Mwanadada maarufu pande za Nyankumbo Geita alibahatika kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi Shaaban Nyakonga ambaye ni askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Geita.
Itakumbukwa takribani miaka 2 iliyopita mwanadada Shelida alijizolea umaarufu baada ya kuwapigia zimamoto simu kwa...
Ni kweli asilimia kubwa ya wanaume wamezaliwa na uwezo wa kufanya mapenzi
Tatizo kubwa ambalo naona linawasumbua watu wengi ni kukosa hisia na sio kutokuwa na uwezo
Tatizo lilianzia pale ambapo tulijiona tunawahi kufika mwisho kabla ya wapenzi wetu jambo ambalo lilitufanya tuombe ushauri Kwa...
Hizi ndoa hapana wakuu!
Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa.
Mfano:-
Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na x wake ujue hiyo hali itaendelea mpaka ndoani na wanaweza wakazaa na mtoto na ukamsomesha kabisa...
Ndugu zetu Islam na wazee wa Mila wameweza kudumisha ndoa za wenza wengi na kutokana na elimu waliyonayo ni jambo linalowezekana sana na linatibu jamii ambayo infidelity imekuwa order of the day.
Wakristo na Serikali wamejikita kwenye ndoa ya mme mmoja to mke mmoja ambapo ukiangalia ratio ya...
"During your life never stop dreaming. No one can take away your dreams"
- Tupac.
NDOA ni chanzo kimoja wapo kilichochangia kiasi kikubwa cha kutokomeza kama sio kuua kabisa ndoto za watu wengi katika jamii. Watu walikuwa na malengo na kumiliki biashara kubwa, kuwa wanasheria mashughuli na...
Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.
Naomba tumshauri, anatakiwa afanye...
Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina.
Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto.
Baadhi walifanikiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa, wengi ndoa zao zikafa, licha wapo wachache zimesimama imara.
Kwanini hali ni...
Imekuwa kawaida sana kwa nchi nyingi barani Afrika na hata duniani kujaribu kupinga ndoa za mapema na Tanzania ikiwemo. Kigezo kikubwa kimekuwa kitajwa kuwa umri kati ya muoaji na muolewaji.
Baada ya tathmini fupi nimekuja kugundua kuwa suala la malezi lina nafasi kubwa katika ndoa kuliko umri...
NDOA NI LAZIMA KWA WATU WANAOTAKA KUWA NA FAMILIA NA KIZAZI BORA, ILA KIZAZI CHA MBWA AU NYOKA NDOA SIO LAZIMA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kama hutaki kuzaa watoto na kuwafanya wawe watoto bora wenye malezi ya Baba na Mama. Basi kwako Ndoa sio lazima.
Ndoa sio ishu ya Sex pekee. Sex...
Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.
Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.
I real don't...
Ugomvi ndani ya nyumba ya wanandoa huchukuliwa kama ni jambo la kawaida, Inasikitisha kusikia kwamba ukatili huu unachukuliwa kama jambo la kawaida katika jamii yetu. Watoto huona huu unyanyasaji na kuhishi pia ni jambo la kawaida mpaka wanapo kuwa na kupata ufahamu zaidi na hapo ndio kujua baba...
Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa?
Mfano mwanandoa akaamua kubadili dini na kuwa Muislam, na akaamua kufuata sunna ya Kiislam akaongeza mke wa pili, hii imekaaje kaaje?
Ndugu wanachama na masenior , magavana na maseneta wote tuliobarikiwa kujielewa kwamba katika ulimwengu wa kibepari kuoa na ndoa ni adui wa maendeleo ya kiuchumi.
Karibu tufanye mjadala wa kuandaa agenda.
Mwenyekiti Donedrake karibu kwa muongozo wako.
Mimi ntakuwa mwenyekiti wa kamati ya...
Rais Biden wa Marekani anasema msingi wa ndoa yake ni mapenzi motomoto na mkewe, good sex.
Biden anasema huwashauri wasaidizi wake wasiache kufanya mapenzi kadri wawezavyo.
Biden ana miaka 81, kikongwe kabisa lakini bado anapeleka moto ajuza wake, cha ajabu unakuta kijana mdogo wa miaka 20-40...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kutokana na umri wangu sio rafiki tena. Acha nifupishe. Unapoingia kwenye mahusiano ya mapenzi ambayo unataka yawe serious na au unaingia kwenye ndoa na unataka utulivu. Kuna mambo lazima uyajue na kuyaelewa.
Mambo hayo ni kama ifuatavyo;
1. Hisia hubadilika...
Nilipokuwa darasa la Saba mwaka 2011, tulishuhudia mwanafunzi mwenzetu akisitishwa masomo ili arudi nyumbani Skonge kwa ajili ya ndoa. Hii ilikuwa mshangao mkubwa kwetu sote, hasa ikizingatiwa kuwa tulikuwa tunakaribia mitihani ya mwisho ya NECTA na wazazi wake tayari walikuwa wamemlipia ada...
Mitaani huku ndoa zinavinjika kila kukichaa, leo asubuhi nimekutana na magazeti mawili mmoja mke wa rafiki yangu na mwingine mke wa mjomba wangu wote wanataka kutundika daruga nimekosa cha kuwashauri maana mimi mwenyewe ni mhanga miezi kadhaa iliopita nimepigwa pia na kitu kizito... Sababu...
Habari za asubuhi wana JF
Bila kupoteza muda, moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwanini watu waliooa wanahangaika na watu wasiooa? Mwanaume asiyeowa anaonekana kuna jambo analiepuka bila sababu. Kwanza muelewe kila mtu ana sababu zake.
Maneno yamekuwa mengi kwamba wanakimbia majukumu, hawajakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.