Msaada wa school fees structure za hizi shule

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,130
721
Wadau January ndiyo hiyo na interview za form 1 zimeanza. Naomba mwenye kujua school fees za:

1. BAOBAB
2. MARIAN
3. HAMES

Na kama una pendekezo la shule yenye schoo fees rafiki isiyozidi 2M kwa mwaka please tujuzane.

Au ushauri wowote kuhusu shule za Form 1
 
Hizo shule majina makubwa na Ada ndefu saana. Inshort Kwa Ada ya Mil 2 tafuta za mkoani huko ndio zipo na zinafanya vzr mfano

St Anne morogoro.. Huruma Girls.. Marry Eugine

Ahmess Ada ni zaidi ya 3.5 M Kama Marian tuu
 
inafaulisha vzr?
tataizo linaanzia hapa

hakuna shule inayofaulisha

ni kwamba wanachuja wanafunzi kwenye interview wanachukua walioofaulu kuliko wote

kwahiyo kama mtoto wako hana historia ya kufaulu primary, kupata shule za 'kufaulisha' ni ngumu sana

nimesoma kwenye moja ya hizo shule, kila mwanafunzi ni top 5, 10 wa primary aliyotoka
 
Asante, Nyingi zao zikishapat Jina kila mwakwa mzigo unapanda, hivyo mzazi ukianza na 1M jipange kwa mabadiliko.
 
Wadau January ndiyo hiyo na interview za form 1 zimeanza. Naomba mwenye kujua school fees za:

1. BAOBAB
2. MARIAN
3. HAMES

Na kama una pendekezo la shule yenye schoo fees rafiki isiyozidi 2M kwa mwaka please tujuzane.

Au ushauri wowote kuhusu shule za Form 1
Boabab form 1 hadi 4.46m
Hames 4.3m
Marian 3.8m
 
Wadau January ndiyo hiyo na interview za form 1 zimeanza. Naomba mwenye kujua school fees za:

1. BAOBAB
2. MARIAN
3. HAMES

Na kama una pendekezo la shule yenye schoo fees rafiki isiyozidi 2M kwa mwaka please tujuzane.

Au ushauri wowote kuhusu shule za Form 1
St. Mary's Ulete, ipo chini ya Kanisa Katoliki, jimbo la Iringa.

Ada mwaka jana ilikuwa 1.5M, ni shule nzuri. Kaangalie matokeo yake kujiridhisha zaidi.
 
Feza nusery na primary ile ya mbweni milioni nane .. nikichoka baada ya kutakiwa hiyo ada ..
 
Back
Top Bottom