Mrejesho kuhusu shule ya EM iliyogoma kutoa uhamisho wa mwanangu anayetakiwa kufanya mtihani wa std 4: Asanteni sana wanaJF kwa msaada wenu

Fateema

Member
Feb 8, 2024
13
41
Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne.

Nashukuru sana kwa wana Jf mlionifuata pm kunishauri.

Kwa namna ya kipekee kabisa nimshukuru Maxence Melo kwa kuonyesha utayari wake wa kunisaidia kupitia mamlaka za juu.

Nimshukuru pia kaka Yericko Nyerere kwa kuonyesha pia utayari wake wa kunisaidia ili mtoto wangu apate haki (Huyu nilimfuata facebook)

Niwashukuru pia wana Jf wafuatao ( Mfilisuti covid 19 na Orketeemi ambao walinipa ushauri wa kufuata ambao kwa kweli kama ninge ufuata basi tatizo la kijana wangu lingemalizika hapo hapo. Nasema hivi kwa sababu kabla sikachukua hatua ya kufuata ushauri huo, mwana Jf aitwae LIKUD aliniomba particulars za mtoto na yeye kama yeye akalimaliza suala hilo moja kwa moja wilayani ambapo Mimi aliniambia suala tayari niende ku confirm shuleni mtoto kasajiliwa tayari na hivyo ndivyo ilivyo kuwa. Mungu akubariki sana Likud kwa sababu ulifanya kazi yangu bila kuomba hata senti 5. Ulipotoa Mungu akuongeze...

Kuhusu hiyo shule : Shule haikuwa na usajili rasmi pia walikuwa wamepanga mitihani ya darasa la nne kuwapeleka watoto kwenye shule nyingine ambayo ina usajili.

Muwe na jumatano njema
 
Pole na hongera tele mkuu, pia umeonyesha uungwana kushukuru hata kwa kidogo kwa wengine na mafanikio makubwa sana kwako.
 
Thanks for appreciation.

Mkuu LIKUD nimefurahishwa na namna ulivyojitoa kumsaidia dada yetu.

Jamiiforum ijae member wenye mioyo ya kusaidia wahitaj.
 
Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne.

Nashukuru sana kwa wana Jf mlionifuata pm kunishauri.

Kwa namna ya kipekee kabisa nimshukuru Maxence Melo kwa kuonyesha utayari wake wa kunisaidia kupitia mamlaka za juu.

Nimshukuru pia kaka Yericko Nyerere kwa kuonyesha pia utayari wake wa kunisaidia ili mtoto wangu apate haki (Huyu nilimfuata facebook)

Niwashukuru pia wana Jf wafuatao ( Mfilisuti
covid 19
na Orketeemi ambao walinipa ushauri wa kufuata ambao kwa kweli kama ninge ufuata basi tatizo la kijana wangu lingemalizika hapo hapo. Nasema hivi kwa sababu kabla sikachukua hatua ya kufuata ushauri huo, mwana Jf aitwae LIKUD aliniomba particulars za mtoto na yeye kama yeye akalimaliza suala hilo moja kwa moja wilayani ambapo Mimi aliniambia suala tayari niende ku confirm shuleni mtoto kasajiliwa tayari na hivyo ndivyo ilivyo kuwa. Mungu akubariki sana Likud kwa sababu ulifanya kazi yangu bila kuomba hata senti 5. Ulipotoa Mungu akuongeze...

Kuhusu hiyo shule : Shule haikuwa na usajili rasmi pia walikuwa wamepanga mitihani ya darasa la nne kuwapeleka watoto kwenye shule nyingine ambayo ina usajili.

Muwe na jumatano njema
Kama mzazi na wewe utapelekaje mtoto shule haijasajiliwa ? Unasumbua watu mjinga wewe

Hufanyi utafiti?
 
Ukipeleka mtoto shule yeyote omba usajili kwanza.
La sivyo utakuja kulia tena huko mbele.
Nchi imejawa na matapeli wa kila aina hasa kwenye elimu.
 
Back
Top Bottom