nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Dharau, kuto kulala nyumbani na kukuta meseji za mapenzi kwa mkeo kunastahili adhabu gani?

    Wadau hebu tujuzane kidogo adhabu zinazoendana na situation pale mke wako anapokudharau, Halali nyumbani na akirudi hataki kuuliza maswali na kukuta meseji anachati na wanaume wengine na hataki umuingilie. Tuachane kidogo na ulimwengu wa wazungu maana wao sio mfano wa kuigwa wanaruhusu hata...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanawake wa Jiji la Mbeya wamlipia fomu Mbunge wa milele wa jimbo hilo, Joseph Mbilinyi(Sugu) na kumpelekea nyumbani kwake

    Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo. Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
  3. DAGAA WA MWANZA

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa. Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais...
  4. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati Corona ikipamba moto, zaidi ya wagonjwa 500 nchini Kenya waruhusiwa kwenda nyumbani kujitibu

    Kutokana na taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Afya nchini Kenya leo tarehe 21/06/2020, Kenya imerekodi visa 260 vipya vya maambukizi ya virusi vya Corona na kupelekea jumla idadi ya maambukizi kuwa 4,738. Idadi hii ya maambukizi inavunja rekodi ya idadi ya maambukizi mengi kutangazwa kwa...
  5. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Diaspora rudini nyumbani

    Yapo mengi yatakayo washangaza, pale mtakaporudi, maisha hayo ya utumwa mliyonayo huko, ebu rudini nyumbani, huku nyumbani kumenoga, kama ni hizo kazi za kutunza wazee na kuosha vyombo mahotelini hata huku ziko rudini. Wale ambao mlitusaliti baada ya kuelimishwa na Taifa tena bure mkakimbilia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    Ndugu Mzazi/Mlezi; *Kuelekea kufungua Shule(Toka likizo ya Janga la corona), ADA YETU ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:- 1. Ili kuwapa wepesi wazazi katika kufanya Malipo ya Ada kutokana na Janga hili la korona, Uongozi umeamua kupunguza ada kwa kiasi cha Sh. 100,000/= (Shilingi laki moja). Hivyo bas:-...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako huwa anakupokeaje?

    Unapotoka kwenye mihangaiko yako, labda kazini au katika kusaka shughuli mbalimbali za kujipatia kipato, na kurejea nyumbani labda jioni au usiku. Je, mpenzi wako huwa anakupokeaje, na huduma ipi huwa anakupatia kwanza?
  8. Ronee

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana kwa ajili ya shughuli ndogondogo za nyumbani

    Kijana alietayari ajitokeze, maeneo ni mkoa wa Dodoma, ipo mifugo michache ya kuhudumia. Umri ni Kati ya 18 na 20. Mwaminifu na anaejituma. Malipo ni maelewano. Weka namba yako hapa nitakupigia au njoo inbox, pia waweza tuma sms kupitia 0764257303 utajibiwa.
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

  10. Joyce joyce

    JamiiForums Tanzania Hii ya Dkt. Chriss Mauki mnaionaje wakuu? Huyu si muharibifu wa ndoa za watu?

    Wakuu, huko kwenye twitter nimeona wanaume wakimshambulia Ndugu Chris Mauki kutokana na bandiko lake aliloweka huko kuwa wanaume ambao wanaombwa hela na wake zao na kusema kuwa kuna Jambo nafuatilia kila Siku wanasema hivyo, Chris Mauki anasema kuwa hao wanawake wanapaswa kujua kuwa wameolewa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, kabla ya watoto kurudi shule, wewe toka kwanza nyumbani kwako Chato rudi ofisini Ikulu

    Kwa mujibu wa sheria za nchi ofisi rasmi ya raisi ni Ikulu, Ikulu zozote zilizo ndani ya nchi na wala siyo nyumbani kwake. Kwa sasa zaidi ya siku 50 Rais anafanyia kazi za nchi ndani ya nyumba yake huko Chato, sijajua yale mafaili confidential ya nchi anayaweka sebuleni kwake au dining room...
  12. TIPSEU TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuwapa wanafunzi mitihani wakiwa nyumbani

