Kwenye soka kutumia nguvu nyingi bila akili ni sawa na bure , Cameroon wanadhalilishwa nyumbani kwao

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
88,460
2,000
Mpaka muda huu wamekwisha tandikwa magoli 4 kwa nunge nyumbani kwao , Magoli yanaweza kuongezeka hadi kuvunja rekodi ya Southampton .

Aibu kubwa sana !
 

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,642
2,000
Mpira wa maguvu ni sawa kama waamuzi ni wako kama wanavyocheza utopolo.
Maana utacheza sarakase,kung fu na taikondo ila kadi hupewi.Ukikutana na wachezaji wanaojielewa,wanaweza wakasema funika kombe mwanaharamu apite.Ukikutana na wabishi mechi inaharibika maana wakilipiza kisasi tu,wao ndio wanapewa kadi
Mpaka muda huu wamekwisha tandikwa magoli 4 kwa nunge nyumbani kwao , Magoli yanaweza kuongezeka hadi kuvunja rekodi ya Southampton .

Aibu kubwa sana !
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom