Msaada: Jinsi ya kuendelea na maombi ya chuo baada ya kuchaguliwa

brave Mwafrika

JF-Expert Member
May 2, 2019
213
109
Habari za leo wana JamiiiiForums,

Naombeni mnijuze. Mimi nilifanya application ya chuo cha afya cha serikali na nikachaguliwa nursing. Ila nimejaribu kufanya tena application ili nichague kozi nyingine lakini niki login ili nifanye application wananipongeza tu kwa kuchaguliwa na hakuna option zingine za kuendelea na application.

Sasa swali langu, ukishachagulia chuo cha afya cha serikali uruhusiwi kufanya application kozi nyingine?
 
ukichagukiwa
uwezi kuomba tena mpaka ufute kwanza udahili wa mwanzo ndipo uombe tena
NB.Tahadhali yake ni moja unaweza kucancel hiyo admission ukaomba tena round ya tatu iliyobaki ukakosa au ukapata course ambayo si kipaumbele kwako,bora ukaomba kuhama course ukiwa chuo au kuhama chuo wakishafungua dirisha ingawa uwezekano wa kupata ni mdogo
 
#oooh!kiukweli mi uwezo wa kuhama chuo Sina ila kwa chuo Cha serikali inawezekana kubadili kozi na kuendelea kusomea palepale...??
 
Capacity ya chuo kwa kozi hiyo unayotaka kuhamia unaijua? Unataka utoke nursing mfano uende Pharmacy, je nafasi ipo. Unaweza omba na usifanikiwe na kuhama chuo vilevile usifanikiwe labda uende private. Elimu ya afya inabana wewe ukishindwa baki hiyo nafasi uliyopata. Wazo la kufuta achana nalo
 
inawezekana kama una sifa za hiyo course unayoipenda
#mi ufaulu wangu ni
B-chemistry
A-mathematics
C-Histr,civ,kisw,geo,phyz,bio
D-English
Na nilichagua kozi ya physiotherapy kama kipaumbele changu no 1
Ila sasa nikachaguliwa nursing ndo maana nataka kubadili na nahisi vingezo ninavyo.
 
Capacity ya chuo kwa kozi hiyo unayotaka kuhamia unaijua? Unataka utoke nursing mfano uende Pharmacy, je nafasi ipo. Unaweza omba na usifanikiwe na kuhama chuo vilevile usifanikiwe labda uende private. Elimu ya afya inabana wewe ukishindwa baki hiyo nafasi uliyopata. Wazo la kufuta achana nalo
#yani kufuta ndo siwezi kabisa ila Kama uwezekano wa kubadili upo, na nikaweza kubadili basi nitafanya.
 
Habari za leo wana JamiiiiForums,

Naombeni mnijuze. Mimi nilifanya application ya chuo cha afya cha serikali na nikachaguliwa nursing. Ila nimejaribu kufanya tena application ili nichague kozi nyingine lakini niki login ili nifanye application wananipongeza tu kwa kuchaguliwa na hakuna option zingine za kuendelea na application.

Sasa swali langu, ukishachagulia chuo cha afya cha serikali uruhusiwi kufanya application kozi nyingine?
Nenda nacte waeleze ishu yako watakwambia uende chuo ulichochaguliwa watilie mkazo wao ndo wawasiliane na hicho chuo lasivyo watakuzungusha tu wanatafuta wanafunzi
 
#nawatafuta kwa njia ya simu ama kwa njia gani maana mi niko MWANZA
 
Back
Top Bottom