Msaada jinsi ya kutembelea Mikumi from Dar es salaam

al-baajun

JF-Expert Member
Sep 11, 2015
278
203
Habari?

Wadau wa utalii na wote wanaoweza kunisaidia kuhusu utalii wa mikumi.

Nina Mtalii Mume&Mke tumefanya nao kazi ila wanataka kuona wanyama in cheap and convenient way, nikawaambia mbuga ya kwenda ni mikumi sasa naombea msaada wa gharama ya kutoka morogoro mpaka mikumi,kulala mbugani siku mbili Kwa hoteli ya kawaida tu na vingine .

Msaada wadau tuwasaidie washkaji zangu wale good time kwenye nchi yetu nzuri.
 
Tujanisahau sana swala la utalii wa ndani. Mimi mwenyewe mfuko ukikaa sawa nataka niende huko
 
Back
Top Bottom