Msaada Tafadhali: AC ya Toyota Alphard kupiga kelele

Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia.

Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
Cooling system kama haipo vizuri lazma Fan ya AC itapiga kelele. Fuatilia cooling system ya gari
 
Mambo mengine haya tukisemanni ujinga mnakasirika.

Fikiri, Mjapani kalitumia gari mpaka kaamua alipeleka scrap, wajanja wameliwahi kabla ya kupelekwa scrap, wamekuketea wewe potoyo, halafu unalitumia miaka kibao na mababara yako mabovu, maintenance mbovu, likianza kukorofisha unapiga kelele kwenye mitandao usaidiwe!

Tupa tu hilo au Wauzie wauza used parts walikatekate.
 
Hah hah haha...... hujakojozwa, hasira unakuja kuondolea mtandaoni.
 
Kama kuna pipe ime leak na Gas yote kuisha ni dhahiri ukiwasha AC, Fan ndo itakayokua inafanya kazi na litapiga kelele sana...Japo nalo linawezwa kufungwa vizuri km limelegea...
 
Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia.

Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
Kwenye droo ya chini hapo seat ya abiria toa hiyo droo toa na chekeche washa ac kelele itakuwa inatoka hapo huwenda ulipaki sehemu panya wakaingiza kitu au blower imelegea
 
Mambo mengine haya tukisemanni ujinga mnakasirika.

Fikiri, Mjapani kalitumia gari mpaka kaamua alipeleka scrap, wajanja wameliwahi kabla ya kupelekwa scrap, wamekuketea wewe potoyo, halafu unalitumia miaka kibao na mababara yako mabovu, maintenance mbovu, likianza kukorofisha unapiga kelele kwenye mitandao usaidiwe!

Tupa tu hilo au Wauzie wauza used parts walikatekate.
Wewe mwenyewe kikogwe; overused, mbona ujatupwa?
 
Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia.

Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
Inategemea ni kelele za namna gani; lakini sehemu mbili za kususpect ni bearings pamoja na belts.
 
Back
Top Bottom