WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

Mr shika

Member
Jun 14, 2023
64
111
Ni familia ya rafiki yangu mmoja.

Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki.
Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3.

Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa mwanamke mwingine na kuzaa mtoto 1 sasa anamiaka 27 hivi. Walichuma mali na huyo mke mpya. Moja ya mali walizochuka na mke huyu wa mwisho ni Hotel moja kubwa tuu na ina Maduka kuzunguka hotel tena ya kisasa kabisa.

Mwaka 2019 Baba yao alifariki. Akaacha mke na watoto 4 wote kwa ujumla.

Ila nae mke wake mwanzoni mwa mwaka huu alifariki nae wakabaki watoto tuu.

Sasa kwenye mali waligawana fresh tuu ila ilibaki hotel hii.

Ishu ni hii hotel hiyo walifanya investment walifanya baba yao na mke wake wa mwisho aliyezaa nae mtoto mmoja wa mwisho. Na ushahidi upo kabisa kwamba ile mali haikuwa ya baba peke yake.

Sasa shida mdogo wa mwisho anataka hotel iuzwe yote mpaka fremu zinazozunguka hotel maana yapo kwenye eneo moja.

Na pia anahitaji achukue parcentage ya mama yake kwenye hotel na pia sehemu ya baba yake. Japo kweli inatakiwa hivyo. Na na hawa wakubwa zake 3 hawataki iuzwe wanataka iendelee kufanya biashara mapato wagawane, ile ndogo anasema no kwa sababu kuna percentage ya mama yake pale.

Sasa rafiki yangu nimemwambia ni kweli yeye anatakiwa kuchukua percentage ya mama yake na baba yake pia. Nyie wengine mnachukua ya mzee tuu.

Hata ikiuzwa yeye atachukua percentage kubwa kuliko nyie, sababu nyie unachukua ya baba tuu. Sasa wadau vipi maana mdogo wao anataka ewe hivyo, inakuwaje hapo sheria jamani njooni.

Mrejesho
Thread 'MREJESHO: WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?' MREJESHO: WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?
 
Ni familia ya rafiki yangu mmoja.

Iki hivi Baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki.
Akabaki baba na watoto 2.

Ila baadae Baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3.

Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa mwanamke mwingine na kuzaa mtoto 1 sasa anamika 27 hivi.

Walichuma mali na huyo mke mpya.
Moja ya mali walizochuka na mke huyu wa mwisho ni Hotel moja kubwa tuu na ina Maduka kuzunguka hotel tena ya kisasa kabisa .

Mwaka 2019 Baba yao alifariki. Akaacha mke na watoto 4 wote kwa ujumla.

Ila nae mke wake mwanzoni mwa mwaka huu alifariki nae wakabaki watoto tuu.

Sasa kwenye mali waligawana fresh tuu ila ilibaki hotel hii.

Ishu ni hii hotel hiyo walifanya investment walifanya Baba yao na mke wake wa mwisho aliyezaa nae mtoto mmoja wa mwisho. Na ushahidi upo kabisa kwamba ile mali haikuwa ya Baba pekeake.

Sasa shida mdogo wa mwisho anataka hotel iuzwe yote mpaka falm zinazozunguka hotel maana yapo kwenye eneo moja.

Na pia anahitaji achukue parentage ya mama yake kwenye hotel na pia sehemu ya baba yake. Japo kweli inatakiwa hivyo.
Na na hawa wakubwa zake 3 hawataki iuzwe wanataka iendelee kufanya biashara mapato wagawane, ile ndogo anasema no , kwa sababu kuna percentage ya mama yake pale.

Sasa rafiki yangu nimemwambia ni kweli yeye anatakiwa kuchukua percentage ya mama yake na Baba yake pia. Nyie wengine mnachukua ya mzee tuu.

Hata ikiuzwa yeye atachukua percentage kubwa kuliko nyie . Coz nyie unachukua ya Baba tuu.

