msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kulielewa jambo hili

    Kwa anaye lielewa hili jambo kwa kina anisaidie nami kulielewa. Tunasema Mungu aliumba mbingu, nchi na vilivyomo kwa siku sita na siku ya saba akapumzika, hiyo siku ya saba ni Jumamosi ambayo Wasabato kupumzika. Lakini siku hiyo ya saba iko termed ni Jumamosi kwa maana ni siku ya kwanza...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kurudisha email

    Nahitaji kurudisha email yangu ya kwanza lakini password nimesahau. Lakini hatua ya mwisho inanishinda wananiambia wametuma Tena verification code kwenye email ninayotaka kuirudisha, hapo nashindwa kabisa.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria please

    Sasa ni miaka 62 tangu MORTGAGOR a- mortgage eneo lake la ardhi kwa mtu (mortgagee) kwa kiasi pesa ambaye ana miaka 44 amekufa . Mortgagor amekufa some 27 years back . Watoto wa Mortgagor leo 2023 wanadai eneo hilo. Watoto wote wako above 45 yrs..... Sheria inasemaje. je wanaweza kulikomboa...
  4. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Huu ni ugonjwa gani wa Kuku?

    Kama Kichwa Cha Habari kinavyojieleza...hapo juu Naomba msaada kujua huu ni ugonjwa gani wa kuku na unasababishwa na nini ?na Tiba yake ni nini? Ni kuku wa kienyeji Mwenye kujua Tiba yake ikiwa madawa ya madukani au mitishamba naomba anijuze Nimeambatanisha na picha 👇🏿👇🏿
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiowekwa wazi: Hayati Nyerere aliacha taifa letu likiwa masikini sana kiuchumi pamoja na kutoa msaada kwa nchi za jirani

    Alisaidia na kukomaa mataifa ya jirani yapate uhuru akasahau kabisa kuendeleza taifa letu. Kauli mbiu ya kuwa sisi kuwa huru huku majirani zetu hawako huru sio vyema ilifanya akasau kuendeleza taifa letu. Aliacha miundo mbinu iko hovyo, shule chache, hospitali chache na kila kitu kikiwa hovyo.
  6. 2

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kozi ya kusoma chuo kati ya hizi

    Habarini za humu, natumai mko pwa mnaendelea vizuri. Nilikuwa nauliza Kama naweza nikapata msaada humu nina mdogo wangu amechaguliwa application za kwenda vyuo na machaguo aliyopata amefanikiwa ni kozi ya mechanical engineering pamoja na Metrology and standardization kwa wazoefu wa Kati ya hizo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TCRA watakagua simu za Watanzania wote kuwajua wanaotumia VPN?

    Nimeona katazo la Tcra kuzuia matumizi ya Vpn nakusema kuwa kuna faini ya mil 5. Sasa kwa sababu karibu kila Mtanzania mwenye smart foni amedownload VPN na anaitumia kuangalia mambo yake binafsi ya kifaragha . Je, TCRA itawag'amua vipi watu wakiwa na simu zao mkononi. Msaada wa kitalaamu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nakosea wapi kwenye kuconnect hii form na database

    Wakuu, naendelea kujifunza vitu. Sasa sasa hivi najifunza ku interact na database. Nimeweza kuunda fomu hii kwa msaada wa HTML and CSS Na huu ndiyo code yangu ya HTML <!DOCTYPE html> <html lang="en"> <head> <meta charset="UTF-8"> <link rel="stylesheet" type="text/css"...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa Kitaalam (Kisayansi) na ule wa Kiutamaduni (Kienyeji) wa namna ya kuondoa nyuki

    Msaada unawezaje Kuondoa Nyuki kwa njia ya Kitaalam au ya Kienyeji walioko Nyumbani Kwako na wasio na Madhara? Nitaushukuru.
  10. Mwanakulipata

