ndoa

  1. S

    Dawa nzuri ya kumvuta mke ambae hataki kurudi kwenye ndoa

    Wadau nipeni mix ya dawa za kumvuta mke ambae yuko mbali na hataki kurudi
  2. Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

    πŸ€—
  3. Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

    Sehemu ya 1. sina budi kuendeleza hii stori. Iko hivi wife na mimi tulifahamiana Kijijini. Nilikuwa F6 yeye akiwa F4 leaver. Nilimsaidia akapata Chuo cha Takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo tulioana, mimi nilikuwa nafanya kazi. Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto...
  4. Ndoa ni agano la milele

    NDOA NI AGANO LA MILELE Neno la Mungu linasema, MATHAYO 19:3-12 "Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu? Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke, Akasema, Kwa sababu hiyo...
  5. Ndoa na Familia yenye furaha na amani ina Mungu. Yenye mafarakano huzuni na chuki ina shetani

    NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI. AnΓ andika, Robert Heriel Mtibeli Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni marafiki. Mnashrikiana kwa karibu kila kitu. Mnakula pamoja. Yaani ninyi maisha yenu kwa asilimia 80%...
  6. Video Clip: Fumbo la Ndoa

  7. Si niliwambia msioe:- Kuna mwanamke anaenda kuangukiwa na chuma kizito kisa ndoa..!!!

    INTRODUCTION... Za muda Wana JF ....... Unaukumbuka mkasa huu wa John, Michael na Mkewe.... https://www.jamiiforums.com/threads/nikiwaambia-msioe-muwe-mnasikia-kwa-miezi-4-mwamba-kaishi-maisha-magumu-bila-mshahara-kumbe-mkewe-ana-laki-8-ndani-na-usaliti-juu-kaambulia.1925237/ MAIN BODY...
  8. Wanawake NENDENI kwenye makambi ya wanawake wa kilokole mponye ndoa zenu

    Jamani bila kuchelewa NI hivi,siku HIZI unyago hakuna. Ikiwepo siku moja,mbili. Nawashauri,NENDENI kwenye makongamano ya wanawake wa kilokole jamani,Kuna Mambo kuhusu mahusiano mpaka ndoa yaaani NI πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Nakwambia mabinti Wana masomo Yao,walioolewa Wana...
  9. Dkt. Lilian Mnabwiru: Kitaalam inashauriwa kwenda kukojoa baada ya kumaliza tendo la ndoa

    Dkt. Lilian Mnabwiru, Bingwa wa Magonjwa ya Kina Mama na Masuala ya Uzazi, Muhimbili anasema Urinary tract infections (UTI) ni ugonjwa unaoathiri njia ya mkojo na moja kati ya njia au sababu zinazoweza kusababisha maambukizi ni wakati wa kujamiiana hasa kama mazingira si masafu. Ameyasema hayo...
  10. Kama ndoa zenyewe ndiyo hii wakuu aisee naungana na watu wa kataa ndoa,ndoa ni utumwa

    Hawa jamaa wa kataa ndoa wapo sahihi kabisa yaani jamani kwenye ndoa kuna mambo ya hovyo sna aisee asikuambie mtu kabisa kqwnye ndoa kuna mambo ya hovyokupitiliza bora wakati niko single ilikuwa poa sana Nilihisi kwenye ndoa nitapata peace of mind yaaani ndiyo kwanza napata depression na...
  11. F

    Shirika la Wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa limesajiliwa kwa sheria gani? Video yao imenifanya niogope Ndoa

    Habari wadau. Kupitia Leo tena ya clouds FM imenifanya nilijue shirika la wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa. Nikakutana na video ya maelezo ya wanachama wao. Baada ya kuitazama hiyo video, nimecheka sana na kidogo Nimewaelewa wale wanaume wa humu jamiiforums wanaosema Kataa ndoa...
  12. Kosa kubwa tunalolifanya kabla ya kufunga ndoa

