msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. al-baajun

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutembelea Mikumi from Dar es salaam

    Habari? Wadau wa utalii na wote wanaoweza kunisaidia kuhusu utalii wa mikumi. Nina Mtalii Mume&Mke tumefanya nao kazi ila wanataka kuona wanyama in cheap and convenient way, nikawaambia mbuga ya kwenda ni mikumi sasa naombea msaada wa gharama ya kutoka morogoro mpaka mikumi,kulala mbugani siku...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Waja msaada wenu hivi ni nani anamiliki hii pisi?

    Kwa anayefahamu mwamba anayeikunja hii pisi msaada hapo chini.
  3. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania WanaJF, Msaada Tutani 🤔.

    Habari wanajamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Simu yangu imeleta mushkeri kidogo, najua kuna wataalam kwenye masuala ya simu. Tatizo hili nimeliona Asubuhi nilivyo amka, jana nilitumia simu mpaka mida ya Sita usiku, nilivyo itumia ikabaki asilimia 10%, hivyo ikabidi niweke...
  4. nzalendo

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Utoaji

    Naomba kufahamishwa Maana ya,:-1. Sadaka 2. Dhabihu 3. Zaka 4.Shukran 5.Msaada 6.Takrima 7.Asante 8.Hongo 9.Nyongeza 10.FUNGU LA KUMI
  5. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Anayejua jina la wimbo huu aje

    Kuna wimbo wa zilipendwa unaimbwa hilo oooh oooh, unaongelea jitu zima lililokuwa linaleta ujuai na hatimaye likapigwa na katoto. Jirani yangu ni Simba damu nataka niweke hiki kibao aburudike
  6. Fateema

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu shule ya EM iliyogoma kutoa uhamisho wa mwanangu anayetakiwa kufanya mtihani wa std 4: Asanteni sana wanaJF kwa msaada wenu

    Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne. Nashukuru sana kwa wana Jf...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yaadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa mashine ya patient monitor Hospitali ya Rufaa Mwananyamala

    Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi (kulia) akikabidhi msaada wa mashine ya Patient Monitor, kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala,Dkt. Zavery Benella.Wengine pichani ni Wafanyakazi wa Barrick alioongozana nao. --- Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku...
  8. Buzi Nene

    JamiiForums Tanzania Msaada je asome kozi gani katika hizi?

    Kuna ndugu yangu ni mtumishi wa serikali anataka kwenda kujiendeleza/kuongeza maarifa mengine anaomba msaada wa mawazo je ni kozi gani akasome kati ya hizo? NB: Ana vigezo vya kusoma hizo kozi zote. 1. Bachelor of Human Resource Management -mzumbe Dar 2. Bachelor of Science in Software...
  9. zero to hero 199

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa hili tatizo

    Habari naomba kusaidiwa tatizo langu ambalo nimeishi nalo kwa muda mrefu sasa lakini bado sijalipatia majibu na limeendelea kunitesa. iko hivi miaka mitatu iliyopita niliamua kuachana kabisa na tabia ya kujichua pamoja na kuangalia picha za ngono na katika hilo nimemudu kuweza kabisa nilianza...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nilianzisha na kukuza biashara from zero ila kwa hapa nilipofika naona kabisa nahitaji msaada

    Wakuu habari ya asubuhi. Hongereni na majukumu na pia Poleni na changamoto za hapa na pale katika uwajibikaji, ni sehemu ya maisha tu. Kwa nia njema tu naomba nitangulize angalizo kwamba hili sio tangazo la nafasi za/ya kazi. Nitajitahidi kuweka maelezo sawa ili ujumbe wangu uliokusudiwa...
  11. MR MAJANGA

    JamiiForums Tanzania Msaada TV yangu haiwaki

    Wakuu naomba msaada, wakati naangalia TV tanesco walikata/ umeme ulicheza kidogo yaani ndani sekunde mbili umeme ulikatika na kurudi. Taa ya standby inawaka na nikiwasha TV Kwa remote au Kwa button yake Ile taa kama inazima kuonyesha TV imewaka halafu inawaka tena taa ya standby, Wakuu tatizo...
  12. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Sikio linachimbika : PICHA Msaada mwenye kujua tiba

    Habari za leo wakuu, Nina muda wa wiki mbili Sasa Niko porini, Limeibuka tatizo kwenye sikio langu la kushoto, Nimeenda hospitali nimetumia dawa nilizopewa lakini hali bado haijatengemaa, Yeyote mwenye kujua tiba ya tatizo hili au aliyewahi kufikwa na hii shida akaitatua naomba anisaidie...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

    Kama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu. Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi...
  14. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kueleweshwa hapa

    Habari wanajukwaa, Baada ya kurudi kazini nimekuta barua hiyo hapa chini, kipengele kinachonichanganya ni hicho kinachosema risiti zote za ulipaji kodi ya ardhi. Nakumbuka miaka kadhaa serikali ulisema sasa pango ya ardhi na nyumba italipwa kupitia lulu na kweli tumekuwa tunakatwa kwenye lulu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua mfumo wa serikali unaotumiwa na serikali kuchagua waajiriwa

    Wakuu habari, Naomba msaada kwa yeyote anae jua ni mfumo upi( software program) inayotumiwa na serikali kuchagua majina ya watu kwa ajira baada ya graduate kufanya maombi pale nafasi zinapo tangwaza. Naombeni hivi sasa, babu yangu wa Tanga anahitaji afanye mambo kidogo( system manipulation).
  16. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kuufahamu hiki kiitwacho Bitcoin?

    Wadau, nakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusisituza vijana kucheza Bitcoin. Kuna kampuni ya Bitcoin imeniimgiza huko. Na inanitaka nianze Kwa kuwekeza $200 kwamba nitavuna $360. Je Kuna ukweli wowote katika Bitcoin?
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Video: Ukipewa kitita cha dola moja utafanyia nini? Tazama majibu yake hapa

    Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya kuwa wa kwanza kucheka 😂😂😂😂 Hawa viumbe wanaijua tu hela, japokuwa kuitafuta kwao ni mtihani Sikiliza matumizi ya dola 1
  18. Vangigula

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sehemu safi naweza oga Dar es Salaam

    Hope mmeamshwa salama. Ningependa kujuzwa kama kuna sehemu safi Dar wanayotoa huduma ya bafu / kuoga tu (bila kujali kama mtu amelala hapo kwao). Kama zipo za karibu na Ubungo, ingependeza zaidi. Natanguliza shukrani
  19. P

    JamiiForums Tanzania Naomba mada nzuri ya Utafiti wa Kisayansi itakayotikisa Duniani

    Hope ni wazima. Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla. Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
  20. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani hizi gari 3 Mazda CX5, Mitsubish Outlander SportsstyleEditon, Toyota Vanguard

    Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya 1. Utumiaji mafuta 2. uimara 3. Speed 4. Kupatikana vipuri 5. Ukisasa zaidi 6. Mwonekano mzuri. 7. Bei zake sokoni Zote zikiwa za mwaka unaofanana au kutofautiana kidogo tu.
Back
Top Bottom