Msaada Simu inajufuta kila kitu after every 2 hours

Faizan

Member
Oct 30, 2021
26
28
Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error.

Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa.

Hii simu ni simu yangu wakuu na neitumia miezi mitano make nilinunua refurbished shida imekuja baada ya kufactory data reset.

Na pia nikisema nitatue hili tatizo kwa kudisable Google services sitoweza kutumia playstore, email services almost vitu vyote vya msingi vinavyohusu Google kwenye simu
 
Attachments

  • .trashed-1697542876-images (1).jpeg
    .trashed-1697542876-images (1).jpeg
    44.9 KB · Views: 4
  • .trashed-1697542876-images.jpeg
    .trashed-1697542876-images.jpeg
    39.5 KB · Views: 3
  • .trashed-1697542876-images.png
    .trashed-1697542876-images.png
    11.9 KB · Views: 7
Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo, simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa. Hii simu ni simu yangu wakuu na neitumia miezi mitano make nilinunua refurbished shida imekuja baada ya kufactory data reset. Na maana yake nikisema nitatue hili tatizo kwa kudisable Google services sitoweza kutumia playstore, email services almost vitu vyote vya msingi vinavyohusu Google kwenye simu
Mara kiswahili mara Kingereza, mbona 1 na 2 zinanichanganya akili mimi Mmatumbi?
 
Mara kiswahili mara Kingereza, mbona 1 na 2 zinanichanganya akili mimi Mmatumbi?
Mkuu kuna baadhi ya maneno nikiyataja kwa kiingereza ujumbe unakuwa rahisi kueleweka kuliko kuyataja kwa kiingereza. Ukiona unachanganywa basi Jua kwamba huna unachokijua katika hayo masuala, fanya kuwaachia wasiochanganywa.
 
Swala ni refurbished
View attachment 2764769

Kama unaelewa kilichoandikwa hapo basi hautakua na swali la ziada

Na picha yako yatatu pale juu inaeleza kua "your device is managed by admin"
Bado tena unauliza hapa swali.
 
Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo, simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa. Hii simu ni simu yangu wakuu na neitumia miezi mitano make nilinunua refurbished shida imekuja baada ya kufactory data reset. Na maana yake nikisema nitatue hili tatizo kwa kudisable Google services sitoweza kutumia playstore, email services almost vitu vyote vya msingi vinavyohusu Google kwenye simu
Hii simu ni ya kampuni kwaiyo hii system wanakuwaga Wana set ukikata kuondoa hakikisha umetoa kabisa firmware mzee weka nyingine
 
Back
Top Bottom