Naomba msaada wa connection ya field, nasoma BSc in Chemistry

Tommy 911

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
538
359
Habarini Wana JF,

Kijana wenu naomba mnisaidie connection nipate sehem ya kufany field.

Maeneo ya field ni viwandani, migodini, viwanda vya dawa vyuoni as laboratory scientist

NB: Nimejaribu kutuma barua ya maombi sehem mbalimbali lakn hakuna majibu na muda wa field unakarbia. 🙏
 
Upo mwaka wa Ngapi? Na utaratibu wa kutafutiwa field na supervisors haupo?
Unaweza kutuma barua sehemu mbalimbali, lakini vizuri zaidi nenda physically ili ukapate connection huko (Shelly's PHARM, Coca-Cola, Pepsi, Zenufa labs n.k.)
 
npo mwaka wa tatu.... utaratibu ni unatafuta mwenyew field
 
Miaka yote huwa unafanyaje ? Uko mkoa gani ?
huwag natuma barua nilifany sehem moja mara zote mbili maan huwag wanajb chap ila saiv natak nibadili. npo moshi ila napendelea san kufany dar Mana ndo home ili kuepuka cost
 
huwag natuma barua nilifany sehem moja mara zote mbili maan huwag wanajb chap ila saiv natak nibadili. npo moshi ila napendelea san kufany dar Mana ndo home ili kuepuka cost
Ukija darvna barua zunguka sehemu 10 unazopenda......utapata ndani werk 1 ....uende physical usitume barua
 
Habarini Wana jf..... kijana wenu naomba mnisaidie connection nipate sehem ya kufany field.

maeneo ya field ni viwandani, migodini, viwanda vya dawa... vyuoni as laboratory scientist

NB:Nimejaribu kutuma barua ya maombi sehem mbalimbali lakn hakuna majibu na muda wa field unakarbia.
Acha kupoteza muda kuandika Emails au kutuma ma barua..sehemu nyingi hawanaga muda wa ku respond na maombi hayo.

Nenda mwenyewe, na barua yako. Tembelea sehemu kadhaa, pambana utapata.
 
npo mwaka wa tatu.... utaratibu ni unatafuta mwenyew field
Safi, zamani walikuwa wanatafutiwa.
Kingine unaweza kuongea na supervisor wako au academic advisor, mbona ni chap watakutafutia unless huna mahusiano nao mazuri. Fanya wakurecommend sehemu ya kwenda, wao watapiga simu moja tu kwa taasisi wataona inakufaa.
 
Back
Top Bottom