Msaada Kwenye Tuta

Abdclassic

Member
Jul 13, 2017
85
35
natumahi humu wote niwazima…!! Naswali kidogo. Eti napotaka kununua Pc nzuri naangalia nini..??
1) Processor
2)core i1,i2………
3)Generation
4)ukubwa wa Ram
5)inayotumia HHD au SSD
 
natumahi humu wote niwazima…!! Naswali kidogo. Eti napotaka kununua Pc nzuri naangalia nini..??
1) Processor
2)core i1,i2………
3)Generation
4)ukubwa wa Ram
5)inayotumia HHD au SSD
Bajeti yako ndo itaamua yote hayo... pesa kidogo ubora mdogo.
 
Back
Top Bottom