ndoa

  1. Analogia Malenga

    Wanandoa vikongwe zaidi duniani kusheherekea miaka 80 ya ndoa

    Wanandoa wakongwe zaidi duniani wanaoishi nchini Marekani, John na Charlotte Henderson kusheherekea miaka 80 ya ndoa yao. Kwa mujibu iliyoandikwa na jarida la Washington Post, Charlotte (105) na John (106) wanandoa ambao wamedumu kwenye ndoa kwa miaka 80, ndoa yao inasemakana kama ndoa...
  2. CORAL

    Wenzi wa ndoa wajinyonga mara tu baada ya ya harusi. Pana funzo hapa

    Ile tabia ya wachumba kufanya sherehe za gharama kubwa wakitegemea michango ya watu imewagharimu uhai wanandoa mara baada ya harusi yao huko Kenya. Walikodi hoteli ya nyota 5, walikodi helikopta na mbwembwe nyingine nyingi wakiamini michango itawacha wakiwa mamilionea baada ya harusi. Lakini...
  3. jonas255

    Taratibu za kuvunja ndoa bomani

    Habari wana JF Mimi nilifunga ndoa ya bomani, ila ndoa yangu iliingia doa na uwezekano wa kurudiana imeshindikana. Nilikua naitaji kujua taratibu za kuvunja ndoa za bomani, maana sheria inataka ndoa za Kiislam tu ndio zivunjwe mahakamani, ila za Kikristo na za bomani hazijazungumziwa. Asanteni.
  4. Etwege

    Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

    Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani) Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama...
  5. Ndikwega

    Tujadili: Wapi wana amani ama wanafurahia maisha kati ya wanandoa na walio nje ya ndoa?

    Habarini WanaJukwaa Pendwa la MMU! Katika Pita pita yangu nimekutana na Msuguano Mkali wa Juu ya Raha ya Kuwa na Ndoa ama Kutokuwa kwenye Ndoa. Kuna Wengine Wamesema Ndoa ina Raha saana maana Ndiyo Utimilifu wa Maisha wenyewe. Wamedai kuwa Ukiwa Nje ya Ndoa maanake kunakuwa kama Kiungo...
  6. BabaMorgan

    Kwenye ndoa kosa la usaliti linastahili msamaha?

    Napenda kujifunza kutoka kwenu especially kwa wale walioko kwenye ndoa na wale ambao hali kama hii ishawatokea. Je ukimfumania mwenza wako anachepuka ndani ya Nyumba yako kiasi cha kwamba kukatokea ugomvi uliofanya jamii nzima ijue unagongewa unaweza kumsamehe mwenza wako na kuendelea kuishi...
  7. Hashpower7113

    Sheikh Kandauma: Ndoa ni mapenzi na huruma

    Kutoka kwa Sheikh Ahmed Kandauma Kila sifa njema anastahili Mola wa ulimwengu huu ambaye ni Allah Subhannahu Wataalah, na rehema na amani ziwe juu yake Mtume Muhammad (S.A.W). Tunamshukuru Allah kwa kutuwezesha kukutana tena katika ukurasa huu ambapo tutajadili mambo mbalimbali yanayotusaidia...
  8. M

    Mchungaji aingia kwenye mgogoro wa ndoa baba mke wake kisa binti wa kanisani

    Inadaiwa mchungaji wa Kanisa la Restoration Bible Church huko ruaha Iringa ameingia kwenye mgogoro wa kifamilia na kanisa kutokana na mchungaji huyo aliyefahamika kwa jina moja la Jeremia kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdada aliyejulikana kwa jina la Vaileth ambae pia amempa kacheo flan bila...
  9. S

    Nimemtia mimba mzazi mwenzangu akiwa kwenye ndoa yake ya miaka 7. Nifanye nini?

    Miaka 9 iliyopita nilimtia mimba Mwanachuo wa mwaka wa 2 akajifungua mtoto wa kiume. Hatukuweza kuoana maana na mimi ndiyo kwanza nilikuwa nina mwaka mmoja mtaani sina mbele wala nyuma. Hivyo kila mtu alishika 50 zake na kutafuta mwenza wake mpya wa maisha. Lakini malezi ya mtoto niliyabeba...
  10. Sky Eclat

    Kipanya:Bebi nimeahirisha ndoa yetu kwasababu ya Magufuli

    Kama hakukuoa awamu ya nne sahau ndoa hapo.
  11. Am a star

    Siku akikubali natangaza ndoa/ nipeni maarifa

    Wakuu!!! kwa kawaida mimi ni mtu wa kuchagua sana mtu wa kua nae kwenye mahusiano...pamoja na hilo chaguo langu la mwisho lilinijeruhi moyo wangu kisawasawa, nikaamua kuweka kando mambo ya mahusiano. Hali ya kupenda kujali na kuvumilia ikapotea kwangu.. Mara...
  12. matunduizi