    Nimejaribu kutafakari ni kwanini kasi ya kupeana talaka na migogoro ya kwenye ndoa imeongezeka mara dufu katika zama hizi kuliko kipindi chochote kile na nilichokibaini ni kwamba kuna mahali tunakosea. Ikumbukwe kuwa watu wanapoamua kuishi pamoja kama mke na mume au kufunga ndoa ni moja ya...
  13. B

    Kama ilivyo ndoa za kiserikali, sasa ni muda serikali ije na utaratibu wa Mazishi ya Kiserikali

    Hizi ni dini za mchongo zilizojaa unafiki na utapeli, zimekuwa zikimantain wafuasi wake kwa kuwajengea hofu ya kutokuswaliwa pindi watakapokufa. Tumeona hili limekuwa likileta sitofahamu kubwa sana kwenye jamii pale ambapo kiongozi wa dini kwa makusudi kabisa anakataa kumfanya ibada ya msiba...
  14. Zijue style na access zake, usalama wakati wa tendo la ndoa

    Hizi hapa Angalizo ni kwa walio kwenye Ndoa Tuu
  15. Kenya: Aliyekuwa Padri wa Kanisa Katoliki afunga ndoa baada ya kujitenga

    Father Edwin Gathang’i Waiguru spoke to the media after Sunday's ceremony Kenyan Catholic priest marries after joining splinter group An ordained Kenyan Catholic priest has taken the unusual step of getting married. In the Catholic tradition, priests are supposed to commit to a life of...
  16. Sofia Mjema kushauri ndoa za utotoni

    Leo 22-10-2023 Serikali imetengua nafasi ya Katibu uenezi wa CCM -Sophia Mjema ambaye hajadumu hata kwa miezi 3 kutokana na kupwaya sana na baada ya nafasi ya kumuweka kukosekana imetengenezwa nafasi ya kuwa mshauri wa Raisi mambo ya wanawake na watoto; Serikali imesaini mkataba waDP World na...
  17. Watoto waliozaliwa nje ya ndoa wana haki ya kurithi

    KESI NYINGINE AMBAYO MAHAKAMA ILISEMA WATOTO WALIOZALIWA NJE YA NDOA WANA HAKI YA KURITHI: Leo tunasoma kesi ya ELIZABETH MOHAMED v. ADOLF JOHN MAGESA ADMINISTRATION APPEAL (RUFAA YA MIRATHI) NO.14 OF 2011 Haya ni baadhi ya maswali machache ambayo utapata majibu yake ndani ya hii kesi.πŸ‘‡ 1...
  18. Nina mwaka wa sita sijavaa pete ya ndoa, je ni kosa?

    Kutokana na changamoto ya kunenepa vidole, imepelekea pete zetu kuwa ndogo, na kuonekana kama adhabu pale tunapo zivaa. Kwa upande wangu, ni mwaka wa sita huu huwa sivai pete ya ndoa zaidi ya kuishi katika maadili ya ndoa tu. Hii imepelekea wadada kujipitisha pitisha, wakiamini nipo singo; na...
  19. Ndoa ya mke mmoja ni maagizo potofu ya mwanadamu, sio Mungu. Ukweli huu hapa

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuchelewa. Kuoa wake wengi ninaamini ni sawa kwa utamaduni wa mababu zangu na kwa dini zote za asili ya Abraham maana hakuna ilipozuiwa. Nitakuwa mwendawazimu sana nimezalizaliwa na mke wa pili kwa baba na kisha nimezeshwe dhana ya uongo tu na mchungaji au...
  20. Uchoyo kwenye Ndoa, Mkeo na watoto wamekondeana alafu wewe umenawiri

    UCHOYO KWENYE NDOA, MKEO NA WATOTO WAMEKONDEANA ALAFU WEWE UMENAWIRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati nakua Wazee wangu walitupiga marufuku kula bingo. Bingo Γ±i chakula ambacho vijana wanachanga pesa kisha wanaenda kukipika, inaweza kuwa Nguna(ugali) na samaki au nyama yenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…