Dawa nzuri ya kumvuta mke ambae hataki kurudi kwenye ndoa

Endelea kumpenda na kumuombea arudi salama. 🤗

Nimeenda umeweka aibu pembeni ukiwa umeoza kwa kumpenda mkeo..

Ila kwenda wapi? Na wewe upoje ki kuwa mume kwake? Mengine fikiria nje ya boksi siyaulizi.
 
Kama ulishaishi nae akaondoka, weka sababu za mke kuikimbia ndoa.

Kama bado hujaoa ndo unataka kumvuta uoe, sema kuvuta mchumba.

Njia ziko nyingi, ila kuu ni matendo yako juu yake. Huwezi sema unampenda halafu unamuumiza kihisia.....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom