Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Bibi yangu alisomaga huko masasi miaka hiyo. Sasa alinisimulia kuwa wakiwa vijijini siku moja wakakuta mdingi amebeba vitu kama anahama.
Walipomuuliza akawajibu kuwa mama yenu kanifukuza. Ni kweli hizi ishu zipo? Maana najua kuna ishu za matrinia na patrinia lakini nilikuwa naona kama hadithi tu.