya wa mtu mara...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee: Gwajima alijaza fomu ya maadili nyumbani kwake badala ya kuja mbele ya msimamizi wa uchaguzi hivyo hana sifa ya kugombea

    Kanuni ya 26(3) ya Kanuni za Uchaguzi zinataka Fomu ya KUTEKELEZA MAADILI kujazwa mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi. Ndugu yangu wa CCM KAWE alijaza tarehe 20/8/2020 NYUMBANI kwake. Na BADO MSIMAMIZI wa UCHAGUZI Kinondoni AKAMTEUA!⁩ HUYU Mgombea HANA SIFA-Halima Mdee on twitter.
  5. H

    JamiiForums Tanzania COVID-19 test ya nyumbani

    Nimesikia jinsi gani wanavyofanya test ya COVID-19/ Corona pale Ujerumani. Ni njia nyepesi unaweza kuifanya kwako nyumbani. Hapa taarifa: 1) Kwanza chukua chupa cha bia. Fungua na peleka chupa karibu na pua. Je unaweza kunusa kitu? Kama ndiyo, hii ni vizuri. Maana kupotea uwezo wa kunusa ni...
  6. Replica

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hofu ya Covid19: Wanawake wanaozalia nyumbani waongezeka maradufu huku vifo vya uzazi haviripotiwi

    Wanawake zaidi wanajifungulia nyumbani kutokana na hofu ya Covid 19 huku vifo vikiwa haviripotiwi kwa mamlaka husika, takwimu zilizotolewa na serikali zimesema. Kwenye ripoti ya CRS imesema idadi ya vizazi iliyosajiliwa imeshuka kwa asilimia 13.3 na usajili wa vifo ukipungua kwa asilimia 15...
  7. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wazazi Wenzangu: Kuna umuhimu (faida) gani kwa baadhi ya watoto kuwa na majina mawili? Jina la shuleni pamoja na lile la nyumbani?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo...
  8. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

    Habarini ndugu zangu poleni na majukumu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu level ya degree. Yapata miezi 6 sasa siongeai kabisa na baba yangu kisa tu alinifukuza nyumbani nilipokuwa nakaa (nadhani nilishaeleza hapo nyumba kwenye nyuzi zangu) labda nikumbushie kidogo, mimi ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  10. Noel france

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu wadau. Mechi za ugenini nipo vizuri, shida nyumbani

    Habari wanajukwaa! Moja kwa moja kwenye Mada. Binafsi ni family ya Mke na watoto 4, Pia tupo kwenye mahusiano kwa muda mrefu kidogo takribani miaka 12. Nasikitika hatujafunga ndoa, lakini tunaishi pamoja miaka yote hiyo. Tatizo ni dini zetu ni tofauti ( Mimi ni mkristo yeye ni muislam),lakini...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamrisha wananchi kwenda kujisaidia nyumbani kwa mkurugenzi na DC Kibiti

    Rais Magufuli leo akiwa njiani kutoka msibani, amesimama mara kadhaa kuwasalimu wananchi na kuwasikiliza. Ameshangazwa na watu walio chini yake kushindwa kujenga choo cha soko ilihali mapato ya halmashauri yao ni zaidi ya bilioni 1.8 Rais Magufuli ametoa agizo la choo husika kukamilika ndani ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  13. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Lissu karibu nyumbani kwa amani, usifuate nyayo za Raila Odinga

    Baada ya dosari za uchaguzi mkuu wa Kenya wa 2017, kiongozi wa upinzani alisusia uchaguzi wa marudio na kuanza ziara nje ya nchi akitafuta uungwaji mkono kutoka mataifa na mashirika ya nje. Tarehe 17.11.2017 zaidi ya wafuasi walifika uwanja wa ndege wa Kenyata wakihimiza kuwa wamefika...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiagwa Ubelgiji tayari kwa safari ya kurejea nyumbani

  15. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'. Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa nyumbani tupo? Tujuane basi

    Habari wadau wa rika zote. Asante jamani kwakuwa sehemu kuntu ya kuja kupiga soga kujifunza, kuelimika na kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wadau na wataalamu mbalimbali katika fani tofautitofauti. Hivi unajuwa kuwa kuna wale mabinti wanaozalia nyumbani? Ndio yaani wanaozaa bila ndoa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

    M/Mkiti wa CHADEMA Taifa (B), Mhe. Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

    Toka mwaka jana 2019 Japan imekua ikiyashawishi na kuahidi kuyapa ruzuku ya serikali makampuni yake yote yaliyoko China kuhama nchi hiyo yarudi nyumbani au yatafte nchi nyingine ya Asia nje ya China. Hadi sasa makampuni 56 yamekubaliana na serikali kuhamisha shughuli zake kutoka China na...
  19. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe apokelewa rasmi ACT–Wazalendo. Atoa ahadi kemkem endapo watashika madaraka

    Leo chama chetu kinampokea rasmi Ndugu Benard Membe ndani ya chama. Kiongozi wa chama, Ndugu Zitto Kabwe; Mwenyekiti wa Chama Taifa, Ndugu Maalim Seif Sharifu Hamadi; na Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu Ado Shaibu na viongozi wengine wa chama wa Bara na Zanzibar wote watawaongoza wanachama kumpokea...
  20. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

    Maisha haya wamejaa mambo mengi sana hasa ya utafutaji. Je, umeshawahi kupotezana na ndugu yako wa tumbo moja, binamu yako, Baba Mkubwa au Baba Mdogo, Shangazi, Mama au Baba, Bibi au Babu, Mpwa, rafiki yako au hata jirani yako, Baba Mkwe au Mama Mkwe unawasikia sikia tu wapo mahali fulani...
Back
Top Bottom