msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa hotel nzuri Dar es Salaam isiyozidi 50,000

    Habarini kaka na dada zangu. Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night. Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam. Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu. Asanteni kwa muda wenu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata barua ya mwaliko Canada na Ulaya

    Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark. Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo. Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mnanishaurije kuhusu kuchukua cheti cha udereva NIT?

    Mimi nikijana niliehitimu mafunzo yaufundi mekaniks mwaka jana. Mwaka huu nwezi wapili nikapata kazi nashukuru imenipa uzoefu mzuri sana kwenye masuala yaufundi Lakini sasahivi ofisi imefilisika kiasi chasisi mafundi kukosa hela nimejalibu kuomba kazi sehemu kazaa nimekosa Nimeweka hakiba...
  4. Eternally to be

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani ya kupakua youtube playlist na kuihifadhi kwenye windows laptop

    Wakuu popote mlipo habari zenu, wakubwa shikamooni Katika pitapita zangu za online nimekutana na changamoto ya kushindwa kupakua playlist kutoka youtube yaani kuihifadhi kwenye laptop yangu ya windows. Na ni kawaida yangu sikuzote nihitajipo kujua jambo fulani la kimtandao huwa naigia kwenye...
  5. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada, nichukue router ipi kati ya hizi?

    wakuu kwema hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi naishi Tabata segerea.
  6. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada ndugu zangu kwenye kupata Hati ya kusafiria

    Nina ndoto za kusoma nje, nilifanikiwa kupata chuo na scholarship lakini napata changamoto nimekosa passport yaani nimenyimwa sababu mzazi alishindwa kujieleza yaani alipishana kauli na Afisa uhamiaji. Sasa nimepeleka documents zote na barua ambayo nimetumiwa na chuo ili wanisaidie hata...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Gengetone kali

    Nimeanza kusikiliza Gengetone. Naburudika, nacheka na kushangaa. Msaada wa gengetone kali kali. Natanguliza shukrani. https://youtu.be/kfzc-JOotH0?si=UrWSjEj8YvAph9lE
  8. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuangalia Mkopo wa HESLB

    Naombeni msaada jinsi ya kuangalia mkopo wa HESLB.
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaipa Gaza msaada wa chakula, dawa na vifaa vya matibabu

    Serikali ya Rwanda imetuma Tani 16 za msaada wa Vyakula, dawa za binadamu, vifaa vya matibabu kwa Watu wa Gaza Nchini Palestina kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Kundi la Hamas. Naibu Msemaji Mkuu wa Serikali ya Rwanda, Alain Mukuralinda amesema misaada hiyo imefikishwa kupitia...
  10. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa PC msaada tafadhali

    Habar za majukumu wana jamvi, Kwa wale wataalamu wa pc msaada wenu plz Nimenunua pc aina ya hp 450, wakati nainunua pale dukan , niliiangalia betri yake ili niweze kujua kwamba inakaa na chaji? Ilinionesha kwamba chaji inakaa masaa matatu na dk 40. (03:40) Lakini baada ya kufika om na kuanza...
  11. Alves124

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhama chuo cha afya NACTE baada ya kuahirisha kwa Muda Mrefu

    Habari zenu ndugu zangu wa JF Hii ni mara yangu ya kwanza kushiriki na swali ni kama linavyojieleza hapo Niliwahi soma clinical medicine mpk Level 5 semester 1 changamoto za ada ikanilazimu nisimame nihangaike na mishe zingine nashkuru Mungu nimejipata kiasi Sasa juzi wakati nacheki student...
  12. Mtu fulani

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa tatizo la afya ya ubongo

    Amani iwe kwenu, Nina ndugu yangu amepatwa na tatizo la kuweweseka, kuona vitu visivyo na uhalisia (hallucinations). Kuna muda anakakamaa mwili hadi inapelekea kuanguka kama mgonjwa wa kifafa. Tafadhali mwenye kujua sababu na aidha matibabu yake anaweza kushare hapa. Tatizo limemuanza juzi...
  13. H-Hour

    JamiiForums Tanzania MSAADA TUTANI.

    Habarini za leo!ninatumai mko salama. Ninahuitaji wa fedha kiasi cha million mbili(2) za kitanzania ,ninaomba mtu yeyote atakayeguswa aniazime na nitamlipa kwa awamu . Mungu awabariki.
  14. sakasaka

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufanya Configuration ya TV Box aina ya D Sport D1

    ...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vyuo vinavyotoa Bachelor of Science with Education vyenye ada nafuu

    Habari ya asubuhi, naomba msaada wa vyuo vyenye ada nafuu kwa kozi tajwa hapo juu Mbarikiwe
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo, nataka kuchimba bwawa kwa ajili ya mifugo na kilimo Bagamoyo

    Wadau, Naoimba muongozo, nataka kuchimba bwawa kaajiri ya mifugo na kilimo cha umwagiliaji katika shamba lililoko bagamoyo. Muongozo wa jinsi ya kufanya hili na kama naweza pata mdau anafanya kazi hii.
  17. Brown Mduma

    JamiiForums Tanzania Mtu ataweza kuiflash simu ikiwa iko kwenye secure mode?

    Jana niliangusha simu yangu wakati nipo kwenye bodaboda nilichokifanya baada ya kuangusha niombe simu ya mtu na kuingia kwenye find my mobile na kui secure ambapo niliandika ujumbe mfupi wenye namba zangu zinazopatikana kwasasa ninachotaka kujua ni kwamba mtu ataweza kuiflash simu ikiwa iko...
  18. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilipigwa faini ya over speeding. Deni limeongezeka Tsh 7,500 kutoka 30,000

    Niliambiwa nilipe kabla ya tarehe 15 Oktoba. Je ukipitisha siku deni linaongezeka? Je, ni kosa kuendesha gari lenye faini ya Polisi? Msaada please.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nina degree katika field ya mazingira, natafuta kazi

    Habari Wana JF, Mimi ni binti wa miaka 23 napatikana dodoma level Yangu ya elimu ni degree katika field ya mazingira Naomba msaada wa connection ya kazi au kwa yoyote Mwenye kuhitaji kibarua aniajiri Ili niweze kujikimu Nb: kazi yoyote halali nina uwezo wa kuifanya 🙏
  20. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Watalaamu wa uchawi, mitishamba na tiba asilia naombeni msaada wa kuelewa

    Heshima kwenu wakuu. Katika kutafuta maarifa huku na kule, nikapata RITUAL moja hivi kwenye website fulani. Hiyo ritual ina maelekezo katika vipengele 11. Katika hivyo vipengele 11 kuna ambavyo nashindwa kuelewa ndio nimekuja kuomba msaada kwenu watalaam wa mambo ya kiroho na watalaamu wa...
Back
Top Bottom