Sasa wadau vipi maana mdogo wao anataka ewe hivyo , inakuwaje hapo sheria jamani njooni.
Kwanini wasielewane waendelee na biashara tu ya hiyo hotel, sisi ngozi nyeusi ni kama tume laaniwa, ugomvi hata kwa mali zulio tafutwa na wazazi wetu, tuko tayari kwa lolote.......tunaanza na kugawana wazazi kweli huyu wa kwako
 
Mkuu ngoja kwanza kuna jambo halipo sawa, nitauliza maswali ukiweza kuyajibu ntaendelea zaidi

1. Nani aliteuliwa na Mahakama kuwa msimamiza wa mirathi? Na aliteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi ya nani? Maana hapo kuna marehemu wawili ambao inaonekana kuna watu wenye maslahi mgawanyiko kwenye mirathi yao.
(Kuna jambo lipo hapa ntafafanua zaidi majibu yakipatikana)
Tuendelee,

2. Hiyo biashara ya hotel ilifunguliwa.na kuendeshwa kwa mtindo gani?, je ni kampuni, ubia (partnership) au biashara ya mtu mmoja? Na katika hayo majibu ya aina ya biashara swali lingine ni kuna nyaraka gazi zinazoongelea aina ya hiyo biashara?

Ikishafahamika aina ya biashara hapa itakuwa ni rahisi kufahamu nani alimiliki nini kwenye hiyo biashara kati ya hao marehemu wawili na pengine hata watu wengineo.

Hili la fulani aliweka mtaji mkubwa wamelijua vipi na wanawezaje kulithibitisha?

Haya twende mbele zaidi kwenye swala la msingi

Kwa swali nililokuuliza la kwanza kabisa, kama hawakwenda kufungua shauri la mirathi Mahakamani basi wanatakiwa kufahamu hadi sasa hakuna anayeweza kujimilikisha.mali yoyote kama urithi wake, na kama wamefanya hivyo wamejikoroga tu ama kwa mazoea na kutokujua sheria ila hili linaweza kutibika kwa kiasi chake.

Sasa hapa swala lingine ni wanapikwenda kufungua mirathi wawe makini ili waweze kwenda vizuri bila mivurugano wasijitenge mara hawa na nje hawa wa mke wa kwanza hawa wa mke wa pili, huo ni upuuzi (samahani) na hawa ni watu wazima sasa na ni ndugu pia.

Lakini pia wanapaswa kufahamu kama kuna wosia.wowote ulioandikwa na kuachwa na wazazi wao pia wanatakiwa kuangalia kwenye hizo biashara kama kuna maandishi yanayoonesha hali ya mali za biashara endapo wote watafariki au mmoja wao.

Kama ni kampuni ni rahisi zaidi kufahamu nani anamiliki nini kwenye iyo biashara, pia kwa ubia (partnership) vile vile ila kwa biashara binafsi hizi zinahitaji utashi wa ziada wa mwenye biashara.

Ila kwa maelezo yako hapa naona ni ama hiyo hoteli ni kampuni au ubia (partnership) kwakuwa walifanya pamoja, ila hili ni jambo lakuhakiki kwa nyaraka za biashara husika.

Kama sio kampuni wala ubia (partnership) basi hiyo ni biashara ya mtu mmoja.kati ya hao marehemu.na hapo kama walishirikiana basi mmoja hapo atakuwa na status ya mfanyakazi/muajiriwa sasa hili kwa wanandoa mzunguko ni mrefu maana tutaangalia sheria ya ndoa pia upate wakili anayefahamu sheria zinazosimamia masuala ya ndoa na mirathi.

Nadhani utapata mwanga hapo Mkuu Mr shika, ukiwa na swali usisite kuuliza nikiliona ntakujibu.

NB: Kamuelezee mhusika sio kwenda kumshauri maana hapo nimeandika kwa kifupi sana ili upate picha ya mambo yanavyokuwa.

Kwa ushauri wa namna gani afanye zaidi ya hapo mshauri atafute wakili ampe ushauri ikibidi kumsimamia na sio mwanasheria bali wakili.

Natumai umepata mwanga Mkuu Mr shika
 
Ni familia ya rafiki yangu mmoja.

Iki hivi Baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki.
Akabaki baba na watoto 2.

Ila baadae Baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3.

Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa mwanamke mwingine na kuzaa mtoto 1 sasa anamika 27 hivi.

Walichuma mali na huyo mke mpya.
Moja ya mali walizochuka na mke huyu wa mwisho ni Hotel moja kubwa tuu na ina Maduka kuzunguka hotel tena ya kisasa kabisa .

Mwaka 2019 Baba yao alifariki. Akaacha mke na watoto 4 wote kwa ujumla.

Ila nae mke wake mwanzoni mwa mwaka huu alifariki nae wakabaki watoto tuu.

Sasa kwenye mali waligawana fresh tuu ila ilibaki hotel hii.

