Msaada TV yangu haiwaki

MR MAJANGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
3,393
10,591
Wakuu naomba msaada, wakati naangalia TV tanesco walikata/ umeme ulicheza kidogo yaani ndani sekunde mbili umeme ulikatika na kurudi.

Taa ya standby inawaka na nikiwasha TV Kwa remote au Kwa button yake Ile taa kama inazima kuonyesha TV imewaka halafu inawaka tena taa ya standby,

Wakuu tatizo ni nini?

Natanguliza shukrani zangu
 
Muda mwingine hua sio Taa , unakuta tu Kuna capacitor imeungua, Mimi natumia Hisense na tatizo Hilo limenitokea Mara 3 ndani ya miaka 5, hasa kipindi umeme unakatika na kurudi. Hapo ni kutafuta fundi mzuri tu
Asante mkuu 🙏🙏
 
TV za Hisense zitakuwa ni majanga.

Ninatumia Samsung siijawahi kukumbana na tatizo lolote.

Kwasasa umeme umekuwa wa ajabu vifaa vyangu vya umeme nimeviwekea protection inaanzia kwenye TV/Fridge Guard inakwenda kwenye AVR.
 
Hiyo TV yako ya Samsung ingekuwa Bora kama ingekuwa haina TV guard, halafu Kwa hii kata zima ya tanesco ikavumilia, maana hiyo hisence Imeungua lakini pia haina TV guard
 
Kiukweli Mimi situmiag tv guard, maana kipindi hiki umeme unaweza kuja mdogo Hata ukitumia tv guard tv haiwaki, Nikiwa bored naitoa tv guard niangalie nnachotaka.
 
Hiyo TV yako ya Samsung ingekuwa Bora kama ingekuwa haina TV guard, halafu Kwa hii kata zima ya tanesco ikavumilia, maana hiyo hisence Imeungua lakini pia haina TV guard
Baada ya miaka 16 ndio nikaanza kutumia TV Guard!
 
TV za Hisense zitakuwa ni majanga.

Ninatumia Samsung siijawahi kukumbana na tatizo lolote.

Kwasasa umeme umekuwa wa ajabu vifaa vyangu vya umeme nimeviwekea protection inaanzia kwenye TV/Fridge Guard inakwenda kwenye AVR.
Watu tu wabishi. Hisense me naona hamfikii TCL.
Hisense ameweza kwenye washing machine front load na friji.
 
Hiyo TV yako ya Samsung ingekuwa Bora kama ingekuwa haina TV guard, halafu Kwa hii kata zima ya tanesco ikavumilia, maana hiyo hisence Imeungua lakini pia haina TV guard
Me mbona sina TV guard na mzigo wa TCL unapiga fresh?

Kuna sehemu pa kazi kuna samsung miaka nenda rudi na haijawahi haribika na hakuna Tv guard? Muda wote iko ON sbb inadisplay CCTV
 
TV za Hisense zitakuwa ni majanga.

Ninatumia Samsung siijawahi kukumbana na tatizo lolote.

Kwasasa umeme umekuwa wa ajabu vifaa vyangu vya umeme nimeviwekea protection inaanzia kwenye TV/Fridge Guard inakwenda kwenye AVR.
Same... Hakuna cha stabilizer wala nini na remote nlipoteza so iko on tu ukiwasha socket inawaka na kuizima ni hvyo. Umeme uje ukate yenyewe inapaeta, upande ushuke inapeta yani ina zaidi ya miaka 8
 
Back
Top Bottom