ndoa

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni Mungu gani anaesaidia mtu Mzinifu na anaezaa nje bila ya Ndoa?

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Demu analalamika kuachwa na Jamaa baada ya kupewa Kibendi. Kama unavyojua penye watu hapakosi neno, basi watu wakaanza kutiririka kumpa pole na kumwambia yule Dada kuwa Mungu atamsaidia na mtoto wake. Watu wengine wakawa wanamwambia wanamuombea...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo makundi yanayoongoza kwa kuwafunza wanawake kuwaandaa waweze kuishi kwenye ndoa

    Jamii zinazoendelea kufunza wanawake kitamaduni, kwa wale tulioweza kuzaliwa kabla ya 90s tuliweza kujionea kina mama wengi waliofundishwa na mama zao kitamaduni jinsi walivyoweza kuzimudu ndoa zao., kwa sasa huu utamaduni umekuwa adimu sana wazazi wanajali mtoto asome elimu ya darasani tu ila...
  3. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi ndoa haina thamani tena hata mama mchungaji?

    Aiseeh wanajamvi habari zenu Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana. Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini. Wakati...
  4. MKATA KIU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? (Do you regret your marriage, and why?)

    Habari za wekend. Wanandoa nina swali kwenu Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? Wazungu wanasema Do you regret your marriage, and why?
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tumuige Sadio Mane kwenye ndoa

    Habari zenu, Ukizungumzia Wachezaji wenye Hekima na Kujali watu basi huwezi kuacha kumtaja Msenegal Sadio Mane. Mane amekuwa ni msaada kwa jamii yake na ametufundisha kitu kwenye mahusiano pia, kitu alichotufundisha ni kwamba unapooa pambana upate Mwanamke ambae ni Mpya na asiekuwa na mapito...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

    Mchezaji mpira maarufu Sadio Mane juzi amefunga ndoa na mchumba wake, binti mdogo Mwenye umri wa miaka 18. Mwamba ameamua kuoa dogo dogo kuwahi bikira kabisa kabla wahuni hawajaitoa. Cha kushangaza wanasema ni long time girl friend wake. Nawaza tu mahusiano walianza binti akiwa na miaka mingapi?
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vita za kwenye ndoa

    Na hizi ndio ndoa zenu wapendwa.!
  8. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna siri gani kwenye tendo la ndoa dhidi ya wanawake? Mbona wamezidisha sana kuwaanika wenza wao?

    Nashindwa kuwaelewa hawa viumbe. Yaani ukichepuka na mke wa mtu, labda usiwe mdadisi tu, lakini ukisema udadisi, unapatiwa siri zote za jamaa Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani serikalini, ana utajiri gani, anasali dini gani, kabila gani n.k Umewahi jiuliza familia zinazovamiwa na...
  9. MKATA KIU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

    Habari wadau. Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu Tazameni video ya tukio
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majibu Kuntu ya kwanini ndoa nyingi zinavunjika sana siku hizi haya hapa

    Ndoa nyingi za sasa zimekuwa zikivunjika kwa sababu mbalimbali ikiwemo wanandoa kuishi maisha ya kuigiza kabla ya kuoana na baada ya kufunga ndoa kujikuta wakifahamiana kwenye uhalisia hivyo kuondoa kabisa yale matarajio ya mmoja kwa mwenzake. Hii ina maana wakati wa uchumba sehemu kubwa ya...
  11. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuvunjika kwa ndoa siyo sawa, Jamii inapaswa kubadilika

    Ukweli usiopingika....! Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa achana. lakini jambo hili siyo sawa hata kidogo ningependa kuona jamii ikibadilika. Pamoja na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati. Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:- 1...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiri miaka 100 ijayo taasisi ya ndoa haitakuwepo kabisa

    Hi, Kwasababu ya huu utandawazi wa internet, redpill movement, mgtow, mambo ya LGBTQ, udangaji, atheism, umaskini na unemployment wanaume wengi watachelewa kuoa, wanawake watazidi kuona suluhisho ni kudanga, wanaume wataona wanawake wote ni wadangaji, hata wakioana, muunganiko wa moyoni...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unaamini kabila linahusika kwenye maisha, basi tafuta mwanamke wa Kikinga

    Kama unahisi kabila Lina nguvu kwenye zama hizi na unafikiria kuoa , Moja ya vigezo ulivyojiwekea ni kabila basi mwanamke wa kikinga anawazidi wanawake wengi Tanzania, wanawake wa kikinga ni kweli hawana sura nzuri na maumbile ya kuvutia , lakini Wana sifa za ziada kama hizi...
  15. Mhaya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walioko kwenye ndoa hii ni Yenu

    Wanawake Walioolewa...✍🏾 1). Kamwe usimkalipie kwa sababu yoyote mumeo. Ni ishara ya kutokuwa na heshima. 2). Usielezee udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki. Matokeo yake yatakurudia wewe. Nyinyi ni walinzi wa kila mmoja, unapaswa kumpamba mwenza wako 3). Kamwe usioneshe tabia ya dharau...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Askofu aliyesema Bora abariki Jiwe kuliko ndoa za jinsia moja kaongea kauli ileile ya Papa kwa Lugha tofauti

    Kwa mujibu wa wachambuzi wa kauli za Papa. Wanadai hajasema ndoa za jinsia moja zibarikiwe, bali vitu vya hawa watu akija mmojammoja na anavitu vyake basi wasisite kuvibariki. Kusema bora ubariki jiwe ni sawa na kusema kilekile alichokisema Papa kuwa bora ubariki Sofa au Mradi au nyumba ya...
  17. The only

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuzaa nae watoto watatu bila ndoa

    Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti . Vigezo Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary Umri kuanzia 20 hadi 34 Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers watapewa first priority Awe mrefu asiye muathilika . Asiwe muhaya .muha.mgogo .mbulu.au mtu wa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

    Ni taarifa ilyotumwa hivi punde,waraka rasmi kutumwa kwa makadinali Dunia nzima,.......tushuhudie vidume wakivalishana mashela kanisani huku nyomi la wakatoliki mashabaab wakipiga vigelegele wanaume wenzao kwenda kupigana miti baada ya kanisa kutoa Sacramento takatifu! --- ROME (AP) — Pope...
  19. Nahman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wote wangefanya kama huyu, kwa hakika ndoa zingedumu

    Maisha kwenye ground ni magumu, Kitu pekee tunakitazama na kukitamani kutoka kwenu ni faraja Tuungane pamoja kutazama video hi fupi.
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakataa ndoa na kuoa halafu unatoka kimapenzi na wake au waume za watu ndio mazuzu walivyo

    Kampeni ya kataa ndoa na kuoa inamantiki kwa wasiotoka kingono na wake au waume za watu nje hapo hawa wanachama Ni mazombi. Ukibisha utapaa mbinguni na mapepo
Back
Top Bottom