    Ni rahisi sana mwanamke aliyezoea kufikishwa kileleni kabla ya ndoa, kuachika akiolewa

    Mazoea ya utundu wa kuchepukachepuka na kubobea katika migegedo ya viwango vya juu nje ya ndoa ni kujiandaa kuvunja ndoa siku chache baada ya kuolewa. Kama ulizoea kufikishwa Everest na Kilimanjaro huko uzinzini na ndoani unaishia kufikishwa mlima Kilimanjaro wa pale EPZA Ubungo External...
  13. Sky Eclat

    Kama Mtume Paul aliweza kuwatangazia watu wa mataifa na kuwabatiza kuwa Wakristu bila tohara kanisa liruhusu ndoa za wake wawili kuepusha michepuko

    Sikuhizi kuwa na mchepuko ni kitu cha kawaida sana. Hasa kwa wenye ndoa za mke mmoja. Mchepuko anapata mahitaji yote lakini hajulikani kwenye ukiona. Si jambo la kushangaza unakuta mama anamuona mwanaume J3 mpaka Ijumaa akitoka kazini lakini saa tatu lazima awahi kwa mke wake. Mchepuko...
  14. Y

    simulizi za ma-x zimevunja ndoa ya jirani

    usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana.... alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga show balaa sijapata kuona, kauli hii ilimkasirisha sana mwanaume na kuhisi yeye hawez kazi.... ndipo...
  15. YEHODAYA

    Kwanini walimu wa kumfundisha mwanamke aishi vipi kwenye ndoa ni wanaume na sio wanawake?

    Wanaume wengi wawe viongozi wa dini au wa kijamii au wa mitaani ndio huwa wanakomalia kufundisha mwanamke anavyotakiwa kuishi na mwanaume. Ukienda Misikitini unakuta Maimamu na Mashehe ndio walimu wa kumsomesha mwanamke aishije na mwanaume. Ukienda kwa Wasabato unakuta wanaume ndiyo walimu...
  16. N

    Hii ni Siri ya mafanikio ya ndoa au uhusiano,Wakaka mkifanya haya mtauona ufalme wa mbinguni

    Ufalme wa mbinguni click the video pleaeeeese
  17. kwamtoro

    Vijana! Epuka kuingia katika vifungo vya ndoa, na makundi haya 3 ya wanawake

    Pengine unamuona mdada, mrembo, saa nyingine mtafutaji, mwingine anatia tu huruma na wewe ukamuonea huruma, ukaamua kumuoa. My freind makundi haya matutu nitakayo kutajia hawana true love, upendo toka moyoni, mostly ni ma pretender tu. Kumdi la kwanza, MWANAMKE ALIYE FIWA NA MUME WAKE - ukiingia...
  18. Jaji Mfawidhi

    Mwanaume atekwa, ni kilio kwa mke wa Ndoa: Wadangaji watuhumuwa kuua

    *UMBUMBUMBU WETU WANAUME NDIO TUNAVYOTUMIKA KULEA WADADA WA MJINI WANAVYOISHI BILA KAZI.* Wanaume wa Dar inasemekana wanatekwa kimapenzi na hata kufa kimapenzi kwa usanii wa wanawake waitwao, wadangaji, hii inatokea maeneo ya Sinza, Kijitonyama,Kinondoni na Mwenge. Msichana akitaka NGUO mpya...
  19. rikiboy

    Mwanaume kuomba msamaha kwenye Mapenzi ni udhaifu

    Mapenzi yana nguvu sana hasa kama Hujawahi kuumizwa, lakini katika Makosa yote mtu hasa mwanaume anaweza kuyafanya kwenye mahusiano bhasi ni KUOMBA MSAMAHA kwa kosa ambalo sio lako ili mradi tu usimpoteze mwanamke ulienae ni Uboya wa kiwango cha lami. Omba msamaha kwa kosa ulilofanya sio manzi...
  20. jabulani jabulani

    Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa na nguvu za kiume

    Basi bwana kama unataka kurudia nguvu zako kama barobaro wa miaka 20 na kidogo chukua hii mayai 7 ya kuku wa kienyeji plus habbat sauwda ya unga vijiko 7 vya chakula UTAKULA huu mchanganyiko mpaka uishe Utakuja kunishukuru baadae.... Ukifanya hivi mkeo atakuuliza mme wangu umezaliwa upya nini
Back
Top Bottom