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya ulcers

    Hamjambo!? Kuna kipindi kama miaka 2 nyuma nilikuwa nafatilia mijadala ya Dawa za vidonda vya tumbo. Sikumbuki vizuri ila nishaona zaidi ya mara tatu kuna watu wanashauri dawa flani hivi ni za hospital zipo za aina tatu unakunywa pamoja zinaponesha kabisa Sio Omeprazole wala Kit eligo...
  11. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

    Habari wana JF. Nina ndugu yangu mmoja upande wa mama, yeye KE. Miaka kama 10 hivi iliyopita alikuwa na mahusiano na Jamaa mmoja hivi, walikaa muda tuu mpaka mahusiano yao yakazaa mtoto. Lakini baada ya kujifungua Jamaa alimkwepa sister. Si unajua wanaume kwa kukimbia watoto wapo. Jamaa akawa...
  12. Namora

    JamiiForums Tanzania Nipo katikati sijui nichukue uamuzi gani. Msaada!

    Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa. Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana...
  13. minzakunza

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu jamii forum

    Nawasalimu wote Tafadhali naombeni msaada au ufafanuzi, leo tangu asubui jamii forum imegoma kufunguka kwangu Nimehangaika sana kuzima simu na kuwasha, ku unstall app na ku install upya jaribu kila kitu ikashindikana. Mida hii nikapata wazo la kutumia vpn naona imefunguka ni nini kinaendelea, ni...
  14. Josephat Sanga

    JamiiForums Tanzania Msaada: Binti kapotea Shinyanga, anatafutwa

  15. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ukipewa Mkopo wa kusoma Diploma ukahitimu. Je, utapewa na mkopo wa kusoma Degree (Elimu ya Juu)?

    Habari Wana JamiiForums. Samahani naomba kuuliza kuhusu hili tangazo la Mikopo ya Elimu ya Stashahada (Diploma) ambalo limetolewa na Loan board (HESLB). Swali langu ni hivi ikitokea umepewa Mkopo wa Diploma ukasoma ukahitimu Alfu badae ukahitaji kuendelea na Elimu ya Juu (Degree), Je!! ukiomba...
  16. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kama una shida ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui

    Note Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia Upendo wa kweli unapimwa kwa watu usiowajua unawatreat vip usiowajua wanapohitaji msaada wako na sio unaowajua Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Naombeeni msaada

    Ni masaa machache tu toka nifahamu kuwa Ihefu imenichania mkeka kinyama na kiroho mbaya ila nashangaa sisikitiki Nina furaha isiyoelezeka na pia najiona Sina haja na Hela,je ni zile za sitaki mbivu hizi au nakuwa mwehu wakuu,pliz wataalamu mnisaidie.
  18. V

    JamiiForums Tanzania Naombeeni msaada

    Ni masaa machache tu toka nifahamu kuwa Ihefu imenichania mkeka kinyama na kiroho mbaya ila nashangaa sisikitiki Nina furaha isiyoelezeka na pia najiona Sina haja na Hela,je ni zile za sitaki mbivu hizi au nakuwa mwehu wakuu,pliz wataalamu mnisaidie.
  19. Rasasem

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Admission letter!

    Salaam wakuu, ndugu zangu shida yangu ni kupata Admission letter 2023 kutoka chuo Cha UDSM ili nifanye mchakato wa kupata ruhusa ktk kituo changu Cha kazi, nimejaribu kuwasiliana na chuo bila kupata msaada chanya, kama Kuna mwenye ujuzi wa kusaidia jambo hili tafadhali naomba msaada waungwana@
  20. D

    JamiiForums Tanzania Msaada- Cheti TCU kwa waliosoma nje

    Ndugu yangu anatakiwa kuverify cheti TCU alisoma nje miaka kadhaa nyuma, nchi na chuo vinajuliakana na wamesoma wengi tu huko. Amewasilisha vitu vyote vinavyohitajika anasubiri wampe majibu. Sasa kuna sehemu wanahitaji hiko cheti cha TCU haraka, ili apate ajira, tunaomba msaada kwa anayemjua mtu...
Back
Top Bottom