nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza funiture za nyumbani na ofisini Kwa bei rahisi

    Karibu ujipatie causal leser bench kwa matumizi ya ofisini, dinning room, sitting room na chumbani. Tunapatikana tabata 0767601018. causal leser bench 150,000. Mito 20,000 mmoja Zulia 15,000 Tunafanya delivery Dar na mikoani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  3. May Day

    JamiiForums Tanzania Serikali ishugulikie kushamiri kwa uuzwaji wa vifaa vya nyumbani ambavyo vimekwishatumika

    Ninaliona hili kwa hapa Arusha na sijajua kama Serikali inaufuatiliaji wa kujiridhisha uhalali wa kila kinachouzwa kwenye hizi yadi. Kumekuwa na masoko yanayoibuka yaliyosheheni vifaa/vyombo mbalimbali kama Majiko, Meza, Vitanda, Magodoro, TV, Feni n.k. Ningetamani kama inawezekana kuanzishwe...
  4. Sam Gidori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aharibu mali zenye thamani ya Tsh. Milioni 4 baada ya Mke kugoma kubaki nyumbani kusherehekea Siku ya Akina Baba Duniani

    Mwanaume mmoja kutoka Kijiji cha Gichugu Kaunti ya Kiriyanga nchini Kenya ameharibu mazao yanayokadiriwa kuwa na thamani ya Shilingi za Kenya 200,000 (sawa na Tsh. milioni 4.3 ) baada ya mke wake kukataa kubaki nyumbani kusherekea Siku ya Kina Baba Duniani. Kwa mujibu wa mashahidi, mwanaume...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Paka wa nyumbani kafia miguuni mwangu; kuna cha kuhofia katika ulimwengu wa kiroho?

    Nyumbani kwangu hapa naishi na mke na watoto wangu wawili pamoja na binti wa kazi na ndugu wawili. Sasa kuna kipindi kuna paka mdogo alikutwa maeneo ya karibu na mtoto wangu basi mtoto wangu huyo akamleta. Ni kipaka cheupe chenye madoa ya brown kwa mbali, kilikuwa kidogo sana, Binafsi...
  6. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anaoa lakini bado anategemea nyumbani asaidiwe?

    Tofauti na zamani ila ndoa nyingi zinazofugwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wanaoa unakuta bado anategemea nyumbani asaidiwe. Kuna wengine anaoa yeye na mkewe anaishi nae nyumbani kwao na hapo unakuta kila kitu anategemea nyumbani familia imuhudumie yeye na mkewe. Ni kwanini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi umezidi, hamu ya kurudi nyumbani inanijia kwa kasi

    Mzuka Wanajamvi, Kuna ubaguzi wa hali ya juu hasa kwa sisi Ma-nigger. Sasa hivi eti sisi wote tuna Corona hata ukivaa maski wanaziba pua. White nationalist and far right wanaendeleza propaganda zao za chuki eti tume kuja kuchukua social money (what is rightful there's) na mademu zao wenye...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Uhalifu utabaki Historia Dar. Amwambia Rais Samia kama shughuli imepata Mwenyeji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla amempongeza Rais Samia kwa kazi Nzuri anayoifanya ikiwemo tukio alilofanya leo kuendelea kuboresha huduma za Afya. Makalla amemuhakikishia Rais Samia, yeye kama mkuu wa Moka wa Dar na mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama kwamba Mkoa uko Salama na kazi...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya kuletewa passport mlangoni baada ya kufanya maombi mtandaoni

    Majirani zetu wameanza sisi Passport unahojiwa kama unataka kuingia Vaults ya BOT ======= PostMaster General Dan Kagwe and Immigration Director General Alexander Muteshi during the signing of an MoU on May 3, 2021. PHOTO / COURTESY By Vincent Anguche Kenyans will now have their passports...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji rudini nyumbani sasa kumenoga

    Karibu sana Yusuph Manji na Wadau wengine ambao iliwabidi muondoke nchini kutokana na kuwa na mazingira magumu wakati ule. Sasa kumenoga. Tumempata Rais ambaye hana neno na mtu. Mpole,mama na dada pia. Huu ni wakati wa kurudisha kile kilichopotea. Na watu wengine mlio nje njooni mje muwe...
  11. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tumpongeze Yusuf Manji kwa kuwa mzalendo na kurudi nyumbani. Rais Samia asichelewe, amuite Ikulu wazungumze

    Habari wadau! Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani. Hakika Manji ni Mtanzania mzalendo. Yaani licha ya yote...
  12. laurentie

