Mnaosoma degree, kama pesa ipo nyumbani na mwaka wa pili GPA haisomi, hama chuo uanze upya

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,026
Nina ndugu yangu alikuwa IFM, cheti kilikuwa na makarai mengi kwasababu yeye chuoni alikuwa mzee wa bata sana, Baada ya kuona ana GPA ya 3.1 hakufurahi kwasababu kazi ya ndoto yake ilikuwa kuwa lecturer, alienda kusoma degree ya pili Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA).

Alikaza sana aliacha michezo yake ya zamani ikawa ni kitabu na yeye mwanzo mwisho. Alikaza akatoka na GPA yake ya 4.2. akaunganisha Masters Mzumbe na huko akapasua fresh, akaanza kusoma CPA huku anatafuta kazi. Mwaka jana alipata ajira mwezi wa tano huku akiwa kabakiza somo moja tu la CPA. CPA yake akaipata mwezi wa 11 mwaka jana.

Yani saizi ana Degree yake safi, Masters safi, CPA yake na ajira yake ya ndoto.
 
Anasimulia kuwa ndugu yake akiwa anasoma IFM alikuwa anafuga mabata wengi kwenye makarai
Bujibuji.. huwo msemo eti makarai.. mengine utokea ili uelekee kule Mola amepangia mtu.. hiyo iga iga ni kusali kwanza au mtu anaweza potea kabisa kwa ramani.

hivi Bujibuji ile story ya kupelekwa kwa nyumba ya mtu :D :D :D eti ulitekwa sijui nini ni kwanini uliandikaga uliwaza nini.. ukatunga au? huwa nacheka nikikumbuka.. andika story tusoma
 
Jana nilienda kula nyama choma PUGU MNADANI nikowa Manase na Jemima. Nakuja PM nikupe mkasa mzima
 
Bujibuji.. huwo msemo eti makarai.. mengine utokea ili uelekee kule Mola amepangia mtu.. hiyo iga iga ni kusali kwanza au mtu anaweza potea kabisa kwa ramani.

hivi Bujibuji ile story ya kupelekwa kwa nyumba ya mtu :D :D :D eti ulitekwa sijui nini ni kwanini uliandikaga uliwaza nini.. ukatunga au? huwa nacheka nikikumbuka.. andika story tusoma
Hivi huwa unatumia google translator kuandika ama?
 
Back
Top Bottom