Nimeacha na ninakwepa sana kwenda nyumbani kwa Mjomba wangu kuepusha Matatizo ya Kifamilia

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,511
Uncle alifanikiwa kuoa mke mzuri akamzalia kitoto kizuri cha kike miaka ya nyuma kilikuwa kidogo tu nimekizidi miaka 20 imagine chenyewe ndio kinazaliwa.

Leo hii kimefikisha miaka 22 kimeiva, hips zimechomoka, shavu dodo, kiuno nyigu Ngozi kama imepigwa msasa laini. Yaani ni hatari nimejikuta napata majaribu mengi sana kwa kweli.

Mtoto amekua na anafaa kabisa kuliwa na yeye ananiona mimi bonge la bro...umarekani marekani mwingi sana. Namcheckii halafu nasema "Hiiiiiiiiiiiiiiiiii" bhaghosha....kwa kweli Muumba aingilie kati tu.

Basi ili nisisababishe matatizo ya kifamilia nimeamua kukata mguu kabisa kwa Mjomba maana sasa kame graduate ndio kabisa kapo home. Nikienda hivi mpaka kanasema "bro unaniangalia mpaka nashindwa tembea" basi hapo nacheka cheka tu kama fala.

Niliona sababu mimi ni mtu mzima najielewa, nina akili, busara, hekima na elimu ya juu basi niamue jambo la busara siendi kwa uncle hata iweje nmekuwa nikigoma kabisa kwenda maana naona tutatafutiana lawama tu siku za usoni.

Nawashauri vijana ukiona kama kuna jambo linakuvutia ila si sahihi likwepe mimi sitokanyaga tena kwa mjomba labda yule binti akiondoka.
 
Unatuaibisha wahenga wenzio kamanda. Miaka 42 bado unafikiri kuchakata katoto ka mjomba wako ambako unakazidi miaka 20? Badala ya kufikiri utakasaidiaje kwenye mambo ya elimu huko na kukapa miongozo ya kimaisha kihali na mali?

Hata kama kabila lenu linaruhusu kuchakata mtoto wa mjomba wako lakini waachie haya mawazo vijana wa below 30. Aibu sana hii aisee!
 
Back
Top Bottom