    Kwa wadau wote wa elimu,mimi ni msimamizi ya taasisi ya elimu ya TANZANIA INTER-DEPENDENCE PRIMARY SCHOOLS EXAMINATION UNION Tumeweza kubuni mbinu ya kuwasaidia watoto kipindi hiki cha corona, ambyo sasa wanafunzi nchi nzima watafanya mitihani kupitia link za mfumo bila kutoa copy,halafu matokeo...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uturuki yarudisha raia wake nyumbani kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania kutokana na maambukizi ya Corona

    Raia wa Uturuki wamehamishwa kutoka Ujerumani na Tanzania mapema Jumapili na kuwekwa chini ya kizuizi(karantin) cha siku 14 ili kupunguza kuenea kwa virusi vya corona. Jumla ya Waturuki 157 kutoka Ujerumani wamepelekwa mkoa wa Kayseri na baadaye kupelekwa katika mabweni ya wanafunzi kwa ajili...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Idadi ya vifo kwa wanaoguziwa nyumbani ni kubwa kuliko walioko hospitali

    Vifo vinavyotokana na CoronaVirus vya wagonjwa wanaouguziwa nyumbani inaongezeka kwa kasi kuliko wale wanaoguziwa hopitalini Ofisi ya Takwimu ya Uingereza yasema Katika wiki iliyoisha Mei 1, vifo vya CoronaVirus viivyotokea katika nyumba binafsi vilikuwa ni 35.7% ya vifo vyote, na idadi hiyo...
  15. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kasumba ya mabinti wengi wa Kisabato kuzalia nyumbani ni jambo la kawaida?

    Wakuu poleni kwa baa la korona Hakuna watu wasomi na wadadisi wa maandiko kama wasabato. Hakuna watu makini katika swala la lishe kama Wasabato. Hakuna watu wenye msimamo na imani yao kama Wasabato Lakini swali langu ni moja: Ni kwanini mabinti wengi wa kisabato huzalia nyumbani kabla ya ndoa...
  16. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba ukiona Ndugu wengi wa Mke (Mwanamke) wanafululiza kuja Nyumbani Kwako ni dalili ya kwamba Umeshakamatika Kindumba?

    Kuna nyumba mbili napakana nazo huu ni Mwaka wa Tatu sasa naona tu ndugu wa upande wa Mwanamke (Mke) wakifululiza kuja na hata wakija huwa wanakaa hadi waamue wao kuondoka ila Ndugu wa Mwanaume (Mume) wakija huwa hawakai hata siku tatu na wakati mwingine utakuta Mwanaume ndiyo anawaambia...
  17. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

    Habari za uzima ndugu zangu, poleni sana na miangaiko ya hapa na pale, Mimi ni kijana mwenye miaka 37 kwa sasa elimu yangu ni degree, kama mnakumbuka nilishawai kuja na uzi wa baba yangu mzazi wa kunizaa kunitimua nyumbani kisa eti mimi ni mwanachama wa chama cha mapinduzi kisa cha kunifukuza ni...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemaliza JKT na kurudi nyumbani akili yake inakuwa kama mtu anayehangaika na kutafuta Rupia ya Mkoloni

    Nimefuatilia mazungumzo ya vijana kadhaa waliomaliza mikataba yao ya JKT miaka 2 na wengine kuongezewa miaka au miezi kisha kurudi nyumbani bila ajira. Wengi wao akili zao zinakuwa na walakini utadhani watu wanaotafuta Rupia ya Mjerumani mapangoni na milimani. Unaweza ukamuuliza swali moja...
  19. Ngwanakilala

    JamiiForums Tanzania Kuhakiki taarifa za mpiga kura kwa kutumia simu yako ukiwa nyumbani bila kwenda mahali popote

    Fuata Hatua Zifuatazo Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura Kwa Kutumia Simu Yako Ukiwa Nyumbani Bila Kwenda Mahali Popote. Ni vyema kila mtu ahakiki na mwezi wa kumi aende kupiga kura ili kuamua mustakabali wa nchi yetu na future yetu sisi na watoto wetu Chagua namba 9 Chagua namba moja Weka...
  20. Victoire

    JamiiForums Tanzania Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

    Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi. Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi? This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo...
Back
Top Bottom