Futa kila kitu baada ya kila saa 2

Faizan

Member
Oct 30, 2021
26
28
Wakuu nimepata changamoto katika Google Pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hiyo error.

Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa.

Hii simu ni simu yangu wakuu na nimeitumia miezi mitano, sababu nilinunua refurbished shida imekuja baada ya kufactory data reset.

Pia nikisema nitatue hili tatizo kwa kudisable Google services sitoweza kutumia playstore, email services, almost vitu vyote vya msingi vinavyohusu Google kwenye simu.
 
Attachments

  • .trashed-1697542876-images (1).jpeg
    .trashed-1697542876-images (1).jpeg
    44.9 KB · Views: 2
  • .trashed-1697542876-images.jpeg
    .trashed-1697542876-images.jpeg
    39.5 KB · Views: 4
  • .trashed-1697542876-images.png
    .trashed-1697542876-images.png
    11.9 KB · Views: 10
Hizi simu ndio mlikua manalinganisha na Iphone
Mnaotumia iphone mnajionaga mmeyapatia kweli!!.
Iphone amewa win kupitia saikolojia tu kwa kuwaaminisha ni simu zenye ulinzi na uimara wakati huohuo msijue ndio simu ambazo haziwapi uhuru wakutosha na bila kujua zinawadukua mnalambwa mipicha watakavyo!..
All in all jamaa ni wafanya biashara na wamewin kwa kujionyesha wao ni watofauti nakuwahadaa baadhi yenu..😅
 
Google pixel zina changamoto nyingi sana, Nlinunua Google pixel 5a nimetumia miezi mitatu tuu ghafla ikazima ,nlipeleka kwa mafundi lakini walichemka nkaamua kuachana nayo

Nlijuta sana coz nlipoteza 450 yangu kizembe sana
 
Mnaotumia iphone mnajionaga mmeyapatia kweli!!.
Iphone amewa win kupitia saikolojia tu kwa kuwaaminisha ni simu zenye ulinzi na uimara wakati huohuo msijue ndio simu ambazo haziwapi uhuru wakutosha na bila kujua zinawadukua mnalambwa mipicha watakavyo!..
All in all jamaa ni wafanya biashara na wamewin kwa kujionyesha wao ni watofauti nakuwahadaa baadhi yenu..
Mkuu Google pixel zina matatizo mengi mnoo
 
Mnaotumia iphone mnajionaga mmeyapatia kweli!!.
Iphone amewa win kupitia saikolojia tu kwa kuwaaminisha ni simu zenye ulinzi na uimara wakati huohuo msijue ndio simu ambazo haziwapi uhuru wakutosha na bila kujua zinawadukua mnalambwa mipicha watakavyo!..
All in all jamaa ni wafanya biashara na wamewin kwa kujionyesha wao ni watofauti nakuwahadaa baadhi yenu..😅
Wanalika kimasikhara sana. IPhone imejibrand sana kwa wapenda sifa.
 
Natumia google pixel mwaka wa 3 sasa ni refurbished nilishawahi kufanyia hiyi factory reset kwa sababu kuna seheme katika developer optin nili-activate ikawa simu inapokea matangazo kila baada ya dk tano yaani inakera ,karibia simu zote hii tabia inakera ya matangazi nikaenda mpaka google account katika aids kila kona wapi nikaireset ..

Kwa vile imetumila nje na ilikuwa na network unlock ili itumie za bongo ilianza kusumbua kama yako ,nikaenda voda wakazingua mpaka kuna jamaa aliniwekea code maana nilimpa fasta tu ikawa sawa akaniambia hii simu ilikuwa maalumu kwa nchi ya Marekani hapa bongo unatumia tu nje ya matumizi yake....ipo sawa mpaka kesho ninaitumia .
 
Back
Top Bottom