ndoa

  1. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Pale unapokuwa unapiga Stori na Mpenzi 'Y', ghafla ulimi unakusaliti kisha Mpenzi 'Y' unamuita kwa jina la Mchepuko mwingine

    Habari wana JamiiForums, Poleni na majukumu ya hapa na pale, kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, ghafla tu! Baadala ya kumuita jina lake Mpenzi ambaye upo naye wakati huo, lakini unajikuta unamuita kwa la jina...
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

    Ukiangali kwa makini kataa ndoa uwa wana hoja sisi tuliooa tunapitia mengi sana. Yule Mwanamke wa ndoto zako ambaye kuja nyumbani kwako hataki yupo kwa Mchizi anapika na kupakua, hata zile pesa unazomhonga anampatia. Yule Mkeo uliyemuoa kwa upendo yupo zake hotel anampa tendo Mwanaume wa hisia...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Yesu alitoa muongozo na majibu ya maswali ya taratibu za talaka kwenye ndoa, kwa nini watawa wa kanisa katoliki hawaoi?

    Kwenye Suala la kutoa talaka: Yesu aliwajibu wafarisayo walipomjaribu; Wakamuuliza: “Basi, kwa nini Musa aliagiza kutoa cheti cha kumfukuza na kumtaliki?” 8 Akawajibu: “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Ninawaambia...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Shehe: Profesa Janabi anataka kutuua, atatuvunjia ndoa

    Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja amesikika akisema kwamba, kwa ulaji ule wa Profesa Janabi, ukiwa muislamu mwenye wake wanne unaweza kushindwa kumlisha mkeo "chakula cha chini" na hatimaye ndoa zikavunjika. Amesema haya akiwa na maana kuwa ukibahatika kuoa mwali...
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mtetezi wenu huyu hapa. Kataa Ndoa msipite hapa

    Nadhani kawawakilisha vizuri?.
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

    Kwema Wakuu! Vijana wa siku hizi wamechanganyikiwa mno. Hata vitu vidogovidogo kama maana ya maneno au dhana hawajui. Mathalani, Neno "Ndoa". Kuishi na mwanamke au mwanaume kiunyumba kwa lengo la kuunda familia ndio tafsiri sahihi ya Ndoa. Ndoa ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke kuishi...
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu (Wanasayansi, Wasanii, Wafanyabiashara, Wanamichezo) wazee wa kataa ndoa duniani

    Twende nami taratibu. Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎 1. Oprah Winfrey Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi. Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa. Huyu...
  8. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Marais wakataa ndoa duniani

    Haya wakataa ndoa mmefikiwa🤡 Kumbe kampeni yenu ni kubwa ina watu wazito duniani. 1. Vladimir Putin Huyu bwana nafikiri watu wengi wanamfahamu hapa duniani. Kwa wasio mfahamu huyu ni Rais wa taifa la Russia huyu bwana yeye kama Rais wa wakataa ndoa duniani toka 2013 amekuwa akiishi maisha ya...
  9. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa tuvumiliane shida na raha

    Nyie mnaotaka kuingia kwenye ndoa mnapoambiwa shinda na raha sio Kila shida na Raha mnaweza kuvumilia. Kuna mambo madogo yanaweza kusababisha shida na Raha kuwa ugomvi. Msimu huu wa mfungo ramadhani nimepokea mwaliko wa futuru kwa rafiki yangu, misosi ya Kila aina. Baada ya kutoka kwake...
  10. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unavumilia siku ngapi kama hupewi tendo la ndoa kabla hujaamua kwenda kwenu?

    Wakuu, nimeoa siyo kwa ndoa au harusi. Jana nimerudi na mke, kwangu geto hapa Dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show. Yaani, juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show. Jana nayo tena mambo yamegoma sijui nini. Sina nguvu za kiume. Huyu manzi nilimla kama mara mbili kuna siku show mpaka...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

    Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex. Mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke. Hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika. Kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliopata ubaba kabla ya ndoa, ilikuwaje, ulichukua maaamuzi gani, ndie uliemuoa?

    Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu. Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere. nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Anawatoto watano sasa. Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita, akaacha watoto watano: wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3) kutoka mwisho anaumwa (Athma). Mwanaume akaondoka kachukua mke wa watu kijiji jirani wakaenda Katavi. Hakuwasiliana na familia yake muda wote akiwa Katavi...
  14. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Nyie vijana wa sasa wanaume na mabinti mpo tayari kwa ndoa au mnatania?

    Binafsi machalii wa sasa siwaelewi kabisa kama wapo tayari kwa ndoa au wanaigiza? Sio wanaume sio wanawake yaani wote wanafanana ni kama kichaa na mwendawazimu wamekutana pamoja kuanzisha familia. Hizi ndoa za machalii wa sasa ni kama wanavutana karibu ili kuwa na uhuru wa kufanya ngono...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa

    Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa Jamani wanawake au wanaume tuwemakini na haraka kwenda hospitali tunapohisi unadalili za UTI kwa sababu UTI ikiwa sugu usababisha fagasi kandida ambao baadae uleta shida ya kutopata hamu ya tendo la ndoa
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi kwa Serikali kuanzisha sheria za PreNup Kwa Wanaotaka kuingia kwenye Ndoa kupeusha matapeli

    NI WAKATI SAHIHI KWA SERIKALI KUANZISHA SHERIA ZA PRENUP KWA WANAOTAKA KUINGIA KWENYE NDOA KUEPUSHA MATAPELI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi ukawa na sheria ya Talaka alafu muda huohuo isiwepo sheria ya PreNup. Huko ni kutengeneza mazingira ya utapeli, dhulma na kuifanya ndoa isiwe...
  17. Common Folk

    JamiiForums Tanzania For Men: Wanawake hawathamini ndoa tena, unapooa zingatia yafuatayo

    Katika nyakati hizi, kuna sababu nyingi za kutokuoa kuliko kuoa. Namaanisha wale wazee wa "Kataa Ndoa" have milion reasons ku defend maamuzi yao. Nyakati zimefika ambapo ndoa kwa wanawake siyo tunu tena, hawathamini ndoa kama jambo kubwa maishani mwao. Ndoa kwao wanakiona ni kitu cha kawaida tu...
  18. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    .
  19. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa ni hazina ya kesho

    Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno. Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka. swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia. maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana. Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN, 02...
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Aliyejizolea umaarufu kwa kuwapigia simu Zimamoto ili ajifurahishe afunga ndoa

    Mwanadada maarufu pande za Nyankumbo Geita alibahatika kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi Shaaban Nyakonga ambaye ni askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Geita. Itakumbukwa takribani miaka 2 iliyopita mwanadada Shelida alijizolea umaarufu baada ya kuwapigia zimamoto simu kwa...
Back
Top Bottom