Dunia inakwenda kwa kasi sana, unaweza kusaga mahindi nyumbani bila kwenda mashine

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1613444596328.jpeg

Wale wanaowekeza kwenye mashine za kusaga nafaka. Matumizi yatakua ni kusaga unga mwingi labda kwaajili ya taasisi au mikusanyiko ya watu. Kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani unaweza kusaga unga wako nyumbani.
 
View attachment 1703427
Wale wanaowekeza kwenye mashine za kusaga nafaka. Matumizi yatakua ni kusaga unga mwingi labda kwaajili ya taasisi au mikusanyiko ya watu. Kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani unaweza kusaga unga wako nyumbani.
Haiwezi kuondoa umuhimu wa zile mashini kubwa unga wake hizi una walakini Mara nyingi particles siyo ndogo Kama za machine ya mama kanuti.
 
Binamu mbona zipo zile za mawe babu zetu walizitumia kuliko hizi unasaga mahindi na na chuma chenyewe chasagika kidogokidogo, mwendo wa kula vyuma tu hizi mashine za kisasa,magonjwa hayatuachi.
 
Back
Top Bottom