nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania JKT waliorudishwa nyumbani watakiwa makambini

    Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge, amewataka vijana waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2020/2021 na kurejeshwa nyumbani mwezi Februari mwaka huu kurejea makambini. Kaimu mkuu wa utawala wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kanali Hassan...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Sasa hawaungi juhudi bali wanarudi " Nyumbani kwa Mama" maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini yumo Mwalimu!

    Wahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama" Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini na sasa wako njiani kurudi nyumbani. Pale juu anaweza kubaki Mbowe...
  3. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia (WCQ) 2022: Uganda yaomba kutumia Uwanja wa Mkapa kama Uwanja wa nyumbani

    Timu ya Taifa ya Uganda inatarajiwa kutumia Uwanja wa Taifa wa Tanzania kama uwanja wao wa nyumbani kwenye michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la 2022. Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) limelijulisha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya msaada wanaohitaji wa kutumia Uwanja wa Mkapa kama uwanja...
  4. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Wimbi la wanawake kuzalia nyumbani (kuzaa kabla ya kuolewa)

    Kuna ongezeko kubwa la mabinti kuzalia home kwa wazazi kabla ya kuolewa. Nimefanya utafiti ,majibu yangu yamejuwa na ukweli, Lakini sababu kubwa ni kutokana na 1. wanawake wengi kukata tamaa, 2.umri mkubwa, 3.lakini pia nimekutana na majibu ya wanawake waliamua kushika mimba baada ya...
  5. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane visanga na Sheria za nyumbani enzi za utoto

    Mimi nakumbuka familia yetu wazazi hawakuwa strict sana kivile kiasi cha kuogopwa na watoto. Ila kuna Sheria 3 kuu ambazo watoto hasa wa kiume ilibidi tuzifate na kuzitii kama tulihitaji kuendelea kuishi kwa amani na utekelezaji wake ulikuwa unasimamiwa kwa hali ya juu sana. 1. Hakuna kula kama...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Narudi nyumbani, Kama mtakuwa na muda mji organize tukutane airport

    Niliondoka kidogo nikaenda Sweden, Canada, USA, UK, Egypt, Dubai na South Africa. Nikarudi tena Canada kwenye moja ya nyumba zetu. Nilipata habari za msiba kabla haujatangazwa sababu Ubalozi uliona ni vyema kuwaambia Raia zake kinachoendelea. Hivyo tukaondoka kuepuka matatizo kama yangetokea...
  7. Emmanuel180

    JamiiForums Tanzania Gari za Cassablaca Kigoma na Tv za nyumbani

    Nyiee hivi mlishawahi kwenda Kigoma kuna gari zinaitwa Cassablanca ukiingia ndani picha linaanza kwanza hitakiwi kuvaa tshirt au nguo nyeupe maana utafika kibondo kama umetoka kumuibia mchina madini kule Buzwagi. Ok sasa Tv za mule ndani ni flat screen Lg zimechomelewa juu ya dali la gari kwa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Karibu tukufanyie usafi nyumbani, maofisini pamoja na kupuliza dawa

  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya TRA walinyanyasa wageni nyumbani, sasa mama anaangalia

  10. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepewa siku 30 niondoke nyumbani kwa Baba mkubwa

    Wana JF wenzangu, nilikuwa nimepanga maeneo ya Kimara miaka kadhaa iliyopita. Kutokana na changamoto ya maisha, kazi nilikuwa sina nikaenda kuishi kwa bamkubwa ili nijipange upya. Kwa sasa nimekaa miezi minne kwake leo asubuhi kaniambia “nimekupa siku 30 uondoke kwangu”. Wakuu naombeni msaada...
  11. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Boss wa zamani wa Adidas na mkewe wavamiwa na kujeruhiwa nyumbani kwao

    Inaelezwa kuwa walifungwa na nyaya za umeme, kushambuliwa na kuibiwa vito vyao vya thamanijiji Paris. Bernard Tapie, mwenye miaka 78 aliyewahi kuwa waziri kwa muda mfupi anadaiwa kuwa ni mtu mgonvi sana Amekuwa kwenye mivutano ya kisheria kuhusu rushwa na udanganyifu kwa miongo kadhaa, na...
  12. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

    Siku mbili tu bila kutumia internet ni kama mwaka mzima gerezani. Ahsante sana Ttcl NB: Kama kawaida eneo ulilopo ndio litaamua speed ya mtandao
  13. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

    Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana! Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti"...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla Ulichukia moja kwa moja. Rudi nyumbani yale yameisha

    Najaribu kuvaa viatu vya Pascal Mayalla nakutana na mambo mengi. Viatu ni vya ngozi imekauka sana halafu nimevaa viatu bila soksi.vinaumiza sana. Pascal kuna kipindi alikuwa neutral katika siasa za tanzania. Alikuwa hajajiambatanisha na chama chochote. Lakini kadri uchaguzi ulivyokaribia ndivyo...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufadhili Wageni nyumbani kwako

    JINSI YA KUFADHILI WAGENI WANAOKUJA NYUMBANI KWAKO. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kwenye familia ni jambo la kawaida kutembelewa na wageni. Wageni huja kwa sababu mbalibali kma vile kusalimia, kuja kukupongeza kwa jambo fulani, kuja kukupa faraja au kukusaidia upatwapo na madhila ya dunia; Wapo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mgeni nyumbani ambaye ni kero, mzigo na anataka kuiendesha nyumba kuwazidi hata wenyeji?

    Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kiume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tuwaongeze mishahara hawa dada wa nyumbani

    Kutokaana na mabadiliko ya dunia yanayoendelea na janga la homa kalini wakati muafaka wanandoa mnapochagua dada wakazi awe sio tu kazi za nyumbani awe msaidiizi pia wa mama wa nyumban pale anapokuwa hayupo. Hizi taarifa za kutokaa mikusanyiko kama bar nk zimenifanya nikachukue ka model rombo...
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Baba Levo : Niko tayari kumtambulisha Mondi nyumbani kwetu, wanaume wote Kigoma tuko hivi

    Katika hali ya kushangaza baba Levo ameulizwa yapi maoni yake kwa wanaomuita chawa?. Jamaa kasema hana muda na watu hao na muda wowote ule atampeleka Diamond nyumbani kwao Kigoma kwenda kumtambulisha. Pia amesema mambo anayoyafanya ni sample tu ya vijana wa Kigoma kwa hiyo watu wasishangae sana...
  19. S

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumbani zinauzwa Kimara, Mavurunza

    Nyumba 2 zinauzwa kwa pamoja ndani ya eneo moja shilingi milion 70. Maongezi yapo. Zipo Kimara Mavurunza. Gari inafika mpaka mlangoni. Umeme upo. Nyumba ya kwanza inavyumba 12, vitatu ni master. Imepigwa tires, Nyumba ya pili inavyumba 5 vyote master. Wanaopenda biashara ya kuekeza kwenye...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Polisi: Bastola ya Nape Nnauye iliyoibwa nyumbani kwake Kawe Beach imepatikana mkoani Mbeya

    Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam imesema silaha ya mbunge wa Mtama mkoani Lindi iliyoibiwa kupitia dirishani nyumbani kwake Kawe beach jijini Dar es salaam imepatikana. Silaha hiyo aina ya bastola ikiwa na risasi 14 imepatikana mkoani Mbeya baada ya ushirikiano wa polisi wa mikoa hiyo...
Back
Top Bottom