msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. coockie monster

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kununua stocks mbalimbali DSE

    Hamjambo makamanda? Nahitaji kujua pale DSE nawezajaze kununua hisa Kwa kuwekeza on stocks mbalimbali kuanzia banks au stock nyengine? Naomba mdau wa haya mambo anipe maelezo jinsi ya kuwekeza au kutumia brokers. Any information ni muhimu kwangu wadau.
  2. harakati za siri

    JamiiForums Tanzania Msaada App ya kutafsiri lugha kwenye Video au Audio

    Jambo wanajamii. Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite. Thank you in advance.
  3. runyaga

    JamiiForums Tanzania Mwanangu amepata kigugumizi cha ghafla, msaada kama naweza kupata tiba

    Mtoto wangu ni mdogo ana miaka miwili na nusu. Ndiyo alikuwa ameanza kuongea ila alikuwa anaongea kwa kutoa neno vizuri kabisa, ila sasa kama wiki hivi naona amekuwa na kigugumizi kwenye kuongea kwake. Sasa nilikuwa naulizia kama kuna msaada anaweza kupata.
  4. christophany

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi ya kufanya. Ni mwepesi kujifunza kazi yoyote

    Habari wanajukwaa wa JF Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 31 elimu yangu ni kidato Cha sita(6) naomba msaada wa kupata kazi yoyote itakayoniingizia kipato ili maisha yangu yaende , Unaweza jiuliza umri huo na elimu ya kidato Cha sita ilikuwaje ? Kimsingi nilimaliza kidato Cha sita 2013...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa dawa ya panya wanaojificha kwenye gari

    Wakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza. Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya karatasi vilivyo tafunwa na panya kwenye buti na ata kwenye engine. Naogopa asije akatafuna nyaya...
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laini yangu ya Halotel imepata matatizo ya kiintaneti

    Nimesajili laini ya Halotel mpya, hii ni baada ya kupoteza laini niliyokuwa nikitumia ambayo haikuwa na matatizo yoyote, ni vile tu nilisajiliwa na mtu ambaye niko mbali naye kwa sasa (Ex) Laini hii niliyosajili leo haina ufanisi kabisa kwenye suala zima la kimtandao. Yaani ipo very slow...
  7. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Msaada ndio unachukuliwa riziki zako

    WAtu wengi wanajua waganga wanasaidia . Ila waganga hawasaidii waganga wanachukua mazuri yako anampa mteja wake mwaminifu halafu wewe anakusaidia some how unaona afadhali ila ukija jua kachukua nini au umeloose nini? Unazimia . Saivi maisha ya watu wengi yamezorota kisa kwenda kwa waganga cha...
  8. copyright

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ESS njooni mtumbue hili jipu kwa kutoa msaada

    Wakuu poleni na hongereni Kwa majukumu! Naomba msaada wenu hatua kwa hatua jinsi ya kuapprove request ya uhamisho kwenye mfumo wa ESS kwa supervisor. Mimi ni supervisor lakini nashindwa kupitisha ombi la mfanyakazi wangu hapa ofisini hivyo naomba mnisaidie kutumbua hili jipu kwa kunipa huo...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi....VAR ilikuwa msaada sahihi kwa mwamuzi kuamua lile ni goli?

    Habari za asubuhi wakuu...Ni siku nyingine mpya kabisa na matukio hayakosekani wadau wa soka...twende kwenye mada Moja.....VAR Sio msaada sahihi wa kuamua kama mpira umevuka mstari wa goli au la! Pili....Teknolojia sahihi ya kuamua kama mpira umevuka mstari wa goal Inaitwa goal line decision...
  10. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mguu kwenye mfupa

    Heshima kwenu wadau. Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mfupa wa kwenye goti, tatizo lilitokana na ajali ya boda goti likavunjika hata kutembea ikawa shida kwa muda wa miezi 6+ ni kitandani tu. Ikapatikana nafuu ya kuanza kutembea na mara kwa mara mfupa wa goti huwa unauma hasa kipindi cha...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu Masters ya Usimamizi na Utawala, natafuta kazi

