Naulizia vitu hivi hapa wakuu;
1. Halmashauri ya wilaya
2. Halmashauri ya manispaa
3. Halmashauri ya mji
4. Halmashauri ya jiji
5. Maana ya 'halmashauri'
Hili ni jukwaa la kujifunza na kuelimika, naomba nielimishwe kuhusu hoja hizo hapo juu ambazo mpaka sasa nazijua kwa mazoea tu ya kuzitamka...
Habarini wakuu__nahitaji msaada wa mawazo ama ushauri au njia gani nipite ili niweze kufanikiwa kuingia marekani
_bongo maisha magumu sana
Kuna jamaa yangu yuko marekani kupitia yeye nataka namm nikanyage kwa biden
Msaada ninao uhitaji kutoka kwako.
Kwa upande wangu huku tanzania natakiwa...
Wakuu habari,
Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu?
Natanguliza shukrani
Katika imani ya kikristo tunaambiwa Malaika Mkuu aliitwa Gabriel, baadaye malaika huyo aliasi nakugeuka kuwa shetani na Mungu alimfukuza katika kundi la malaika wake.
Je kama ni sahihi watu kupewa jina la Gabriel ambaye ni shetani?
Je kuna logic gani makanisa kupewa majina kama hayo? Nimepita...
Habarini wapendwa, naombeni msaada wenu, kipindi cha nyuma mimi niliwahi kusumbuliwa na tatizo la umeng'enyaji chakula, nilikuwa najisaidia choo kigumu sana, nikaambiwa na doctor kuwa nina tatizo kwenye mfumo wa umeng'enyaji chakula, chakula hakimeng'enywi inavyotakiwa, nikapewa dawa tatizo hilo...
Habari za sikukuu ya pasaka natumai wote ni wazima waungwana, niende Moja Kwa moja kwenye mada ni kwamba hapa kazini Kuna dada mmoja tulitokea kupendana sana Sasa juzi tukapishana kauli nikatikisa kiberiti mwenzangu kamwaga njiti kabisa.
Nilikuwa nampima tu kwamba tuachane akakubali Sasa...
Habari wakuu,
Kuna ajira fulani nilikuwapo nafanya miaka minne nyuma ambapo niliifanya kama 4 yrs nikaiacha bila utaratibu maalumu maana nilipata Safari ya ghafla nikaona mambo yasiwe mengi.
Sasa leo katika kupekua pekua ID's zangu nimekutana na Card ile ya NSSF na nikakumbuka hawa jamaa...
Habari zenu wapendwa,
Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ya chakula cha kawaida(mama LISHE/ntilie) au tuiite biashara ya chakula cha bei nafuu, kuanzia sh. 1000 - 5000.
Kwa mwenye uzoefu naomba kujua taswira nzima inavyokuwa, mf:
1. Mahitaji muhimu (vifaa nk.)
2. Namna ya...
Israel may not be able to destroy Hamas despite five months of intense fighting in Gaza, intelligence officials have admitted.
The main objective of the Gaza invasion faces failure as international support turns against Israel, sources warned.
Israel believes it has dismantled Hamas’s main...
Wakuu kwema?
Wapi naweza pata kampuni zinazo provide VPS hosting. Kuna project zangu nimetengeneza na react na mern nahitaji ku deploy online
Please nitashukuru sana
Ni kawaida shida huwa haipigi hodi naomba msaada hivi naweza kwenda bank ninayopitishia mshahara wngu nikazungumza na branch manager akaniwezesha kupata hiki kiasi 210k kwa makubaliano tu mshahara wangu ukiingia wachukue pesa yao
Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda?
Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka...
Habari zenu ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 23 na nimekua na matamanio ya kufika ng'ambo (ughaibuni) kwa muda mrefu Sana kwa sababu ya kupambana na hali ya kiuchumi (umasikini) Sasa katika pita pita zangu online nikakutana na jamaa mmoja anazungumzia website moja inaitwa Indeed na hii...
Habari wana jamvi, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ntaomba kuelezea kwa uchache changamoto ninazopitia kwa miaka 3 sasa. Ikibidi nitaandaa treads ya kusimulia mkasa mzima toka ulivyo anza mpaka hali niliyonayo kwa sasa.
Nipende tu kuwaomba wale wenye itikadi za kidini kukaa pembeni...
Naomba mtu mwenye kujua gharama za kujifungua kwa upasuaji kwa Muhimbili ni kiasi gani?
Na ikitokea mtoto kazaliwa njiti process zinakuwaje za kumweka kwenye chupa? Na gharama zake zikoje? Naomba mwenye uelewa anisaidie.
Msaada wakuu, nakereka na hodi na mtu sina mpango kumfungulia. Sasa geti linapogongwa napata wakati mgumu kuacha au kufungua.
Wakati mwingine hodi hizo ni fursa wakati mwingine ni kero na kuzipotezea. Hicho ndicho kitu hasa nataka.
Screen ndogo, kengele kutoka getini kuja ndani kwangu.
Wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.