Msaada wa kupata Admission letter!

Rasasem

Senior Member
Jun 25, 2022
100
75
Salaam wakuu, ndugu zangu shida yangu ni kupata Admission letter 2023 kutoka chuo Cha UDSM ili nifanye mchakato wa kupata ruhusa ktk kituo changu Cha kazi, nimejaribu kuwasiliana na chuo bila kupata msaada chanya, kama Kuna mwenye ujuzi wa kusaidia jambo hili tafadhali naomba msaada waungwana@
 
IMG_5770.png

soma hapo kwenye important dates
 
Salaam wakuu, ndugu zangu shida yangu ni kupata Admission letter 2023 kutoka chuo Cha UDSM ili nifanye mchakato wa kupata ruhusa ktk kituo changu Cha kazi, nimejaribu kuwasiliana na chuo bila kupata msaada chanya, kama Kuna mwenye ujuzi wa kusaidia jambo hili tafadhali naomba msaada waungwana@
Me too I'm waiting for it.
It will be served on 21st of October.
 
kama kuna shida nadhan jarbu usku au kesho maana wanashughulikia mpka na reg no ya first year wote so nadhn n kam process hiv ya kusubir
 
Sijui kwann mzee labda Kuna shida maana joining na registration inakubali ila hiyo admission letter and medical ndo inagoma

aaah nimekuelewa shida nini.yan pale kweny admission letter.imeandikwa .pdf.html
sasa cha kufanya we i rename badala ya kua .pdf.html
wewe name .pdf ndo itafunguka wazee kwel kabis
 
fanyeni ku rename wazee ionekane kama hi yangu.mwishon kabisa iwe .pdf ili ifunguke vzur
IMG_5969.jpg

kam m ni rename baada ya kuona haifunguk nikaamua kui rename .pdf then ikafunguka
 
Back
Top Bottom