Naandika hili nikiwa na hasira sana
Msaada mwenye kujua spray yeyote au sawa inayoweza chafua hali ya hewa kwa muda mfupi na kusababisha pasikalike
Au dawa ambayo ukichoma itaharibu hali ya hewa kwa muda mfupi yaani ilimradi pasikalike
Msaada tafadhali kwa anaejua moja kati ya hilo
Wakuu habari zenu?
Kuna nafasi kadhaa za kazi zimetangazwa na NSSF, naombeni msaada njia ya kutuma maombi ni kupitia posta ama kuna njia nyingine, maana naona kule ajira portal hazipo.
Ahsante in advance.
Wakuu poleni na majukumu.
Napenda kuelezea dukuduku langu kuhusu biashara ya clearing and forwarding kwa hapa Tanzania.
Hii ndio biashara yenye CHANGAMOTO nyingi kuliko biashara yeyote hapa Tanzania. Kwa upande wa serikali wanajitahidi, Ila shida nimeiona kwa hizi shipping agent na bandari...
Habari zenu wakuu,
Mnamo tarehe 09/07/2023 nilifanya muamala kutoka simu yangu kwenda kwenye kampuni moja ya michezo ya kubahatisha 'kubet'.
Ni kampuni kubwa tu kwa hapa Tz. Hiyo fedha haikuingia kwenye akaunti yangu ambayo ipo kwenye hiyo kampuni. Nilifanya nao mawasiliano wakasema kuna...
Wadau JamiiForums,
Naombeni kwa Yoyote anayeweza kunipa mbinu za kwenda dar kufanya interview Alafu nikimaliza nirejee kazini cku ya j3 maana interview yenyewe ipo dar na mm nipo singida. Je, kuna bus za ucku Dar to Singida? Naombeni maoni yenu.
Nawasalimu Nyote
Nimekuwa na changamoto ya kupata AVN nilihitimu Diploma 2015...nikafanya hatua zote za online za kuiomba AVN nikafika mpaka NACTE wakaagiza chuo kiandike barua ya kuomba kufunguliwa mfumo waingize matokeo yangu sasa ni wiki ya tatu inaenda ya nne nikipiga simu chuoni...
Ninaomba msaada wenu wakuu. Kwenye makaburi ya kinondoni alipokua amelazwa marehemu mama yangu kuna kaburi la mtu mwingine na limejengelewa haswa. Nini nifanye nipate haki ya sehemu ya mama yangu? Mama yangu alifariki mwaka 2001 na hatujakuta hata msalaba. Na huyo waliyemzika amezikwa 2021.
Habari zenu wakuu,
Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST.
Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu...
Ndugu WanaJf,
Jana niliweka hapa bandiko linalohusu pesa za kujikimu wilaya ya Ileje kufanyiwa zengwe na baadhi ya viongozi,Kuna issue mpya imeibuka ambayo tunaomba wanaojua humu watusaidie sisi ajira mpya.
Issue yenyewe ni hii:pesa za kujikimu zimetolewa na zimefika halmashauri,wakaziweka...
Habari zenu wakubwa!
Kama mada inavyo jieleza mimi nina miliki leseni ya daraja d. Ila nataka niongeze daraja mpaka e. Sasa nashindwa kuelewa natakiwa kwenda veta au n.I.T?
Na je kama ni veta, nikimaliza kozi ya basic truck driving naweza pata leseni daraja e? Na je naweza ajiriwa kama...
Habari wanajf, Naomba kwa yeyote anaefahamu TRA wanatoa aina ganii ya maswali kwenye written interview maana ndiyo mara yangu ya kwanza kuona interview ya civil engineering TRA, ninachojiuliza je? Watauliza maswali yanayohusiana na kada yangu au yanayohusiana na Mambo ya Kodi na vitu vingine...
Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta...
Habari wakuu.
Nataraji kufanya biashara ya kuuza dagaa wa wakavu wa mwanza,Vijiji gani naweza kupeleka dagaa na nikawauza kwa bei ya jumla?
Ama hata isipokuwa kuuza kwa jumla ama reja reja?
Vijiji ama miji iwe Ni kuzunguuka ukanda huu wa ziwa na maeneo ya Tabora na Igunga ama ikishindikana...
Wakuu habari, kama mmeona sikuwa active hapa online, hata kwenye simu kwa wale mliokuwa na my contacts since March.
Nitaelezea one day ilikuaje but kwa wale mnaofatilia habari mtakuwa mliona this year March ilitokea ajali mbaya sana ya treni ya Tazara, mtu aliyegongwa it was me, na nilikuwa...
Habari ya uzima wana jamii forum
Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie na series HD/4K ipoje na imekaaje soko lake kwa sasa.
1. Mahitaji kiujumla
2. Faida na hasara(changamoto)
3. Ushauri na maoni yanapokelewa
Naomba msaada wenu
Wakubwa nakuja tena kwenu kwa mara ya nne,naomba mtu anayejua mahala nakoweza kupata tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI ikiwa imekamilika.
Youtube kuna episodes chache tu.
Habari wapendwa,
Naomba mwenye connection za migodini kama usafi, office attendant na nyingine kama hizo au mahali pengine popote kama kwenye miradi mbalimbali mimi nitafika. Mimi nina uzoefu na mambo ya hoteli ila nitafurahi kama nitapata kitu cha tofauti maana umri sasa.
Asante sana
Habari zenu wakuu,
Nahitaji msaada wa maelezo wa uwanda wa ajira kati ya kozi Bsc in Environmental health science na Bsc in Environmental Science and managememt.
Je ipi ni bora?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.