Ishu ni hii hotel hiyo walifanya investment walifanya Baba yao na mke wake wa mwisho aliyezaa nae mtoto mmoja wa mwisho. Na ushahidi upo kabisa kwamba ile mali haikuwa ya Baba pekeake.

Sasa shida mdogo wa mwisho anataka hotel iuzwe yote mpaka falm zinazozunguka hotel maana yapo kwenye eneo moja.

Na pia anahitaji achukue parentage ya mama yake kwenye hotel na pia sehemu ya baba yake. Japo kweli inatakiwa hivyo.
Na na hawa wakubwa zake 3 hawataki iuzwe wanataka iendelee kufanya biashara mapato wagawane, ile ndogo anasema no , kwa sababu kuna percentage ya mama yake pale.

Sasa rafiki yangu nimemwambia ni kweli yeye anatakiwa kuchukua percentage ya mama yake na Baba yake pia. Nyie wengine mnachukua ya mzee tuu.

Hata ikiuzwa yeye atachukua percentage kubwa kuliko nyie . Coz nyie unachukua ya Baba tuu.

Sasa wadau vipi maana mdogo wao anataka ewe hivyo , inakuwaje hapo sheria jamani njooni.
Hilo ni swala dogo tu warudi mezani wakubaliane maaa kinachoelekea ni watapoteza mapato kwa kufungwa hiyo hotel
 
Kwanini wasielewane waendelee na biashara tu ya hiyo hotel, sisi ngozi nyeusi ni kama tume laanuwa, ugomvi hata kwa mali zulio tafutwa na wazazi wetu, tuko tayari kwa lolote.
Watu wanauana kwa mali ambazo sio wao wamezitafuta, inasikitisha sana. Lakini asilimia kubwa wenye hizo mali nao wanachangia haya masuala.

Kimsingi ukishakuwa na mali au uwezo wa kuzalisha mali unatakiwa uanze kuandaa namna ya mali hizo kusimamiwa pindi utakapofariki, ama uandike wosia au ufanye taratibu zinginezo.
 
Hilo ni swala dogo tu warudi mezani wakubaliane maaa kinachoelekea ni watapoteza mapato kwa kufungwa hiyo hotel
Ni kweli ila hili swala lao ni gumu sana Mkuu, hapo wakiyumba kidogo tu wanaweza wakasugua miaka 10+ kwenye viunga vya Mahakama

Na mbaya zaidi ni lazima waende Mahakamani sasa kwa hali ilivyo wanaweza wakazungushana Mahakamani hadi wakafilisika.
 
Ila kwa maelezo yako hapa naona ni ama hiyo hoteli ni kampuni au ubia (partnership) kwakuwa walifanya pamoja,
Ni hivyo mkuu.
Bi ya ubia ya watu 2, mke na mume.
Ni kampuni , na itakuwa ipo wazi kabisa kuwa mama kachangia ngapi na mama Baba kuchangia ngapi itakuwa rahisi sana.
Ndo maana wameamua kwenda mahakamani.
 
Ni kweli ila hili swala lao ni gumu sana Mkuu, hapo wakiyumba kidogo tu wanaweza wakasugua miaka 10+ kwenye viunga vya Mahakama

Na mbaya zaidi ni lazima waende Mahakamani sasa kwa hali ilivyo wanaweza wakazungushana Mahakamani hadi wakafilisika.
Afu inaonekana dogo kuna watu wanamdanganya HPo inaweza kuchezeshwa sheria akashangaa watu wanacheza na MKEMIA mkuu..

akAjikuta hata huo Urithi anakosa kwa DNA kuchezeshwa na kusoma kuwa hakuwa mtoto wa mzee huyo....
watu mjini wana mipango unashangaa...

wengine wanakomaa kwamba hakuwa mtoto wa baab yao wakamuonga mkemia hiyo ishu kwishilia mbali aangalie hicho king'ang'anizi chake kinaweza kuwageuza kaka zake mamafia
 
Mkuu ishu ni kwamba 3 wakubwa wanataka biashara iendelee afu wagawane mapato.

Mdogo wa mwisho yeye anaona No. Nafikili anaona kama asilimia ya mama yake watabeba wengine.
Sasa sijajua kama waliongea kuhusu kama wakiendelea na biashara basi mdogo abebe mapato mengi kwa sababu mama yake alichangia siajajua.
 
Ni familia ya rafiki yangu mmoja.

Iki hivi Baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki.
Akabaki baba na watoto 2.

Ila baadae Baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3.

Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa mwanamke mwingine na kuzaa mtoto 1 sasa anamika 27 hivi.

