nje ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Marekani yavunja Rekodi yake ya kuuza silaha nyingi nje ya Nchi

    Mauzo ya silaha za Marekani nje ya Taifa hilo kwa Mwaka 2023 yameongezeka kwa 56% tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2022, yakifikia jumla ya Dola Bilioni 238 huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ukizidisha mahitaji hayo ya silaha. Poland ambayo iko katika harakati za kupanua jeshi lake, ilifanya...
  2. Pascal Mayalla

    Exposure ni kuona tu au ni kuona na kujifunza? Mbona tunasafiri sana, tunaona mazuri ya wenzetu, lakini hatujifunzi na hatubadiliki? Tumeridhika?

    Wanabodi Kuna huu msemo kuona ni kuamini na ni kujifunza!. Je, Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais wetu, nje ya nchi?. Je tuige mazuri ya wenzetu yatatusaidia au sisi ni sisi na wao ni wao? Hoja hii ni...
  3. and 998 others

    Naweza kutibiwa nje ya nchi kwa kadi ya bima ya Afya (NHIF)?

    Wakuu nilitaka kujua ikiwa mimi ni mwanachama wa NHIF na sasa nipo Ivory Coast. Naweza kupata huduma huku kwa kutumia kadi yangu ya NHIF?
  4. P

    Ni furaha iliyoje kurejea nyumbani baada ya kukaa nje ya nchi kwa muda mrefu?

    Ni takribani miaka 15 tangu nimeondoka nchini na kwenda kutafuta fursa katika nchi za wazungu. Ni katika harakati za binadamu kutafuta rasilimali za kuboresha maisha yake na ya watu wengine wanaomzunguka. Hivyo mimi si wa kwanza na sitakuwa wa mwisho. Hata muda huu ninavyoandika airport, bus...
  5. JanguKamaJangu

    Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi watoa msaada wa vitabu 100 kwa Wanafunzi Kyela

    Zaidi ya Vitabu 100 vya masomo mbalimbali vimetolewa na Umoja wa Wazawa wa Kyela Mkoani Mbeya waishio ndani na Nje na Nchi, Kyela Ibasa Festival kwa ajili ya kuwawezesha Wanafunzi kuanzia Kidato cha kwanza hadi cha nne kusoma kwa utulivu na kumaliza mada zote kwa wakati ili kujiandaa na...
  6. Erythrocyte

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na Nje ya Nchi 17/12/2023

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi . Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje...
  7. S

    Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

    Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa Umakamu wa Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.? Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima, sasa iweje kwa Makamu wa Rais? Ni kazi gani hiyo? Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa...
  8. R

    Wenye uzoefu wa safari za nje ya nchi naombeni kueleweshwa hapa kuhusu Yellow fever card

    Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani. Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo...
  9. Kindeena

    Magazeti RFA: Makamu yupo ziarani nje ya nchi

    Kipindi cha RFA Magazeti asubuhi kimemnukuu Waziri Mkuu akisema ya kwamba Makamu wa Rais yupo ziarani nje ya nchi.
  10. kikoozi

    Msaada wa Taasisi au Mawakala wa uhakika wa kuunganisha kazi nje ya nchi (Ulaya/ Marekani/ Kanada)

    Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA, MAREKANI AU CANADA sipendelei kabisa nchi za ASIA, Kama unajuana na mtu wa uhakika isiwe ya...
  11. JanguKamaJangu

    Ummy Mwalimu: MOl imepunguza rufaa za Wagonjwa kwenda nje ya nchi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa Tanzania inakwenda kuwa kitovu cha Tiba Utalii kwa kutoa huduma za Afya kwa wagonjwa maalumu wa ndani na nje ya nje. Waziri Ummy amesema hayo leo Novemba 28, 2023 baada ya kufungua mradi wa kliniki mpya ya wagonjwa maalum na wa kimataifa iliyopo...
  12. BARD AI

    Rais Samia na Ruto wanakimbizana kwa kufanya safari Nje ya Nchi

    Licha ya Rais William Ruto kueleza manufaa ya ziara zake Nje ya Nchi, mapokeo yamekuwa tofauti kwa Wananchi wakiwemo Watumiaji wa Mitandao ambao wanakidai Rais hakai Ofisini ili kutatua changamoto za Gharama za Maisha. Katika kipindi cha miaka miwili, Ruto amefanya ziara 42 katika 26, Nchi 15 ni...
  13. P

    Wenye uzoefu wa kusafiri nje ya nchi kwa basi naombeni uzoefu

    Habari ndugu wana JF. Kama mada inavyosema. BInafsi nina mpango wa kufanya safari nje ya mipaka ya Tanzania 🇹🇿 kwa njia ya basi kwenda nchi za Sadc na Eac kwa dhumuni la kutalii(Kutembea). Tayari nina documents zote muhimu kama yellow fever, COVID-19 certificates na Passport. Naomba...
  14. Life2

    Kuna haja ya vyombo husika kuchunguza zile kambi za Simba nje ya nchi

    Huu ni ushauri tu kwa vyombo husika vinajifahamu siwezi kuvitaja hapa. Ila kwa kifupi kuna haja ya kuchunguza zile kambi za nje za Simba wanaenda kwa minajili gani, tunaelewa humu kwenye football kuna uovu mwingi sana umejificha kama vile, Kamari, Rushwa, Upangaji wa matokeo na pia biashara...
  15. JanguKamaJangu

    Mbunge Dkt. Mhagama: Wafanyabiashara wengi wanashindwa kufanya biashara nje ya Nchi kwa kuwa hawana Dola, hili ni tatizo kubwa

    Wabunge wamechangia kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2024/2025 pamoja na muongozo wa maandalizi ya Mpango wa Bajeti Mwaka 2024/2025, leo Novemba 7, 2023. Akichangia hoja, Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama amesema Wafanyabiashara wengi wakubwa...
  16. R

    Ni utamaduni sahihi kwa Marais kuteua viongozi wakiwa nje ya nchi? Inaleta taswira chanya?

    Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu? Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu? --- - Rais Samia ateua Katibu...
  17. Samia atosha tukutane2030

    Mtanzania usijiroge kwenda kutafuta maisha nje ya nchi. Tanzania kuna maisha yote

    Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni. Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje. South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama...
  18. Mhaya

    Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

    Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi. Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania. https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Japokuwa Nchi yetu inashika...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Dotto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi Heshima Mheshimiwa Waziri wa Nishati na naibu waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Doto Mashaka Biteko, Kabla ya yote napenda kuchukua...
  20. Strong and Fearless

    Mwanafunzi aliye-graduate chuo cha nje ya nchi anakua more potential na kupewa kipaumbele kwenye ajira?

    Je, mwanafunzi alie-graduate chuo cha nje ya nchi anakua more potential na kupewa kipaumbele kwenye ajira tofauti na alie graduate ndani ya nchi?
Back
Top Bottom