nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Hamasishaneni mkapige kura kesho. Ukimaliza rudi nyumbani ili kuitunza tunu ya amani na mshikamano tulionao

    RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho. Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti uliojengwa katika Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma, aliwataka Watanzania kuhamasishana kwenda kupiga...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Tundu Lissu kulala nyumbani kwa mwalimu Nyerere bila kwenda nyumbani kwa mzee Mtei siyo cha kiungwana

    Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka. Akiwa mkoani Mara Tundu Lissu aliforce hadi akalala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere huku luninga zikimfatilia. Simlaumu Tundu...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Diaspora changeni pesa mfanye kitu kikubwa nyumbani

    Diaspora mkiweza kuwekeza kwa mfano muweke $100 kila mwezi kila mmoja. Muunde kamati, muamue kujenga kitu mfano Mall. Inategemea idadi yenu, mkiwa 20+ mtamaliza haraka. Mkimaliza kila mtu aingiziwe faida yake kila mwezi. Hata mkichoka kubeba mabox faida itakua inaingia kila mwezi kama kiinua...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

    “Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe. “Miaka...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Qatar: Asilimia 85 ya wafanyakazi wa nyumbani wanadhalishwa

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadam Amnesty International limetoa taarifa, wafanyakazi wa nyumbani nchini Qatar wanapitia unyanyasaji, kupigwa na kudhalilishwa na mazingira magumu ya kazi. Baada ya kufanya mahojiano na wanawake 105, shirika hilo limebaini asilimia 85 ya wanawake...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Japo ni Mwana Simba 'kindakindaki' ila 'navutiwa' mno na Timu yangu ya Nyumbani kabisa Biashara United ya Mkoani Mara (Musoma)

    "Biashara United inaonekana imejipanga msimu huu ikiwa inajua timu 4 zitashuka mwisho wa msimu na kuna ushindani mkubwa kule juu ambapo kila mmoja anataka kushinda mechi zake. Hawajafungwa nyumbani mpaka sasa" Mchambuzi David Kampista' EastAfricaTV GENTAMYCINE nami nitoe Kongole ( Pongezi )...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyemaliza darasa la 7 ajinyonga baada ya kukatazwa na Mama yake asirudi nyumbani usiku

    Mwanafunzi aliyemaliza darasa la 7 wiki iliyopita katika shule ya msingi Njungwa, Kijiji cha Ngayaki wilayani Gairo, Rahel Yohana (14), amekutwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kanga huku chanzo kikitajwa ni ugomvi kati yake na mama yake mzazi aliyekuwa akimkataza kurudi nyumbani usiku...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA). Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu
  9. FYATU

    JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae Mwanaume kukosa utawala wa kiuchumi nyumbani heshima ya MUME hupungua kama sio kutoweka kabisa

    Iwe ni kwa wale wa kipato cha juu kati au cha chini...yaani kama Mke anatengeneza shilingi mia tano kwa siku na wewe Bw Mkubwa ni apeche alolo, ni ngumu sana kuwa na ndoa imara ya Mume na Mke wanaosikilizana na kuheshimiana. Huenda kwa nje mtafanikiwa kutuonesha kana kwamba ndoa yenu ipo imara...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

    Salaam wadau. Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV. Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina. JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aingia Mlimani City kununua mahitaji ya nyumbani

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Picha : Akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Game Super Market
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Video: OCD Shinyanga adaiwa kuja na bango la CCM lililochanwa nyumbani kwa mgombea wa ubunge Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA ili kumkamata

  13. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

    Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha. Zaidi soma; Uchaguzi 2020 - Polisi waondoa kizuizi...
  14. kyagata

    JamiiForums Tanzania Huyu mzazi mwenzangu nimuache aende zake au niendeleee kumbembeleza arudi nyumbani?

    Habari wakuu? Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 32,nilikuwa naishi na mzazi mwenzangu ambae tulibahatika kupata mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka miwili sasa.mzazi mwenzangu ni mtu kutoka kabila la wahehe. Mwaka jana mwezi wa saba nilipeleka barua ya posa nyumbani kwao na wakanipangia...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mama kujifungulia nyumbani faini Tshs 30,000/=?

    IPO risiti ya halmashauri inazagaa mitandaoni ikionyesha malipo faini ya 30,000 kwa kosa la kujifungulia nyumbani. Naomba kufahamishwa, hii faini ni kwa mikoa yote nchini au ni Njombe pekee? Je, kujifungua mwanamke lazima apatwe na uchungu hospitalini? Je, akipatwa na uchungu akiwa nyumbani...
  16. Joyce joyce

    JamiiForums Tanzania GE2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

    Wakuu, Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa. Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako...
  17. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  18. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza juzi leo anataka nikamgegede nyumbani kwake

    Wakuu kwema, kuna manzi mmoja hivi nilimtongoza jumanne sasa leo anataka nika mgegedee nyumbani kwake. Ananiambia ameniandalia chakula pamoja na vinywaji hivyo nisiache kwenda Wakuu nishaurini niende au nisiendee maana waweza kuta nimtego
  20. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania UTAFITI WANGU: Kwanini wanafunzi wengi (jinsia zote) wenye maendeleo mabaya shuleni huwa ni watu wa kujituma sana katika shughuli ngumu za nyumbani?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi. Ndugu zangu...
Back
Top Bottom