msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rasasem

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Admission letter!

    Salaam wakuu, ndugu zangu shida yangu ni kupata Admission letter 2023 kutoka chuo Cha UDSM ili nifanye mchakato wa kupata ruhusa ktk kituo changu Cha kazi, nimejaribu kuwasiliana na chuo bila kupata msaada chanya, kama Kuna mwenye ujuzi wa kusaidia jambo hili tafadhali naomba msaada waungwana@
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada- Cheti TCU kwa waliosoma nje

    Ndugu yangu anatakiwa kuverify cheti TCU alisoma nje miaka kadhaa nyuma, nchi na chuo vinajuliakana na wamesoma wengi tu huko. Amewasilisha vitu vyote vinavyohitajika anasubiri wampe majibu. Sasa kuna sehemu wanahitaji hiko cheti cha TCU haraka, ili apate ajira, tunaomba msaada kwa anayemjua mtu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Ni familia ya rafiki yangu mmoja. Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki. Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3. Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa...
  4. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania StarLink internet ingekuwa msaada mkubwa kwa Tanzania

    Nchi nyingi zinaweza kuona faida katika kujiunga na mfumo wa Starlink kutokana na sababu kadhaa: 1. Kufikia maeneo ya mbali: Nchi nyingi zina maeneo ya vijijini au ya mbali ambayo hayajafikiwa na miundombinu ya intaneti ya ardhi. Kwa kujiunga na Starlink, nchi zinaweza kutoa huduma ya intaneti...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kubadilisha chuo kwenda kingine ambacho nilichaguliwa baada ya ku-confirm kingine

    Kijana alichaguliwa Mwal Nyrere na IRDP (chuo cha mipango) Dodoma. Aka confirm Dodoma. Sasa anataka kubadili kwenda Mwl. Nyerere. Taratibu za kubadili ni zipi (kama inawezekana)?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo juu ya hili

    Habari za jion wana jf, Ni kuwa nina akaunti ya kuweka akiba NBC ambayo mara nyingi huwa naweka akiba yangu. Ila leo nimeangalia salio naona lile salio la mwsho kuangalia halijawa lile ambalo nilitarajiwa liwepo leo navyoangalia, yaani naweka ela nasema leo nianglie nbc mkonon lazima itakuwa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa matumizi ya ndevu na kidevu kitandani; wanalalamika ninawachoma!

    Wanawake wangu wanadai zinawachoma. Hakuna utofauti wa malalamiko hayo iwe nimezinyoa au nimeziachia. Kila sehemu ninayoaagusa na kidevu changu basi hutoa malalamiko hayo. Naomba msaada! Sina utaalamu wa kuzitumia au ndo inavyokuwa? Naona wenzangu wanaachia ndevu nyiiingi hadi wengine...
  8. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

    E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole Oromucosal gel BP ambayo nliambiwa nitumie kwa week lkn bado akupata mabadiliko yaan ilipungua kidg sana...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin aomba msaada kwa kiongozi wa zamani wa Wagner, aomba wajikusanye upya

    Jamaa ameishiwa hadi imebidi aokote okote..... Russian President Vladimir Putin has instructed Andrei Troshev, the former head of the Wagner Group, to start forming "volunteer units". Source: Russian Interfax news agency, with reference to Putin's statement during a meeting with Troshev...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mbwiga wa Mbwiguke aombe msaada wa kuandikiwa kwenye mitandao ya kijamii

    Mbwiga wa Mbwiguke mdomo mwingi lakini uwezo wake wa kuandika upo chini sana. Yeye kama mtu maarufu, inabidi atafute mtu wa kumuandikia huko mitandaoni.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Msaada hints za maswali ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya

    Msaada wadau maswaya ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya
  12. Eternally to be

    JamiiForums Tanzania Futa kila kitu baada ya kila saa 2

    Wakuu nimepata changamoto katika Google Pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hiyo error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa. Hii simu ni simu yangu wakuu na nimeitumia miezi...
  13. Eternally to be

    JamiiForums Tanzania Msaada Simu inajufuta kila kitu after every 2 hours

    Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa. Hii simu ni simu yangu wakuu na neitumia miezi...
  14. Eternally to be

    JamiiForums Tanzania Msaada Simu inajufuta kila kitu after every 2 hours

    Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa. Hii simu ni simu yangu wakuu na neitumia miezi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa na watoto wenu wa nje, Mnalitatuaje hili swala?? Msaada jamani naombeni....

    Kuna Kaka yangu mmoja kutoka kwa Baba mkubwa alizaa na mwanamke mmoja miaka kama 12 hivi iliyopita. Ila hawakufanikiwa kuwa pamoja baada ya mtoto kufikisha miaka 4 mama yake alimleta kwa Baba yake na kumpa na kumwambia yeye anaolewa kapata Bwana mpya. Basi kaka yangu huyu akamchukua mtoto wake...
  16. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata uzoefu kuendesha Semi, semitrella n.k

    Ndugu zangu kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza, kijana wenu nimerudi tena najua hapa jamiiforums ni junguu kuu lisiloisha ukoko, ambamo ndani yake Kuna watu wa Kariba na hali tofauti tofauti. Nipo mkoani Dar es salaam kwasasa. Nilipambana nikasoma udereva wa awali hivyo kuendesha gari...
  17. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15

    Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15. Maana tumbo lake lina unguruma sana wakati wa usiku.
  18. crome20

    JamiiForums Tanzania Msaada wa school fees structure za hizi shule

    Wadau January ndiyo hiyo na interview za form 1 zimeanza. Naomba mwenye kujua school fees za: 1. BAOBAB 2. MARIAN 3. HAMES Na kama una pendekezo la shule yenye schoo fees rafiki isiyozidi 2M kwa mwaka please tujuzane. Au ushauri wowote kuhusu shule za Form 1
  19. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa watu wazanzibar au wale ambao washawai kwenda Zanzibar na ni wenyeji

    Ishu yangu ni hii naomba kwa anaejua hawa jamaa wanaouza baskeli ambao ni Meridian bit tech limited je ni kweli wapo Zanzibar? na wanafanya hii biashara ya baskeli tafadhalini Sana kwa anaejua anijuze nipate kujua asante Swala langu ni hilo Tu wakuu
  20. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuendelea na maombi ya chuo baada ya kuchaguliwa

    Habari za leo wana JamiiiiForums, Naombeni mnijuze. Mimi nilifanya application ya chuo cha afya cha serikali na nikachaguliwa nursing. Ila nimejaribu kufanya tena application ili nichague kozi nyingine lakini niki login ili nifanye application wananipongeza tu kwa kuchaguliwa na hakuna option...
Back
Top Bottom