Msaada: Sehemu safi naweza oga Dar es Salaam

Vangigula

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
812
2,541
Hope mmeamshwa salama. Ningependa kujuzwa kama kuna sehemu safi Dar wanayotoa huduma ya bafu / kuoga tu (bila kujali kama mtu amelala hapo kwao). Kama zipo za karibu na Ubungo, ingependeza zaidi. Natanguliza shukrani
 
Nenda Magufuli stendi pale Mbezi, wana mpaka choo na bafu kwa ajili ya walemavu. Lipia uoge.
 
Hope mmeamshwa salama. Ningependa kujuzwa kama kuna sehemu safi Dar wanayotoa huduma ya bafu / kuoga tu (bila kujali kama mtu amelala hapo kwao). Kama zipo za karibu na Ubungo, ingependeza zaidi. Natanguliza shukrani
Pale tandale kwa mfuga Mbwa au manzese uwanja wa fisi
 
Hope mmeamshwa salama. Ningependa kujuzwa kama kuna sehemu safi Dar wanayotoa huduma ya bafu / kuoga tu (bila kujali kama mtu amelala hapo kwao). Kama zipo za karibu na Ubungo, ingependeza zaidi. Natanguliza shukrani
Nenda mto ng'ombe hapo hapo Ubungo utakuta wamasai na machokolaa kama woote mikia njenje wakipiga bafu bureee! Hutozwi hata mia! Hila kuwa makini wakati wa kuoga usiiname!!
 
Back
Top Bottom