    Habar za jioni wana jukwaa, Ninaomba msaada mimi ni muhitimu wa master ya elimu Usimamizi na Utawala. Sasa tokea nimalize nimekua natafuta kuhama idara japo nisogee katika idara zingine mfani Necta TET TEA na kwingine ambapo nina endana na elimu yangu. Kama kuna mwanajukwaa anaweza nisaidia...
  12. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Dar: RC Chalamila apokea msaada toka DP World Foundation kwa ajili ya wenye uhitaji mfungo wa Ramadhani

    Mheshimiwa Albert Chalamila ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka taasisi ya DP World Foundation na kukabidhi msaada huo kwa watu wenye uhitaji katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan. Msaada huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu huyu mwanafunzi

    Kuna jamaa yangu yupo Dodoma alikuwa na mtoto Marangu sekondari Moshi sasa akapata changamoto ya ada baada ya mwanae mwingine kuugua mpaka kufanyiwa upasuaji. Huyu Dogo mwanafunzi alishasajiliwa kufanya mtihani wa form two lakini hakufanya kutokana na kushindwa kulipa ada . Mwaka huu baba...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuondoa tattoo

    Habari wana JamiiForums samahanini nina ndugu yangu amebahatika kwenda jeshini lakini ana tattoo ya jina mkononi, anashinda ndani analia hajui aiondoe vipi maana akijichoma na pasi wanasema makovu hawataki. Anahitaji msaada afanyaje ni kitu alichokipigania sasa amebahatika ndo iko hivo msaada...
  15. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Serikali: Maombi ya Simba yalikuwa makubwa sana, tutawapa Tsh 42M kawa wenzao

    Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa timu moja pia tufanye kwa timu nyingine. Gharama za Yanga kwenda Pretoria kwa mashabiki ilikuwa kama...
  16. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Criminal Report?

    Nahitaji criminal report na sijui wapi inatolewa au ni utaratibu gani wa kufata ili niipate. Naombeni kufahamishwa nimekwama
  17. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huyu ni nyoka wa aina gani?

    Peace, Wakuu jirani yangu amekua ananiambia hua anamwoma nyoka mkubwa nyakati za jioni akikatiza katika uzio wake. (Uzio unaotutenganisha) awali nilidhani ananitania maana manawake huwa waoga waoga tu akiona kijiti anaweza kusema nyoka au pia utani na masikhara Lakini kwa umri wake sio mtu wa...
  18. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakubwa duniani wajitokeza kulaani shambulio la Israel dhidi ya watu wa msaada

    Moja kwa Moja.. Baada ya Jeshi la Israel kufanya Sbambulizi la anga katika mwa Gaza na kukenga gari la shirika la msaada la chakula na kuuwa wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa ndani wakiweno raia watatu wa Uingereza , raia wa Poland , Australia na Palestina viongozi mbalimbali wamejitokeza...
  19. 0

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu ndugu zangu katika ili swala

    Kudos wanajf wote, nayaandika haya yote hapa kwenu nikiamin great thinkers na watu wenye ushauri mzuri mpo hapa, utani pia na kukosolewa naruhusu. Naomba mnivumilie stori ni ndefu kidogo ila nitashukuru kama mtanisoma mpaka mwisho; Ni saa 9 za usiku usingizi unatoweka ghafla,Nasikia sim kwa...
  20. mjenziwakale

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo kuhusu ni nini cha kufanya

    Salaam, Katika harakati zangu za kusaka tonge, yupo jamaa ambae nilifahamiana Naye katika biashara, tukawa tumezoeana hadi ikafikia kipindi akiwa na shida na hela namuazima ila anaacha gari yake kama bond, akienda akasupply mizigo yake akilipwa ananirejeshea pesa zangu na yeye anachukua gari...
Back
Top Bottom