Msaada wa kueleweshwa hapa

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
264
270
Habari wanajukwaa,

Baada ya kurudi kazini nimekuta barua hiyo hapa chini, kipengele kinachonichanganya ni hicho kinachosema risiti zote za ulipaji kodi ya ardhi.

Nakumbuka miaka kadhaa serikali ulisema sasa pango ya ardhi na nyumba italipwa kupitia lulu na kweli tumekuwa tunakatwa kwenye lulu.

Je, kipengele hiki wenzangu mnakionaje hapo chini?

IMG_20240229_200509.jpg
 
Hey! Hii tabia naona imezidi hapa jamvini

Ukurupukaji kwenye uandishi, kabla ya kupost hariri kwanza ulichoandika

Kuna tofauti kubwa sana ya maana kati ya neno Lulu na Luku

Dah mimi nikajua ni mambo ya madini

Inakera badilikeni.
 
Back
Top Bottom