Msaada jamani hizi gari 3 Mazda CX5, Mitsubish Outlander SportsstyleEditon, Toyota Vanguard

Minjingu Jingu

Senior Member
Nov 2, 2023
116
483
Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya

1. Utumiaji mafuta
2. uimara
3. Speed
4. Kupatikana vipuri
5. Ukisasa zaidi
6. Mwonekano mzuri.
7. Bei zake sokoni

Zote zikiwa za mwaka unaofanana au kutofautiana kidogo tu.
 
1. Mafuta. Itakua ngumu kujudge kwasababu haujawa specific kwenye mwaka, na engine size. Pia kuna model hapo zinatumia petrol na zingine diesel. Ila Mazda ya diesel 2.2 L itakua inakunywa wese kiduchu.

2. Uimara. Zote nzuri kwasababu za Japan. Wajapan wanajitahidi sana. Ila Toyota hana mpinzani, kisha Mitsubishi na Mazda wanapokezana. Ila still kuna factors nyingi mfano model year, matumizi ya owner akietangulia na service history.

3. Speed ya nini? Ukitaka speed chukua performance cars kama Audi, BM na Benz.

4. Vipuri. Zote unapata. Kariakoo wana spare hadi za Tesla.

5. Ukisasa. Nunua latest. Utaenjoy. Ila uyo bwana outlander outdated kama jina lake.

6. Muonekano ipo subjective. Kama demu tu. Mwingine anapenda shepu la Zuchu mwingine Sanchoka.

7. Izo gari zote bei ni 25 to 30M.
 
1. Mafuta. Itakua ngumu kujudge kwasababu haujawa specific kwenye mwaka, na engine size. Pia kuna model hapo zinatumia petrol na zingine diesel. Ila Mazda ya diesel 2.2 L itakua inakunywa wese kiduchu...
Mazda CV-5 ni gari ya kijanja hasa Kwa muonekano wake hii gari inakubali Sana mapambo kama off set tyres na rim fulani za kijanja
 
For reference:

Mazda CX5 ya 2012 (KE)
1280px-Mazda_CX-5_2.0_SKYACTIV-G_AWD_Sports-Line_–_Frontansicht,_3._September_2012,_Düsseldorf.jpg

ya 2017 second model KF
1280px-2019_Mazda_CX-5_SE-L_NAV+_Diesel_2.2_Front.jpg


Engine utayopata ni 2.2 diesel SkyActive kama utaagiza from JP ingawa unaweza pata petrol ila adimu saaana
 
Back
Top Bottom