Naomba msaada wa mawazo juu ya hili

Mtaule mgunda

Senior Member
Jan 25, 2014
192
60
Habari za jion wana jf,

Ni kuwa nina akaunti ya kuweka akiba NBC ambayo mara nyingi huwa naweka akiba yangu.

Ila leo nimeangalia salio naona lile salio la mwsho kuangalia halijawa lile ambalo nilitarajiwa liwepo leo navyoangalia, yaani naweka ela nasema leo nianglie nbc mkonon lazima itakuwa kiasi fulan ila nikiangalia nakuta ipo below matarajio.

Sasa maswali ni kuwa je labda navyoenda kuweka ela mawakala wanafanya ujanja huwa hawaweki sometimes?
Japo nikimpa wakala ela risiti mara nyingi sichukui ila sms ya nbc mkononi huwa napata.

Sasa inawezekana nikapata meseji alafu wakala akafanya ujanja kutoa pesa?. Naombeni msaada wa mawaxo.
 
Hauko peke yako miss natafuta naye yamemkuta kule CRDB.
Kuna zimwi linalo kata elfu kumi na moja yake kila uchao mpaka imefikia milioni na ushee. Alipowauliza CRDB walimpa majibu marahisi tu et amezitumia mwenyewe kubet au awape siku 45 waangalie wamezipotezaje?
 
Hujasema imepungua kwa kiasi gani, labda ni monthly ledger fees tu zilizokatwa, maana hizo zikikatea hupati sms
Nilikua naweka akiba, mara ya mwsho kuangalia salio ikabaki kiwango fulan ibaki shiling kazaa bas nikaweka ela tenaa kichwan nikiwa na akili fulan kuwa saiz nikianglia salio bas itakuwa imetimia, ila nakuja kuangalia salio nakuta labda bado either laki 2 yan hesabu kutimia wakati akilin nilizan labda imetimia.
 
Benki zetu zinaujanja mwingi. Hasa CRDB wezi Sana. Nadhani fuatilia statement itakuambia nani aliyetoa.
 
Asilimia kubwa ya mawakaka kuwa nao makini .
Nikishawai kwenda kwa wakala ninaye mzoea baada ya kumpa pesa na namba nikaondoka kilicho ni saidia ni kuangalia Salio mda uo kucheki imepungua 30000 nika mfata na kumwambia alicho Nijibu alisahau
 
Pole sana mkuu njia nyepesi ni kupiga customer care wakupe record yote ya transaction au tembelea matawi Yao
 
Back
Top Bottom