Msaada je asome kozi gani katika hizi?

Buzi Nene

Senior Member
Feb 10, 2020
139
310
Kuna ndugu yangu ni mtumishi wa serikali anataka kwenda kujiendeleza/kuongeza maarifa mengine anaomba msaada wa mawazo je ni kozi gani akasome kati ya hizo?

NB: Ana vigezo vya kusoma hizo kozi zote.

1. Bachelor of Human Resource Management -mzumbe Dar

2. Bachelor of Science in Software Engineering-Ruaha

3. Bachelor of Science in Cyber Security and Digital Forensics Engineering UDOM

4 Bachelor of Science in Computer Systems and Networks-ardhi university

5. Master of Science in Public Policy Analysis and Programme Management-Ardhi

6 . Master of Science in Project Management, Monitoring and Evaluation in Health-Muhas

7. Master of Public Health (RegularTrack) Muhas

8. Master of Arts in Health Policy and Management-Muhas

9. Bachelor of Health Systems in Monitoring and Evaluation

10. Bachelor of Health Systems Management

11. Master of Science in Health Monitoring and evaluation

12. Master of Science in Project Planning and Management

13 Master of sciences in health infprmatics
 
Software Engineering.

Nchi inaelekea kwenye matumizi makubwa ya mifumo ya computer, Pia inapesa nyingi nje ya ajira.
 
Kuna ndugu yangu ni mtumishi wa serikali anataka kwenda kujiendeleza/kuongeza maarifa mengine anaomba msaada wa mawazo je ni kozi gani akasome kati ya hizo?

NB: Ana vigezo vya kusoma hizo kozi zote.

1. Bachelor of Human Resource Management -mzumbe Dar

2. Bachelor of Science in Software Engineering-Ruaha

3. Bachelor of Science in Cyber Security and Digital Forensics Engineering UDOM

4 Bachelor of Science in Computer Systems and Networks-ardhi university

5. Master of Science in Public Policy Analysis and Programme Management-Ardhi

6 . Master of Science in Project Management, Monitoring and Evaluation in Health-Muhas

7. Master of Public Health (RegularTrack) Muhas

8. Master of Arts in Health Policy and Management-Muhas

9. Bachelor of Health Systems in Monitoring and Evaluation

10. Bachelor of Health Systems Management

11. Master of Science in Health Monitoring and evaluation

12. Master of Science in Project Planning and Management

13 Master of sciences in health infprmatics
  • Bachelor of Human Resource Management -mzumbe Dar..
    • Kama ni Mtu wa Ujiko na anapenda Kuitwa Boss na watu asoma hii itamfaa sana ila kuhusu Pesa Ni kawaida sana..
  • Bachelor of Science in Software Engineering-Ruaha na Bachelor of Science in Cyber Security and Digital Forensics Engineering UDOM
    • Kama kaajiriwa Serikalini na ana connection kubwa za wizarani na Serikalini kuu Hizi Course zitamfaa sana..
  • Master of Science in Project Management, Monitoring and Evaluation in Health-Muhas ,Master of sciences in health informatics, Master of Science in Project Planning and Management,Bachelor of Health Systems in Monitoring and Evaluation,Master of Science in Public Policy Analysis and Programme Management-Ardhi na Bachelor of Health Systems Management...(HIZI COURSE NAMSHAURI ACHAGUE MOJA AKASOME ZITAMFAA NA ZINA PESA SANA)
 
Asante sana mkuu,mungu akubariki
 
Kuna ndugu yangu ni mtumishi wa serikali anataka kwenda kujiendeleza/kuongeza maarifa mengine anaomba msaada wa mawazo je ni kozi gani akasome kati ya hizo?

NB: Ana vigezo vya kusoma hizo kozi zote.

1. Bachelor of Human Resource Management -mzumbe Dar

2. Bachelor of Science in Software Engineering-Ruaha

3. Bachelor of Science in Cyber Security and Digital Forensics Engineering UDOM

4 Bachelor of Science in Computer Systems and Networks-ardhi university

5. Master of Science in Public Policy Analysis and Programme Management-Ardhi

6 . Master of Science in Project Management, Monitoring and Evaluation in Health-Muhas

7. Master of Public Health (RegularTrack) Muhas

8. Master of Arts in Health Policy and Management-Muhas

9. Bachelor of Health Systems in Monitoring and Evaluation

10. Bachelor of Health Systems Management

11. Master of Science in Health Monitoring and evaluation

12. Master of Science in Project Planning and Management

13 Master of sciences in health infprmatics
Huko serikalini yupo idara/wizara gani?? Nitamshauri kwa uzoefu wangu huko
 
Back
Top Bottom