msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Dining Table (location - Dodoma)

    Salam wakuu, Kama Uzi wangu unavyojieleza hapo juu, nahitaji meza ya chakula (dining table) kwaajili ya nyumbani. Naomba kwa anayefahamu sehemu wanatengeneza meza hizo kwa gharama nafuu kwa hapa mkoani Dodoma aweze kunielekeza ili nikawaone. Budget yangu NI isizidi 1M (meza na viti sita)
  2. Gcanham

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kwenye WhatsApp wakuu

    Habari za jioni wakuu. Nimekumbwa Na tatizo la kutopokea WhatsApp code kwa wiki moja sasa naomba msaada wenu jamani Maana kila nikijaribu inanionesha hivyo 😰😭
  3. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa connection ya field, nasoma BSc in Chemistry

    Habarini Wana JF, Kijana wenu naomba mnisaidie connection nipate sehem ya kufany field. Maeneo ya field ni viwandani, migodini, viwanda vya dawa vyuoni as laboratory scientist NB: Nimejaribu kutuma barua ya maombi sehem mbalimbali lakn hakuna majibu na muda wa field unakarbia. 🙏
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu asome nini?

    Habari wadau... Kijana wangu amemaliza form four mwaka 2023 na ufaulu wake ni- Civ-D Hist-C Geo-D Kisw-C Engl-D Bio-C B/math-F Je? ni elimu ipi itamfaa Kwa upande wa FANI au TAALUMA.
  5. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali: AC ya Toyota Alphard kupiga kelele

    Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia. Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Waziri Bashe na TBS kuhusu Mchele wa msaada toka Marekani, nini kinaendelea?

    Baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Hussein Bashe ambaye ni Waziri wa Kilimo alieleza kuwa waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kwani Tanzania ina hazina ya mchele. Hata hivyo, muda si mrefu...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo

    Wakuu msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo.
  8. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwenye Tuta

    natumahi humu wote niwazima…!! Naswali kidogo. Eti napotaka kununua Pc nzuri naangalia nini..?? 1) Processor 2)core i1,i2……… 3)Generation 4)ukubwa wa Ram 5)inayotumia HHD au SSD
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dawa ya maumivu ya kiuno na mgongo

    HabarI za Leo Ndugu zangu. Anayejua Dawa ya Maumivu ya Kiuno Na Mgongo. Nafahamu hili ni suala la Ku- Sex Lakini Bado Sijapata MCHUMBA. Nipo Busy sana na kazi Jumatatu Mpaka Jumamosi hivyo Nakosa Muda Mzuri wa Kuwasaka Wachumba. Nimemeza sana Dawa Za Kutuliza Maumivu Lakini Naona imeanza...
  10. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Habari. Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yaani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable. Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tende za msaada ni salama?

    Wakati huu wa mfungo. Huwa tunaletewa tende za Msaada toka Arabuni. Vipi kuhusu usalama wake? TBS wazipime tujue ubora wake
  12. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi na makazi

    Ni tumaini langu wote wazima. Naandika uzi huu kwa ombi la msaada. Kwa kweli, mambo yameniendea ovyo, nikiwa jijini Dar es Salaam. Kazi ilisimama, katika kusaka nyingine, kodi ya nyumba ikaisha nikiwa sina kitu. Hapo nyuma, familia nayo inanitegemea kwa kila kitu. Kiukweli, ukilinganisha...
  13. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Kaka naomba unisaidie kunielezea matatizo yangu kwenye ule mtandao wenu wa jamii forums ulionisaodia kipindi kile, wakati huu nahitaji msaada sana Haya ni maneno ya binti ambaye anaitwa Rahma Shaabani Kiwangala, mwenye mtoto mdogo wa takriban mwaka mmoja mkazi wa Manzese mburahati, mtaa wa kwa...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Safari hii sijapata Tende za Msaada. Nani kanifinya? Serikali iangalie suala hili

    Nadhani kuna wahuni wanatufinya sisi wengine hizi tende za msaada. Safari hii sheikh wangu J. Topeo anasema hakupata. Ni kweli au naye ananifinyia kwa ndani? Serikali iingilie kati suala hili kwa kweli. Maana ni kama imetuacha wananchi wake. Tende ziingizwe nchini bure kwa wingi.
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana. Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga! Hizi nchi za watu wenye low minded people...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tulipogomea Msaada Chanjo za Covid mlitupiga Vita sana. Sasa hadi Condom za Msaada hatutaki nazo

    Mkaanzisha na uhamasishaji tuchanjwe. Msaada wa mchele tunakataa sababu hauna manufaa kwetu sisi baadhi ya watu. Usaid watoe pesa waone kama tutakataa... Mchele hatuwezi chukua peleka majumbani kwetu. Hauna faida kwetu. Next time watoe mkwanja tukanunue mchele hata Kenya( kwa ambao wananunua...
  18. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Mchele wa msaada haukuja kwa bahati mbaya, ni baada ya Benki ya Dunia kuitahadharisha Tanzania kupunguza kuzaliana, CCM mnapunguziwa wapiga kura

    Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho. Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi bila kikomo kama walivyoambiwa na shujaa Magufuli wazaliane mpaka mayai yaishe. Wakaenda mbali kwa...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mchele wa msaada ugawiwe mashuleni kama ilivyodhamiriwa!

    Tuache kuonyesha ujinga wetu katika ngazi ya kimataifa juu ya uwezo wa akili zetu kufikiri, tumepewa msaada na marafiki zetu wa muda mrefu, waliwahi kutupatia, mafuta, mahindi, samaki na vingi tu ndani ya nchi yetu, Pia izingatiwe wangelikuwa na uovu, basi kwa kuwa chanjo, dawa na vingi tu...
  20. Bexb

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa aliyewahi kusajili Mradi TIC

    Habari ya jumapili wakuu. Naomba msaada wa maelekezo toka kwa mtu aliyewahi kusajili mradi chini ya Tanzania Investment Centre (TIC). Ninahitaji kujifunza jambo kwa uhalisia wake hasa katika maandalizi ya nyaraka zinazohitajika.
Back
Top Bottom