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya kamera kwa majumbani na ofisini

    Kwa usalama wa nyumbani na usalama wa ofisi yako Black Horse Africa tupo kwaajili yako. Tuna kamera za kisasa zenye uwezo mzuri wakuona hata kizani bila kupoteza taswira halisi Karibu tukuhudumie .gharam zetu ni nafuu sana wamasiliano 0782719980
  13. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nyoka Mkali anazunguka Mazingira ya Nyumbani

    Msaada, kuna jirani yangu Kaingiliwa na nyoka mazingira ya nyumbani kwake, huyu nyoka ana week tangu aonekane mara ya kwanza, ila upo uwezekano ni zaidi ya week maana kabla ya hapo ilikua inatokea tu kuku kapotea, kelele za kuku bandani, usumbufu dirishani akiwa amelala n.k n.k. Baada ya muda...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je, kwa ujumbe huu kwa Mbowe, Godbless Lema anapanga kurudi nyumbani hivi karibuni?

    Kaandika hivi kupitia twitter: Mwenyeketi Freeman Mbowe Karibu sana Arusha, ningetamani kuwepo,lakini nina matumaini tutaungana pamoja katika ujenzi wa Nchi na Chama siku za hivi karibuni.Kanda ya Kaskazini tutaendelea kuwa mstari wa mbele kujenga na kuimarisha demokrasia Tanzania...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri akina Dr Slaa, Dr Migiro, Masilingi na Wazee wengine sasa watarudi nyumbani kupisha damu changa!

    Uteuzi wa mabalozi wapya leo ni dhahiri utaendana na mabalozi hao kupangiwa vituo vipya na kwa maana hiyo mabalozi wazee wanastaafu na kurudi nyumbani. Ni wazi Balozi Slaa, Balozi Migiro na balozi Masilingi watakuwa wameanza kufungasha. Kazi Iendelee!
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni vema sasa Mabalozi Wazee warejeshwe nyumbani, hawana tija yoyote

    Utumishi wa Umma ni kama mbio za kupokezana vijiti , unakimbia umbali wako baadaye unamwachia mwenzio naye aendelee , huo ndio ustaarabu Haiwezekani watu wamezeeka lakini bado tunaendelea kuwaachia kazi zilizozidi uwezo wa ubongo wao , Nothing lasts longer , tubadilike , mbona kuna vijana...
  17. Kingsharon92

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya serikali kuanzisha wizara ya usafi kuanzia nyumbani Hadi makazini

    Natumai hamjambo nyote Kama Kuna kitu nakichukia hapa duniani 1:uchafu 2:uchafu Jamani kiufupi uchafu Ni tabia na si Kama inavyodhaniwa kuwa uchafu Ni kwa wale watu wa Hali ya chini tu Ila ukweli Ni kuwa uchafu Ni tabia Haijalishi una maisha gani Jiulize unafika hospital kuanzia...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yusufu hakukumbuka nyumbani; hii ina maana gani?

    YUSUFU HAKUKUMBUKA NYUMBANI, HII INAMAANA GANI? Kwa Mkono wa, Robert Heriel Moja ya mambo yanayonitafakarisha ni kuhusu kisa cha Nabii Yusufu katika Biblia. Kisa hiki Leo tutakiangazia katika pembe nyingine tofauti kabisa na vile tulivyozoea kufunzwa Makanisani na nyumba za Ibada. Muhtasari...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyumbani kwa Clement Mohamed mtamila ndipo ulipotoka uamuzi wa julius nyerere kuacha kazi ya ualimu

    HAPA NDIPO ILIPOJADILIWA BARUA YA JULIUS NYERERE KUCHAGUA SIASA AU UALIMU Hapo liliposimama jengo hilo ndipo ilipokuwa nyumba ya Clement Mohamed Mtamila katika miaka ya 1950 harakati za TANU kudai uhuru zilipopamba moto. Huu ni Mtaa wa Kipata (sasa Mtaa wa Kleist Sykes) na unaokatiza ni Mtaa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Jasusi Mbobezi ni lini atarudi? Nyalandu amerudi Nyumbani - Je, umeona TARGET?

    Kama Rais Samia anafurahia kurudi nyumbani kwa wanachama waandamizi wa CCM, basi ajipange kweli kweli, wanakuja kuimba nyimbo zisizoimbika ugenini. Wengi sidhani kama mumeelewa dongo alilolipiga Nyalandu kuhusu NYIMBO ISIYOIMBIKA UGENINI? Huyu aliendea Urais Chadema akajitahidi sana kutaka...
Back
Top Bottom