Walichuma mali na huyo mke mpya.
Moja ya mali walizochuka na mke huyu wa mwisho ni Hotel moja kubwa tuu na ina Maduka kuzunguka hotel tena ya kisasa kabisa .

Mwaka 2019 Baba yao alifariki. Akaacha mke na watoto 4 wote kwa ujumla.

Ila nae mke wake mwanzoni mwa mwaka huu alifariki nae wakabaki watoto tuu.

Sasa kwenye mali waligawana fresh tuu ila ilibaki hotel hii.

Ishu ni hii hotel hiyo walifanya investment walifanya Baba yao na mke wake wa mwisho aliyezaa nae mtoto mmoja wa mwisho. Na ushahidi upo kabisa kwamba ile mali haikuwa ya Baba pekeake.

Sasa shida mdogo wa mwisho anataka hotel iuzwe yote mpaka falm zinazozunguka hotel maana yapo kwenye eneo moja.

Na pia anahitaji achukue parentage ya mama yake kwenye hotel na pia sehemu ya baba yake. Japo kweli inatakiwa hivyo.
Na na hawa wakubwa zake 3 hawataki iuzwe wanataka iendelee kufanya biashara mapato wagawane, ile ndogo anasema no , kwa sababu kuna percentage ya mama yake pale.

Sasa rafiki yangu nimemwambia ni kweli yeye anatakiwa kuchukua percentage ya mama yake na Baba yake pia. Nyie wengine mnachukua ya mzee tuu.

Hata ikiuzwa yeye atachukua percentage kubwa kuliko nyie . Coz nyie unachukua ya Baba tuu.

Sasa wadau vipi maana mdogo wao anataka ewe hivyo , inakuwaje hapo sheria jamani njooni.

Watu wana Hotel kubwa ya pesa mingi na ma frame wanakosa tafuta mwanasheria wa kuwasimamia na kushauri.

Sheria sio hisia, haibadilishwi na ushauri, mtakutana nayo mahakamani na itafanywa kwa utaratibu.

Waambie watafute mwanasheria mzuri awasaidie, sio humu Jamii Forums.
 
Afu inaonekana dogo kuna watu wanamdanganya HPo inaweza kuchezeshwa sheria akashangaa watu wanacheza na MKEMIA mkuu..

akAjikuta hata huo Urithi anakosa kwa DNA kuchezeshwa na kusoma kuwa hakuwa mtoto wa mzee huyo....
watu mjini wana mipango unashangaa...

wengine wanakomaa kwamba hakuwa mtoto wa baab yao wakamuonga mkemia hiyo ishu kwishilia mbali aangalie hicho king'ang'anizi chake kinaweza kuwageuza kaka zake mamafia
Ni mtoto wa Baba yao tena kafanana zaidi ya wengine.
 
Watu wana Hotel kubwa ya pesa mingi na ma frame wanakosa tafuta mwanasheria wa kuwasimamia na kushauri.

Sheria sio hisia, haibadilishwi na ushauri, mtakutana nayo mahakamani na itafanywa kwa utaratibu.

Waambie watafute mwanasheria mzuri awasaidie, sio humu Jamii Forums.
Mkuu wanaenda mahakamani nafikili next week kesi itaanza kusikilizwa.
 
Afu inaonekana dogo kuna watu wanamdanganya HPo inaweza kuchezeshwa sheria akashangaa watu wanacheza na MKEMIA mkuu..

akAjikuta hata huo Urithi anakosa kwa DNA kuchezeshwa na kusoma kuwa hakuwa mtoto wa mzee huyo....
watu mjini wana mipango unashangaa...

wengine wanakomaa kwamba hakuwa mtoto wa baab yao wakamuonga mkemia hiyo ishu kwishilia mbali aangalie hicho king'ang'anizi chake kinaweza kuwageuza kaka zake mamafia
Mkuu kesi kama hio utapimaje DNA wakati Baba kashafariki???

Afu dogo nimemuona yupo sawa na mzee tuu tena kuliko wengine.
 
Mkuu wanaenda mahakamani nafikili next week kesi itaanza kusikilizwa.

Wapate ushauri kwa wakili lakini, mambo ya Kijinga sana kushindwa kupatana ndugu mpaka mahakaman.

Ni kama laaana, inaweza kuwa safari ya mda mrefu yenye visasi, chuki, wakati mwingine hata watu kuuana inawezekana.
 
Back
Top Bottom