zero to hero 199
Member
- Sep 8, 2021
- 55
- 74
Habari naomba kusaidiwa tatizo langu ambalo nimeishi nalo kwa muda mrefu sasa lakini bado sijalipatia majibu na limeendelea kunitesa.
iko hivi miaka mitatu iliyopita niliamua kuachana kabisa na tabia ya kujichua pamoja na kuangalia picha za ngono na katika hilo nimemudu kuweza kabisa nilianza kidogo kidogo na ku relapse mara kadhaa lakini nilikuja kufaniukiwa na kuishinda hii tabia
sasa shida kubwa ni msongo wa mawazo mkubwa nao ishi nao baada yakuachana na hii tabia baada ya kuacha nimejikuta sina furaha kabisa, usingizini nashituka shituka, na ota ndoto za ajabu, uywezo wangu wakujiamini umepungua sana nimekua mtu mwenye hofu na nyuma sikua hivyo roho nyingine inanaambia nirudi nilikotoka lakini safari yangu haikuwa rahisi kuacha hii tabia ambayo nilikuwa siipendi, wasiwasi wangu ni hii hali nayoipitia baada yakuachana na hi tabia kiukweli ni maumivu makali sana like a mental torcher ya mimi na mimi hivyo nimekuja kwenu kama kuna yoyote anaweza nisaidia katika hili. Asante