Meneja: Kibu ana ofa tatu kutoka Nje ya Nchi

Smart codetz

Senior Member
Jan 25, 2023
191
753
Ofa za usajili zilizokuja mezani za Kibu Denis kutoka nje ya Tanzania ni kutoka Misri, Sweden 🇸🇪 na Norway. Amethibitisha meneja wa mchezaji huyo, Carlos Mastermind.

20240502_233019.jpg
 
Kibu ana push agenda za kijinga na wakala wake ili Simba waingie mtego wampe mkataba mnono

Angekua kapata ofa nzuri huko nje wasingehangaika kutangazwa Kila siku, wangekua wanafanya mawasiliano kimyakimya!! Wanatangaza kwa faida ya nani?
 
Back
Top Bottom